Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Mimi sijampangia allah ambaye ni moja ya creators maana anajiita yeye ndio bora ingawa hata hajui hatua za utungaji mimba na wala hajui sperm zinatokea wapi.
Iloo utahangaika sana tu na Mungu wako alie laaniwa huyo kama ibilis

Umepewa majibu mpaka umekinai
Huna kitu wewe kwenye uislamu hii dini inahitaji elimu kweli sio hizo Zenu za kukopy mpaka pumba eti version na translation maana yake ni moja
Uyo kanda mzungu wa bongo ndio ana maana hiyo
 
Umekosa utetezi mpya mpaka urudie kupost hili? Hapa tayari umeshaambiwa ilianza kuandikwa 568AD wakati Muhammad alianza kukutana na jibril 610AD. Bado huoni tunachokuambia?
 
Kwahiyo unapinga kwamba Allah hajawahi kutumia pande la nyama kufufua?
Nipe aya inayosema Allahu kafufua kwa pande la nyama hapa mimi naijua quran bro wewe hata neno na tumewaelekeza unaliandika mwenyewe na hulioni hapo kweli hamna kitu au nikumalizie na mstari huu chochote anachotaka yeye usema kua na kikawa.
 
Hapa naona umepaniki hata hueleweki unaongelea nini.
 
Sijaelewa hoja yako hapa ni nini. Mimi nimekuambia manuscripts za biblia zipo London na Vatican.
Hizo za vitabu vingine vya bibilia ziko wapi na hizi zinazo fichwa manuscript hawa zioni na je version na translation ni maneno ya visawe hayo
 
Nipe aya inayosema Allahu kafufua kwa pande la nyama hapa mimi naijua quran bro wewe hata neno na tumewaelekeza unaliandika mwenyewe na hulioni hapo kweli hamna kitu au nikumalizie na mstari huu chochote anachotaka yeye usema kua na kikawa.
Aya tumeshakuwekea hivyo hakuna haja ya kuirudia. Atachinja ng'ombe wangapi ili awafufue na kuwapatia mabikira 72?
 
Quran ilikuwa inaandikwa kipindi cha muhammad?
Ndio
Ilikuwa ina andikwa na ilikuwa ina kaririwa moja kwa moja kwenye vichwa vya waislamu

Hivyo ndio maana huwezi kukuta mtu akaeka neno lake mule au akafanya anavyotaka yeye ndio maana hukuti version kwenye quran
Nakupa faida
Baada ya miaka kadhaa ya mtume kufa ndio othman akaikusanya na kuwatafuta pia walio hifadhi na kuiandika katika kitabu kimoja mpaka sasa kiitwa cho msahafu
Hapo ikawa wepesi huwezi kuruka andiko wala aya kwa sababu kuna reference mbili kichwa cha muislamu kilicho salama na maandishi

Zingatia sijakwambia Mohamed ndio alikuwa anaandika maana wewe kichwa chako unakiweza mwenyewe
 
Kwahiyo muhammad yeye alikuwa anazisoma na kukariri kutoka kwenye kitabu cha jibril. Halafu akishamaliza anawakaririsha wengine halafu wao badala ya kukariri wakaamua kuziandika?

Kwahiyo quran yote inategemea tu kama muhammad alikuwa sahihi?
 
Umeona ulivyo na kichwa box haya nioneshe hapo kwenye maneno yangu kama nimemtaja hata jibril koleza nasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…