Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #1,581
Moderator atakupa ban ukipost lugha nje ya kiingereza na kiswahili.Maana ya neno Alaqa Nisha kupa.
Pili nakupa faida ya hadithi mbili kwa lugha ya kiarabu ukishindwa nikupe maana.
Nakupa na matini hii soma kama hujui nikupe maana
View attachment 2379033View attachment 2379034View attachment 2379035
Hahahah nakuja na neno leech sasa mwenzio huko nimempa matin ya kiarabu kamsaidieLeo utataja mdudu leech umemtoa wapi?
Umeshapitia stage za utetezi wa waislamu
1. Umetoa wapi , sio Hadith Sahih
2. Haisemi hivyo tafuta sheikh akueleweshe
3. Kwa matini ya kiarabu sio hivyo ,ngoja nikuwekee
Stage ya mwisho
4. Allah knows best
Lazima tuakikishe unafikia stage ya mwisho
Hahahah nilijua tu huna unacho kijua nilipo kupa hadithi zake ukasema ni tafsiri na siyo hadithi sasa nimekupa matin zake hizo ili usafishe macho na uamini kua nilikua naandika hadithi pale na sio maneno yangu nakupeni pole tu nyinyi. BasiModerator atakupa ban ukipost lugha nje ya kiingereza na kiswahili.
Maana umepewa usizugeKasome post #1 nimeweka tafsiri kutoka kwa mwanazuoni wa kiislamu.
Halafu kabla hujaonekana mpumbavu zaidi jitahidi usome uzi huu kuanzia mwanzo.
Ingia hapa , imeweka wazi waislamu Kuna stage mnakuwa damu mfu kwa siku 40 ndani ya mji wa uzazi , Kuna kiaarabu na kingerezaHivi ile maana mmeieka wapi na mbona mnakataa sana ukweli mkishapewa
Thread mnazoanzisha nyie huwa zinafutwa kwasababu hampendi kuwa wastaarabu. Mnapaniki na kutoa matusi. Mara nyingi hamjibu hoja bali mnaleta vihoja.ww ndio BABA LA WAJINGA KABISA hao kina champion wanafuatia nyuma yako.
Mada kama hizi ulishagaanzisha kwenye thread mbali mbali na tukavunja hoja zako.
Mpaka naona moderators wakaamua kufuta THREAD.
Naona kila baada ya muda Fulani mnaanzisha mada, sijui Jua kuzama kwenye matope mara pande la damu ili mradi mlete vurugu tu..
Mimi nakuwekea authentic Islam source , Wewe endelea kutunga wadudu kina leechHahahah nakuja na neno leech sasa mwenzio huko nimempa matin ya kiarabu kamsaidie
Huyo unahangaika naye bure maana anapinga hadi maandiko ya Muhammad.Mimi nakuwekea authentic Islam source , Wewe endelea kutunga wadudu kina leech
Gusa link, ila usije kusema ni ya wakristo
Shida kubwa mliyonayo hamuanzishi mada kwa lengo la kujifunza.Thread mnazoanzisha nyie huwa zinafutwa kwasababu hampendi kuwa wastaarabu. Mnapaniki na kutoa matusi. Mara nyingi hamjibu hoja bali mnaleta vihoja.
Mnajibu kwa kupotosha , kumbuka Allah aliwaambia mnaweza eneza dini kwa kumdanganya mtu , unaitwa uongo mtakatifu takiyaShida kubwa mliyonayo hamuanzishi mada kwa lengo la kujifunza.
Lengo lenu nikuaanzisha mada kwa nia ya kuuzalilisha uislamu kwa sababu ya chuki zenu binafsi.
Mfano ww, umeanzisha mada yako hii ukijifanya kuna maswali yamekutatiza baada ya kulinganisha kile ulichosoma kwenye Quran na biolojia yako ukihitaji tukusaidie majibu.
