professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Chukua hii maana ya leech Chizi weweLeo utataja mdudu leech umemtoa wapi?
Umeshapitia stage za utetezi wa waislamu
1. Umetoa wapi , sio Hadith Sahih
2. Haisemi hivyo tafuta sheikh akueleweshe
3. Kwa matini ya kiarabu sio hivyo ,ngoja nikuwekee
Stage ya mwisho
4. Allah knows best
Lazima tuakikishe unafikia stage ya mwisho
Unapo ng'ang'ania Google tutazidi kunyoosha maana nisha kupa na chanzo ushapewa utafuteWatu wakubwa na akili zao wamesema ni clot na hawajaweka huyo mdudu wako wa kwenye majaruba leech
Gusa link , usije tu akanza kusema sunnah ni web ya wakristo
Sahih Muslim 2643a - The Book of Destiny - كتاب القدر - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Hakuna alie anzisha leech sema ulikuwa hujui kama miongoni mwa maana za Alaq leech ipoUnaweka uongo iyo leech mmeanziaha juzi juzi tu mlivyoanza kubanwa kuhusu damu iliganda kuwa ndani ya mwanamke
Hapo ndipo mnapo yumba sana na kuwaona wapuuzi tu, kuanzisha mada ndani ya mada.Lengo langu kuu ni kuwasaidia waislamu kujua kwamba kitabu ambacho wameweka imani juu yake hakipo sahihi. Kina udhaifu mwingi hivyo ni vyema wakakimbia huko na kuwahi kwa Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi na uzima wa milele.
Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.
The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.
This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
Kama tafsiri ya pande la damu na nyama ni sahihi basi hiyo inatosha. Pande la damu/nyama linaishi miezi minne bila uhai.Wewe hakuna muislamu alie ikataa tafsiri ya pande la nyama maana iko sahihi ila kichwa chako kilivyo kigumu wanakupa maana halisi ya neno Alaqa ili ukichaa wako ukutoke
Kwahiyo mwakani tutegemee tafsiri nyingine maana mtakuwa mmefanya editing ya quran?Machiz nyinyi uislam haujafunga mlango elimu unapewa tafasir hamutaki mnataka nini sasa ila najua mtaelewa tu
Kwahiyo hilo neno hapo linetumika kwa tafsiri mbalimbali? Ndio maana kila muislamu anayo tafsiri yake na version yake ya quran.Shida yenu ni kujifanya wajuaji,
Kiarabu ni lugha pana, neno moja la kiarabu linaweza kua na maana nyingi.
Shida yenu ni kung’ang’ania maana moja tu na kukataa zingine ndio hapo sasa unapoonekana zuzu..
Kwanini hili hamtaki kulitolea ufafanuzi?Unalazimisha tafasir zako hii inaonesha namna gani huna elimu
Leteni ufafanuzi wa hili jambo acheni kurukaruka:Shida yenu ni kujifanya wajuaji,
Kiarabu ni lugha pana, neno moja la kiarabu linaweza kua na maana nyingi.
Shida yenu ni kung’ang’ania maana moja tu na kukataa zingine ndio hapo sasa unapoonekana zuzu..
Umeamua kubadili mkao nakuja hukohuko piaKwanini hili hamtaki kulitolea ufafanuzi?
Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.
The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.
This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
Waarabu wanawategemea wazungu kwa kila kitu. Hata quran wameandika na kutunza manuscripts wao.Na mkumbuke tuna vyanzo asili sisi hatutegemei Google kama nyinyi
Bahati nzuri wanao kujibu wanakuekea na screen shot ili usiseme kua limetungwa yani iko hivi ili uijadili quran tukufu unapaswa usome haswa na sio GoogleKwahiyo hilo neno hapo linetumika kwa tafsiri mbalimbali? Ndio maana kila muislamu anayo tafsiri yake na version yake ya quran.
Kwani mfano niki kubali kua manuscript wanatutunzia wao ndio quran ita badili asili yake?Waarabu wanawategemea wazungu kwa kila kitu. Hata quran wameandika na kutunza manuscripts wao.
Quran imetungwa, kuhaririwa na kuhifadhiwa na wazungu.Kwani mfano niki kubali kua manuscript wanatutunzia wao ndio quran ita badili asili yake?
Wewe huelewi ni hivi neno lenyewe lina maana zaidi ya moja na zote ni sahihi hapo sio mwakani hata sasa ukileta mada inayohusu kitu cha msingi unajibiwaKwahiyo mwakani tutegemee tafsiri nyingine maana mtakuwa mmefanya editing ya quran?
Shauli yako waambie walete hata mfano wa aya moja ikiwa wanasema kweliQuran imetungwa, kuhaririwa na kuhifadhiwa na wazungu.
Hiyo ya miezi minne ni ya kwako hadithi nime kufafanulia kwa hadithi mwenzie kama utaendelea kubisha shauri yako mwenyeweKama tafsiri ya pande la damu na nyama ni sahihi basi hiyo inatosha. Pande la damu/nyama linaishi miezi minne bila uhai.
We umevurugwa bado kidogo tu hiyo ID yako itakuwa ya kiarabu[emoji23]Mwambie bibi yako aende kanisani uliyo yataka utayapata tu Yesu kalaaniwa bwana unakataa maandiko yako we vipi acha ujinga kabisa na usirudie kutuletea mada za mapichapicha humu
Kwa hiyo wewe una akili kumtetea Allah kama vile yeye hajiwezi?Huna akili wewe, yaan Mungu aamue kuzaliwa ili aje awakomboe aliwaumba yeye mwenyewe? We una akili kichwani humo??
Kwani yesu ajalaaniwa?We umevurugwa bado kidogo tu hiyo ID yako itakuwa ya kiarabu[emoji23]