Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #1,401
Eleza kwanini manuscripts za quran wanazo wazungu. Kwanini hazipo mecca na medina? Mnajuaje kama ndio zilizokuwepo zamani?Mkuu mimi nakusihi acha hayo mambo, acha huu uzi , huna lolote ujualo bali ni wivu tu wa imani, Mimi nina heshimu biblia kama kitabu cha wakristo na ninao marafiki wa kristo ila biiblia serious kimejaa magumashi, hakisemi ukweli na kinakuweka njia panda, aya chache tu ndio zinazosema ukweli ,
Hyo ndio shida ya kufanya binaadamu kuwa munguBiblia sahihi inapatikana kwenye maduka kila mahali hivyo hakuna sababu ya kupingana na hao walioamua kuongeza vitabu vyao.
Wewe eleza kwanini manuscripts za quran wanazo wazungu. Kwanini hazipo mecca na medina? Mnajuaje kama ndio zilizokuwepo zamani?
Wewe nenda kajifunze kisha ndio uongee na mimi huna kitu weweEleza kwanini manuscripts za quran wanazo wazungu. Kwanini hazipo mecca na medina? Mnajuaje kama ndio zilizokuwepo zamani?
The Birmingham Quran Manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world. This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 ADWewe nenda kajifunze kisha ndio uongee na mimi huna kitu wewe
Yesu ni Mungu wa milele.Hyo ndio shida ya kufanya binaadamu kuwa mungu
Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.Hyo ndio shida ya kufanya binaadamu kuwa mungu
Duh hata ushahidi wa uongo wa manuscript ya vatikan huna?Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.
The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.
This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.Duh hata ushahidi wa uongo wa manuscript ya vatikan huna?
Na Quran ndio kitabu pekee hakuna mtu yeyote anaeweza kukigusa na kufanya anavyotaka yeye. Bora usilimu tu maana uko uliko hata ayo maneno ya paulo ya kumtukana Mungu yataondolewa utawekewa kua Mungu ameolewa na ana mimba kua makini zinduka mapemaQuran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.
The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.
This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
Ntarudi kuanzia hapaShule walifundisha kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
Nimeshakupigeni spana za kutosha. Sasa imebakia kwa ninyi kumpokea Yesu ili mpate msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Yesu anakupenda.Na Quran ndio kitabu pekee hakuna mtu yeyote anaeweza kukigusa na kufanya anavyotaka yeye. Bora usilimu tu maana uko uliko hata ayo maneno ya paulo ya kumtukana Mungu yataondolewa utawekewa kua Mungu ameolewa na ana mimba kua makini zinduka mapema
Mwambie awapende wakatoliki kwanzaNimeshakupigeni spana za kutosha. Sasa imebakia kwa ninyi kumpokea Yesu ili mpate msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Yesu anakupenda.
Sheria zote za waislam ni juu ya mambo ya mwilini. Kutawadha, kunawa, kusali mara tano, kutoa zaka, kwenda maka nk yote ni maagizo ya mwilini. Nyie mpo mwilini kiasi kwamba hata Allah au Muhammad akichorwa katuni mnaanza maandamano na fujo.
Paulo hapa alikuwa anashughulika na mambo ya wayahudi ambao walikuwa wanawaona wasiotahiriwa mwilini (ingawa wamempokea Yesu) wanakuwa wamepungukiwa kitu.
Anawakumbusha kama wakiamua kwenda kwa sheria namna hiyo basi wajue sheria zipo nyingi na wanapaswa kushika zote. Jambo hilo tayari wanadamu walishalishindwa.
Ndio maana anawarudisha kwenye somo la neema. Kama wangeshika sheria yote basi hawana haja ya Kristo Yesu. Hivyo Kristo ndio jibu la ule udhaifu wa mwanadamu uliopelekea ashindwe kutimiza matakwa ya sheria.
Ukiwa ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kwasababu ndani ya Yesu unahesabiwa haki bure kwa neema kwa njia ya imani. Kwahiyo tohara ya mwilini si kitu tena bali Kristo ni yote katika yote.
Tohara inabakia kama suala la kiafya lakini sio kama namna ya kutaka kumpendeza Mungu maana ndani ya Kristo Yesu tayari unakuwa umeshampendeza Mungu.
