Thibitisha alikuwa kiziwa na bubu, nasubiriaAliikopi wapi ilihali alikuwa hajui kusoma wala kuandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha alikuwa kiziwa na bubu, nasubiriaAliikopi wapi ilihali alikuwa hajui kusoma wala kuandika?
Unataka kutuambia kwamba jibril alikuwa mpumbavu kwa kumlazimisha Muhammad asome kitabu?Aliikopi wapi ilihali alikuwa hajui kusoma wala kuandika?
Hivi aliambiwa asome kitabu au maandishi yalitokea tuuUnataka kutuambia kwamba jibril alikuwa mpumbavu kwa kumlazimisha Muhammad asome kitabu?
Mbona Mkuu unarukaruka?Baba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo
Kwanini usiende mtandaoni kujiridhisha kama ni kweli huo utafiti ulifanywa? Pata nafasi ujielimishe badala ya kufanya ubishi.Ukiamini hii story utakuwa umechanganyikiwa. Hivi unajua rotation speed ya dunia?? [emoji23][emoji23][emoji23]Kutumia vitabu vya dini kujibu maswala ya kisayansi ni kujizima data
Wewe ndiyo inawaza hivyoJua lina zama kwenye matope mazito mara mbegu inaingia kwenye kalio madhubuti. Mawazo yenu na dini yenu ni tigo tu
Maandishi yalitokea hewani?Hivi aliambiwa asome kitabu au maandishi yalitokea tuu
NI rahisi sana embu tuwekee mitaala inayosema kuna stage ya pande la damu mfu (clot of blood) linakaa ndani ya mji wauzazi kwa siku 40 na bones without flesh ,We pole sana rafiki au kwa sababu mitaala yenu haijabadilishwa bado ndio unaona ishakua advanced!!
Acha KUPIGANIA DINI na KUMSAIDIA ALLAH maana ni lazima aje kujitetea mwenyewe. Ni bora ujitoe kumpigania Muhammad katika upotofu wake.
Twende sasa kidaktari na tafiti za kisayansi. Mtoto anaanza kupumua (breathing) kuanzia wiki ya kumi (miezi miwili na siku kumi) lakini Allah kwa ujinga wake anasema anampa mtoto pumzi mwezi wa nne (wiki ya 17). Shame on Allah, shame on Muhammad.
View attachment 2378387
Na moyo wa mtoto unaanza kudunda (heartbeat) kuanzia wiki ya ya tano mpaka ya sita (yaani mwezi mmoja na wiki mbili). Lakini Allah anasema hilo litawezekana akipewa pumzi wiki ya 17.
View attachment 2378388
Ushauri wangu, kimbilia kwa Yesu Kristo uokolewe badala ya kuendelea kubaki kwa baba wa uongo, lucifer aliyefukuzwa mbinguni na kutupwa duniani
Najua hujui bado usemacho nipe aya inayosema kua baada ya siku arubaini Allahu anamfanya mtoto apumue ili nikujibu?Hapa haujajenga hoja, umeleta porojo. Jitahidi uwe unajenga hoja.
Nasubiria ufafanuzi kwanini Allah kadanganya kwamba anaweka pumzi baada ya miezi minne lakini kibaiolojia ni miezi miwili na wiki mbili mtoto anaanza breathing.
Kule zanzibar pia wanaosahihisha ni wakristo? Mbona form four zero nyingi zinatoka kule?Marehemu Kigoma Malima alipokuwa Waziri wa elimu ndio alokuja na mfumo wa code ktk mitihani baada ya majina kutumika ,ilikuwa mlimani university hawapasishi wanafunzi wa kiislamu ni wachache mno lkn baada ya kuleta code wanafunzi wengi wa kiisalmu wakapasi kuingia UNI .Wakristo wakisema waiislamu eti hawana akili kumbe walikuwa na mkakati maalumu wasiingie UNI waislamu .
Hiyo ni maana ya neno Alaqa kwa lugha ya sayansinimekuuliza swali rahisi sana hiyo uliyoweka ni ya mwanazuoni yupi nipe jina
Ushapata maana ya neno Alaqa?NI rahisi sana embu tuwekee mitaala inayosema kuna stage ya pande la damu mfu (clot of blood) linakaa ndani ya mji wauzazi kwa siku 40 na bones without flesh ,
Kilicho fanyika pale ni kuandaliwa juu yakua kuna majuha kama wewe watakuwa wanaambiwa kuhusu dini halafu hawata kuelewa.Unataka kutuambia kwamba jibril alikuwa mpumbavu kwa kumlazimisha Muhammad asome kitabu?
Ndani ya Tz hapahapa kuna jamii zinaruhusu kuposa MIMBA kwa sharti la akizaliwa mtoto wa kike basi moja kwa moja anakuwa mke.Naomba maoni yako kuhusu hizi ndoa za hawa waislam pichani
Soma mstari wa Aya ya kwanza imeandikwa.Mkuu wewe umewaza nini tena
Aya inayosema kua Allahu anamfanya mtoto kupumua baada ya miezi minne naitaka hapa!!!Acha KUPIGANIA DINI na KUMSAIDIA ALLAH maana ni lazima aje kujitetea mwenyewe. Ni bora ujitoe kumpigania Muhammad katika upotofu wake.
Twende sasa kidaktari na tafiti za kisayansi. Mtoto anaanza kupumua (breathing) kuanzia wiki ya kumi (miezi miwili na siku kumi) lakini Allah kwa ujinga wake anasema anampa mtoto pumzi mwezi wa nne (wiki ya 17). Shame on Allah, shame on Muhammad.
View attachment 2378387
Na moyo wa mtoto unaanza kudunda (heartbeat) kuanzia wiki ya ya tano mpaka ya sita (yaani mwezi mmoja na wiki mbili). Lakini Allah anasema hilo litawezekana akipewa pumzi wiki ya 17.
View attachment 2378388
Ushauri wangu, kimbilia kwa Yesu Kristo uokolewe badala ya kuendelea kubaki kwa baba wa uongo, lucifer aliyefukuzwa mbinguni na kutupwa duniani
Hujui kiswahili? AmemaanishaSoma mstari wa Aya ya kwanza imeandikwa.
Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
Hapo kwenye kalio ndio pamenishangaza.
Nimekuomba uweka mwanazuoni wewe unaenda kuleta mdudu wa kwenye majarubaHiyo ni maana ya neno Alaqa kwa lugha ya sayansi
Najua utashangaa sana tu hapo na hautokubali
Kwa sababu unamajibu yako kichwani
Ila ukweli utabaki tu palepale.
Unahangaika kuremba lugha .... Kalio ni kalio tu.Hujui kiswahili? Amemaanisha
Imehifadhiwa katika eneo madhubuti.