Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Acha blah blah na vitisho. Soma hapa:

Koran 2:73 So We instructed, “Strike the dead body with a piece of the cow.” This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life, showing you His signs so that you may understand

Hizo ndio kazi za Allah, ndio level zake. Nenda akupigepige na vipande vya nyama ufufuke.
 
Wewe alie kwambia kua othman ndio wakwanza kuiandika quran ni nani yeye ilikuwa kazi yake ni kuikusanya na sio ndio wa kwanza kuiandika
Nyie viumbe mtayakimbia matamko yenu mpaka mje kufa. Kila siku mnasena quran ilikuwa inahamishwa kwa kukariri kwasababu ya uweza wa Allah. Leo mmebadilisha kwamba ilikuwa haikaririwi bali iliandikwa.

Siku sio nyingi tukiwabana mtasema aliiandika muhammad mwenyewe akaiacha.
 
Wee si unapambana hapa kubishana na hoja unazopewa? Nenda kwenye uzi kule ukajibu Maswali
Naona kule umepigwa spana mpaka umeukimbia uzi wako. Wakristo wanajielewa na hawana mbwembwe kama nyie wafuasi wa jamaa wa mapangoni.
 
Unachekesha…
Are words version and translation have the same meaning?
Unataka kutuaminisha kwamba wenye lugha yao (wazungu) hawajui tofauti kati ya version na translation?
Halafu kuna biblia yenye vitabu 66 na ingine 73, je ipi ni ya kweli, ipi imeongeza na ipi imepunguza neno la mungu. Maana imeandikwa usiongeza wala kupunguza neno la Mungu.?
 
Unashupaza shingo bure. Biblia zote zinafanana isipokuwa zimetofautiana depth ya lugha. Kjv imetumia kingereza cha zamani wakati nkjv imetumia kingereza cha sasa.. vivyo hivyo kwa tafsiri nyingine.

Vitabu vya biblia ni 66 tu. Hivyo 6 vya kupelekea 72 ni upotofu wa katoliki na viliingizwa kinyemela miaka ya 1500s baada ya Martin Luther kihoji baadhi ya mambo. Katoliki badala ya kutubu wakaamua kuingiza vitabu vilivyokataliwa mwanzoni ili kujihalalishia.
 
Hahaha! ww ndiye unayeita tafsiri (translation).
Zinaitwa biblia (version) ya King James, biblia (version) ya kiafrika (African bible) etc na sio tafsiri ( translation) ya King James, ama tafsiri ( translation) ya kiafrika n. k.
ww ndiye unayesema tafsiri 😀😀,
Ingekuwa ni tafsiri ingeonyesha original language (Greek or Hebrew) kwenda Lugha zingine ( English, German, Kiswahili etc) kama ilivyo kwa Quran, from Arabic to other languages i.e. English, French etc.

Tuje kwenye idadi ya vitabu, naona hapa umeanzisha vita kati ya Catholic na Protestant. Eti unakataa vitabu 6 au 7 alivyoweka Catholic wakati huyo ndiye aliyekuandikia biblia. Hiyo vita nawaachia mparuane nyie kwa nyie 🤣😂
 
Hakuna alie kimbia maandiko quran mpaka leo inaamishwa kutoka kwenye vitabu kuingia katika vichwa vyetu hii haina maana kwamba misahafu haipo na hiki
 
Machiz hawa wakati vitabu vyao vinafanywa supu ndio wanalazimisha hadi kitubu chetu Tukufu kuandikwa andikwa hovyo na mijitu Mungu wao ana laaana tena version wanasema wakubwa wao wao wanaiita tafsiri huu si upunguani kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unashupaza shingo bure. Biblia zote zinafanana isipokuwa zimetofautiana depth ya lugha. Kjv imetumia kingereza cha zamani wakati nkjv imetumia kingereza cha sasa.. vivyo hivyo kwa tafsiri nyingine...
We huna akili soma hii hapa uliilewa kua huna kitabu hapo

 
Naona kule umepigwa spana mpaka umeukimbia uzi wako. Wakristo wanajielewa na hawana mbwembwe kama nyie wafuasi wa jamaa wa mapangoni.
Hahahah sio kujielewa upunguani huezi jenga hoja wakati mwenye hoja hiyo hayupo hao modereta wako waufungue uzi kwake alafu muone kama watakaa mule na Mungu wenu alie laaniwa kama ibilis
 
Yani wewe ndio zaidi ya wajinga alie fanya hivyo kupiga mwili ulio kufa ili ufufuke alikua Mungu?
Yeye Mungu anaweza kufufua moja kwa moja na kwa njia anayotaka yeye wewe ulivyo juha unataka kumpangia anacho fanya mimi ndio maana na wapa pole hujui hata hiyo sababu ya kufanya hivyo
 
We huna akili soma hii hapa uliilewa kua huna kitabu hapoView attachment 2380496
Huyu chizi kabisa, waliomuandikia wanaziita Versions yeye anajitoa akili anasema translations. Eti anawakosoa wenye lugha yao 😂😂.

Chakushangaza tena ndani ya hizo biblia anazoziita translations kuna baadhi zina miss baadhi ya verse (aya) na nyingine zimeongezewa verse kama ulivyompa huo mfano👆.
Hizi biblia wanazi edit kila kukichwa kulingana na maslahi yao..
 
Alafu swali lilikuwa jepesi tu nimekuuliza ni nani aliye kwambia kua othman ndio wakwanza kuiandika quran una kuja na maneno kibao
Ungesema ni fulani basi
Nianze kuwapopoa hapa mwalimu wenu.
 
Koran 2:73 So We instructed, “Strike the dead body with a piece of the cow.” This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life, showing you His signs so that you may understand

Huu ndio ulikuwa muujiza wa kwanza wa Mtume Muhammadi pale Maka.

Hapo ukiwauliza je ni kweli Allah anafufua wafu kwa namna hiyo ?

Watakuita Kafiri na hata kutaka kukuchinja kabisa.
 
Haya naanza na kukupa pole tukio hilo halija fanywa na mtume Muhammed so kasome tena uje uulize swali mwalimu wako nipo hapa nakusubiri!!
Na kwa namna hiyo huijui quran nitakurekebisha zaidi na zaidi.
 
Kama yesu mtu aliweza kufufua mtu kwanini ALLAH ashindwe?
 

Acha kuongea uongo. Kila version ina mabadiliko yake. Kwa nini mnapenda kuongea uongo? Una habari kila mzungu ana version yake anaifuata na nyingine anaikataa kwa sababu maalum.
 
Biblia imetafsiriwa kutoka original language kwenda lugha nyingine. Hakuna tafsiri inayofanywa kutokea second language kwenda another language.

Kimsingi the best translation ambayo inakubalika na asilimia kubwa ya scholars na wakristo kwa ujumla ni king james version (KJV). Hii ilifanywa word to word kutokea kwenye hebrew, greek na aramaic manuscripts.

Ni very very rare kukuta argument against kjv among christians.

Biblia haijaandikwa na roman catholic, acha kujikaririsha mambo. Kihistoria councils nne za church fathers zilikaa kuanzia 170AD mpaka 397AD kupitisha vitabu sahihi. St Jerome alichofanya ni compilation ya vitabu ambavyo vilishakuwepo.

Biblia iliandikwa kwa ujumla na kanisa lililokuwa universal kipindi hicho na sio roman catholic unayoifahamu leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…