Sheria zote za waislam ni juu ya mambo ya mwilini. Kutawadha, kunawa, kusali mara tano, kutoa zaka, kwenda maka nk yote ni maagizo ya mwilini. Nyie mpo mwilini kiasi kwamba hata Allah au Muhammad akichorwa katuni mnaanza maandamano na fujo.
Paulo hapa alikuwa anashughulika na mambo ya wayahudi ambao walikuwa wanawaona wasiotahiriwa mwilini (ingawa wamempokea Yesu) wanakuwa wamepungukiwa kitu.
Anawakumbusha kama wakiamua kwenda kwa sheria namna hiyo basi wajue sheria zipo nyingi na wanapaswa kushika zote. Jambo hilo tayari wanadamu walishalishindwa.
Ndio maana anawarudisha kwenye somo la neema. Kama wangeshika sheria yote basi hawana haja ya Kristo Yesu. Hivyo Kristo ndio jibu la ule udhaifu wa mwanadamu uliopelekea ashindwe kutimiza matakwa ya sheria.
Ukiwa ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kwasababu ndani ya Yesu unahesabiwa haki bure kwa neema kwa njia ya imani. Kwahiyo tohara ya mwilini si kitu tena bali Kristo ni yote katika yote.
Tohara inabakia kama suala la kiafya lakini sio kama namna ya kutaka kumpendeza Mungu maana ndani ya Kristo Yesu tayari unakuwa umeshampendeza Mungu.
Sheria zote za waislam ni juu ya mambo ya mwilini. Kutawadha, kunawa, kusali mara tano, kutoa zaka, kwenda maka nk yote ni maagizo ya mwilini.
Ukisema “zote” unazijua sheria zote za Uislamu?
Vipi kuhusu swala na Funga nazo ni za mwilini tu?
Uislamu ni dini ya inayoendana na mailumbile, hiwapori watu misingi ya kuishi vyema Duniani kwa ahadi za akhera bali inawapa vyote..
Nyie mpo mwilini kiasi kwamba hata Allah au Muhammad akichorwa katuni mnaanza maandamano na fujo.
Paulo hapa alikuwa anashughulika na mambo ya wayahudi ambao walikuwa wanawaona wasiotahiriwa mwilini (ingawa wamempokea Yesu) wanakuwa wamepungukiwa kitu.
Shughuli zake ndizo zifikie kupinga agano la Mungu na Ibrahimu?
Anawakumbusha kama wakiamua kwenda kwa sheria namna hiyo basi wajue sheria zipo nyingi na wanapaswa kushika zote. Jambo hilo tayari wanadamu walishalishindwa.
Ndio maana anawarudisha kwenye somo la neema. Kama wangeshika sheria yote basi hawana haja ya Kristo Yesu. Hivyo Kristo ndio jibu la ule udhaifu wa mwanadamu uliopelekea ashindwe kutimiza matakwa ya sheria.
Kwahiyo Paulo alharamisha tohara kwa kusema anaefanyiwa hana chake kwa Yesu.
Wakati huohuo akapinga agano la Mungu na Ibrahimu.
Tumfate nani, baba wa Imani Ibrahimu (AS) au paulo,?
Ukiwa ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kwasababu ndani ya Yesu unahesabiwa haki bure kwa neema kwa njia ya imani. Kwahiyo tohara ya mwilini si kitu tena bali Kristo ni yote katika yote.
Hizi ni fikra zako au za biblia?
Kama za biblia weka nukuu ya ulikoitoa.
Tohara inabakia kama suala la kiafya lakini sio kama namna ya kutaka kumpendeza Mungu maana ndani ya Kristo Yesu tayari unakuwa umeshampendeza Mungu.
Kwa hivyo unapingana na andiko la Mungu ?
Genesis 17:10-11
“10
This is my acovenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be bcircumcised.
11 And ye shall acircumcise the flesh of your foreskin; and it shall be a btoken of the ccovenant betwixt me and you”
Yani Mungu aliamuru watu watahiriwe wewe unasema kumuamini yesu inatosha kwahiyo tohara si lazima.
Samahani ila unaelewa unachokisema?
Unaelewa ‘Position’ unayojiweka?