Ukisema “zote” unazijua sheria zote za Uislamu?Sheria zote za waislam ni juu ya mambo ya mwilini. Kutawadha, kunawa, kusali mara tano, kutoa zaka, kwenda maka nk yote ni maagizo ya mwilini.
Shughuli zake ndizo zifikie kupinga agano la Mungu na Ibrahimu?Nyie mpo mwilini kiasi kwamba hata Allah au Muhammad akichorwa katuni mnaanza maandamano na fujo.
Paulo hapa alikuwa anashughulika na mambo ya wayahudi ambao walikuwa wanawaona wasiotahiriwa mwilini (ingawa wamempokea Yesu) wanakuwa wamepungukiwa kitu.
Kwahiyo Paulo alharamisha tohara kwa kusema anaefanyiwa hana chake kwa Yesu.Anawakumbusha kama wakiamua kwenda kwa sheria namna hiyo basi wajue sheria zipo nyingi na wanapaswa kushika zote. Jambo hilo tayari wanadamu walishalishindwa.
Ndio maana anawarudisha kwenye somo la neema. Kama wangeshika sheria yote basi hawana haja ya Kristo Yesu. Hivyo Kristo ndio jibu la ule udhaifu wa mwanadamu uliopelekea ashindwe kutimiza matakwa ya sheria.
Hizi ni fikra zako au za biblia?Ukiwa ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kwasababu ndani ya Yesu unahesabiwa haki bure kwa neema kwa njia ya imani. Kwahiyo tohara ya mwilini si kitu tena bali Kristo ni yote katika yote.
Kwa hivyo unapingana na andiko la Mungu ?Tohara inabakia kama suala la kiafya lakini sio kama namna ya kutaka kumpendeza Mungu maana ndani ya Kristo Yesu tayari unakuwa umeshampendeza Mungu.
Usipate tabu kaka hiyo apoMbona comment yangu siioni humu vipi mmeona inawachoma mmeifuta ngoja niiweke tena maana niliikopi sehemu bado ninayo
Labda mfute kabisa huu uzi
Skola wakongwe wameweka wazi kabisa muhammad alichomaanisha kwenye verse husikaUsipate tabu kaka hiyo apo
Wanasayansi wako wanasema sperm zinarushwa kutoka katika Seminal vesicle na sio korodani
Korodani ikisha tengeneza sperm cell inazipeleka katika Seminal vesicle kwa ajili ya kuwekewa virutubisho vingine muhimu na kurushwa kuenda ukeni kutungisha mimba
FACTION OF SEMINAL VESICLE
The main function of the seminal vesicles is to produce a fluid that is high in fructose, a sugar that provides nutrients for sperm cells, as well as other proteins, enzymes, and mucus. This fluid is a major component of semen, and it accounts for about 50%–80% of semen volume.2
Muscles in your seminal vesicles contract to move seminal fluid and sperm into your urethra and the out through your penis.
JE NA QURAN INASEMAJE?
Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
JE SEMINAL VESICLE IPO WAPI
michoro ya wanasayansi wako inaonyesha hapo chini ilipo hiyo SEMINAL VESICLE ukienda ju unakutana mfupa wa mbavu na ukienda pembeni unakutana na uti wa mgongo
Na kama unabisha sema hapo katika Seminal vesicle ukienda ju unakutana na mfupa gani na ukienda pembeni unakutana na mfupa gani
Sio wewe Championship hakuna kafiri yoyote katika Dunia hii anayeweza kuthibitisha kuwa Quran imeandika uongo View attachment 2377886
Wazolee ametuma tena post yake baada ya sekunde post haionekani ila ile sehemu ambayo post inatakiwa ionekana pameandikwaBado sijaela kinachoendelea katika hu Uzi
Ni kweli kaka post 1430 haionekani kwako?Wazolee ametuma tena post yake baada ya sekunde post haionekani ila ile sehemu ambayo post inatakiwa ionekana pameandikwa
Ignored post
Nani anafanya hivi moderator wa jf au mwenye Uzi
Nyinyi wagalatia mlidhani kuikosoa Qur'an ni kaz rahisi sasa ona mzificha post ili watu tusizione