Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Muhammad ameelezeaje ? Nipe maelezo ya hadith
 
Haya unayosema kuhusu yai hayapo. Pale sperm inakuwa damu iliyoganda hivyo jipange upya kabla hujaendelea kurusha matusi.
 
wewe usitoe akili mwako aya haikusema hivo hujui.

mwanzo mwa aya hiyo kwanza Allah alimuumba binaadam kwa udongo kisha akaja muumba binaadam kwa manii na akanza kupanga hatua zake,
Tutajie hatua zilizotajwa.
 
Ulishajibiwa post # 1714,
Nami pia nishakujibu huko nyuma, unapenda kurudiarudia utumbo tu.
Halaf ungekua mtu anayejielewa, ungeleta reference yako ya kile ulichoandika.
Na sio kujiandikia utumbo tu bila reference.
Ungeleta reference ya kile unachodai tukifanyie operation…
 
Quran inazo tafsiri nyingi sana. Hamtaki tuziite version lakini translations za biblia mnapenda kuziita version.
The new testament of the bible was first written in Greek,
wakat yesu mwenyewe alikua anazungumza Aramaic, na iliandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka.
Ishu ya bible kuwa na versions nyingi, sio ss ndio tumeandika na kuziita hivyo, usitusingizie sisi 😀.
Nyie wenyewe ndio mmeandika na kuziita versions.
Mfano:
King James Version
Bible union version
English standard version
New international version
New revised standard version


Zipo nyingi mno, kuna mpaka African bible 😀
 
Yaah, ni kweli kabisa huyu jamaa Mokiti na mwenzake championship hawapo kwaajili ya kujifunza ama kutaka kuijua kweli.
WAPO KWA AJILI YA UBISHI, KUKASHIFU NA KUTUKANA UISLAMU.

Quran 2: 256- “There is no compulsion in religion, the right course (path) has become clear (distinct) from the wrong (evil). So whoever disbelieve in false deities and believe in Allah has grasped a firm handhold that never breaks….”

Quran 76:3-“Hakika sisi tumembainishia (mwanadamu) njia. Ama ni mwenye kushukuru au mwenye kukufuru…”


Hivyo hawa nikuwaacha na upumbavu wao, maadamu wameamua kuchagua kukufuru.
 
Si Ni vilevile tu, seli_tishu_ ogani_mfumo_ mifumo_ Binadamu kamili,[emoji2322][emoji2322]
 
Wewe alie kwambia kua othman ndio wakwanza kuiandika quran ni nani yeye ilikuwa kazi yake ni kuikusanya na sio ndio wa kwanza kuiandika
 
Reference ipi unataka wakati nimeshakuambia nazungumzia manuscripts zilizopo birmingham?
 
Yesu alizungumza aramaic kama lugha mtaani kama kilivyo kiswahili hapa Tanzania ingawa wayahudi walitumia hebrew kama lugha yao ya asili (kama wachaga au wapare au wanyakyusa wanavyotumia lugha zao) na pia greek language ilikuwepo kama lugha ya kimataifa (pamoja na hiyo aramaic). Kwahiyo biblia ingeweza kuandikwa kwa lugha yoyote kati ya hizo kwasababu zilikuwa zinafahamika.

Vitabu vingi vya biblia vimeandikwa within 30 years tangu Yesu apae kwenda mbinguni kwahiyo ni uongo kusema viliandikwa miaka mingi baadae. Sisi tunapoita version tunamaanisha translation kwahiyo nyie ndio hamuelewi mnajiongelea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…