Alaf baada ya kupatiwa majibu, unageuka na kujifanya mjuaji na kupinga kile ulichojibu, kumbe tayari ulikua na majibu yako pembeni, sasa uliaanzisha uzi kwa sababu gan? na majibu kumbe ulikua hayo?
Si ungekausha tu na kubaki na majibu yako.
“SASA TUKISHAJUA TUNA ARGUE NA MPUMBAVU NA SISI TUNAMJIBU KULINGANA NA UPUMBAVU WAKE”
Hakuna anayejibu kwa kupotosha,Mnajibu kwa kupotosha , kumbuka Allah aliwaambia mnaweza eneza dini kwa kumdanganya mtu , unaitwa uongo mtakatifu takiya
Mkuu hii nadhani ulikua unawalenga champion na mokitiMaana ya neno Alaqa Nisha kupa.
Pili nakupa faida ya hadithi mbili kwa lugha ya kiarabu ukishindwa nikupe maana.
Nakupa na matini hii soma kama hujui nikupe maana
View attachment 2379033View attachment 2379034View attachment 2379035
Lengo langu kuu ni kuwasaidia waislamu kujua kwamba kitabu ambacho wameweka imani juu yake hakipo sahihi. Kina udhaifu mwingi hivyo ni vyema wakakimbia huko na kuwahi kwa Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi na uzima wa milele.Shida kubwa mliyonayo hamuanzishi mada kwa lengo la kujifunza.
Lengo lenu nikuanzisha mada kwa nia ya kuuzalilisha uislamu kwa sababu ya chuki zenu binafsi.
Mfano ww, umeanzisha mada yako hii ukijifanya kuna maswali yamekutatiza baada ya kulinganisha kile ulichosoma kwenye Quran na biolojia yako ukihitaji tukusaidie majibu.
Alaf baada ya kupatiwa majibu, unageuka na kujifanya mjuaji na kupinga kile ulichojibiwa, kumbe tayari ulikua na majibu yako pembeni, sasa uliaanzisha uzi kwa sababu gan? na majibu kumbe ulikua hayo?
Si ungekausha tu na kubaki na majibu yako.
“SASA TUKISHAJUA TUNA ARGUE NA MPUMBAVU NA SISI TUNAMJIBU KULINGANA NA UPUMBAVU WAKE”
Hakuna anayejibu kwa kupotosha,
Shida ni mtu kung’ang’ania tafsiri moja anayotaka yeye na kukataa tafsiri ya masheikh mbalimbali waliobobea ktk fani husika.
Alafu linakuja jitu limoja hata kiarabu halijui, hata kusoma tu Quran halijua halaf linajifanya lijuaji.
Limtu kama hilo tunalijibu kulingana na akili zake 😀😀
Alaf reference ya kile tunachojadili hapa mbona zipo kwenye tafsiri mbalimbali kama; sahih international, Yusuf Ali, Mohsin Khan, Dr Mustafa Khattab etc.
Shida yenu hamtaki kusoma na kubaki kung’ang’ania ujinga…..
Alaf reference ya kile tunachojadili hapa mbona zipo kwenye tafsiri mbalimbali kama; sahih international, Yusuf Ali, Mohsin Khan, Dr Mustafa Khattab etc.
Shida yenu hamtaki kusoma na kubaki kung’ang’ania ujinga…..
Yusuf Ali kasema damu iliyoganda unasemaje? Kadanganya autafsiri mbalimbali kama; Yusuf Ali,
Wamechanganyikiwa sasa wanazikimbia tafsiri za wanazuoni wao.Kwa hiyo Kuna Tafsir waislamu mmenandika kwa kupotosha
Embu gusa link mtuambie kwa nini mnapotosha
Kwa kusema ni clot kumbe ni mdudu leech
Hujafiatilia mada, waislam wenzako sasa hivi wameshasema quran haizungumzii pande la damu.23:14 mbona aya nyepesi na inajieleza.
Baada ya shahawa kinachofanya ni pande la damu.
Kwani wanapotoa mimba changa unadhani ni Nini kinachoharibiwa?