Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Ukiamini hii story utakuwa umechanganyikiwa. Hivi unajua rotation speed ya dunia?? [emoji23][emoji23][emoji23]Kutumia vitabu vya dini kujibu maswala ya kisayansi ni kujizima data
Kwanini usiende mtandaoni kujiridhisha kama ni kweli huo utafiti ulifanywa? Pata nafasi ujielimishe badala ya kufanya ubishi.

Komenti yako hapa inaonesha huamini kama Mungu ndiye kaumba dunia. Kama yeye ndio kaiumba na inalizunguka jua kwa spidi kubwa sana, ni kipi kinamfanya ashindwe kuisimamisha bila madhara?
 
We pole sana rafiki au kwa sababu mitaala yenu haijabadilishwa bado ndio unaona ishakua advanced!!
NI rahisi sana embu tuwekee mitaala inayosema kuna stage ya pande la damu mfu (clot of blood) linakaa ndani ya mji wauzazi kwa siku 40 na bones without flesh ,
 

Wewe jamaa ngway kama hautaokoka baada ya hili basi umeshaangamia.

Wanazuoni wa kiislamu mje huku maana jamaa anaisambaratisha dini yenu. Allah anawekwa matatani.

FaizaFoxy Mohamed Said JumaKilumbi na wengineo.
 
Hapa haujajenga hoja, umeleta porojo. Jitahidi uwe unajenga hoja.

Nasubiria ufafanuzi kwanini Allah kadanganya kwamba anaweka pumzi baada ya miezi minne lakini kibaiolojia ni miezi miwili na wiki mbili mtoto anaanza breathing.
Najua hujui bado usemacho nipe aya inayosema kua baada ya siku arubaini Allahu anamfanya mtoto apumue ili nikujibu?
 
Kule zanzibar pia wanaosahihisha ni wakristo? Mbona form four zero nyingi zinatoka kule?
 
nimekuuliza swali rahisi sana hiyo uliyoweka ni ya mwanazuoni yupi nipe jina
Hiyo ni maana ya neno Alaqa kwa lugha ya sayansi
Najua utashangaa sana tu hapo na hautokubali
Kwa sababu unamajibu yako kichwani
Ila ukweli utabaki tu palepale.
 
NI rahisi sana embu tuwekee mitaala inayosema kuna stage ya pande la damu mfu (clot of blood) linakaa ndani ya mji wauzazi kwa siku 40 na bones without flesh ,
Ushapata maana ya neno Alaqa?
Ili nikujibu na hili swali lako la hiyo 40 unayo taka
 
Unataka kutuambia kwamba jibril alikuwa mpumbavu kwa kumlazimisha Muhammad asome kitabu?
Kilicho fanyika pale ni kuandaliwa juu yakua kuna majuha kama wewe watakuwa wanaambiwa kuhusu dini halafu hawata kuelewa.
Rudi sasa je unajua maana ya neno recite ambalo limetumika pale kutafsiria lile neno iqra
Kama hujui nikufundishe hapa
Na wakati huohuo usisahau ushapata maana ya neno Alaqa!!!
 
Aya inayosema kua Allahu anamfanya mtoto kupumua baada ya miezi minne naitaka hapa!!!
Ili tukujibu usilete uzushi wewe.
 
Hiyo ni maana ya neno Alaqa kwa lugha ya sayansi
Najua utashangaa sana tu hapo na hautokubali
Kwa sababu unamajibu yako kichwani
Ila ukweli utabaki tu palepale.
Nimekuomba uweka mwanazuoni wewe unaenda kuleta mdudu wa kwenye majaruba
surah ya koran yenyewe inaitwa Damu iliyoganda
Al-ʻAlaq or The Clot, is the 96th chapter of the Qur'an. It is composed of 19 āyāt or verses. It is sometimes also known as Sūrat Iqrā.

Unataka Surah ianze kuitwa The Leech?

Muhammad hajaaribu hapo tu mpaka kwenye Hadith anasema Sperm inkaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 sayansi inasema kwa siku 5
When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…