Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Tumeshakuambia reference kwenye english translation ni KJV.
Utetezi wako unaonesha wazi kua hiyo ni dini ya maslahi haina uongozi madhubuti kuzibiti walaghai wa Dini wasije kuiharibu dunia kwa kutoa vitabu tena wanavinasibisha na maneno ya Mungu na wanachwa bila kukemewa
 
Aya nioneshe panaposema Allahu anafufua kwa pande la nyama alafu koleza nasubiri hapa wewe si unajifanya kichwa ngumu.
Koran 2:73 So We instructed, “Strike the dead body with a piece of the cow.” This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life, showing you His signs so that you may understand
 
Nipe aya inayosema Allahu kafufua kwa pande la nyama hapa mimi naijua quran bro wewe hata neno na tumewaelekeza unaliandika mwenyewe na hulioni hapo kweli hamna kitu au nikumalizie na mstari huu chochote anachotaka yeye usema kua na kikawa.
Koran 2:73 So We instructed, “Strike the dead body with a piece of the cow.” This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life,

Mbona Allah kasema hivyo ndivyo anavyofufua

Tukiwaambia nyie na Hindu mpo sawa mnarusha mateke , Koran ina surah ya ng'ombe 😂😂😂😂
 
Umeona ulivyo na kichwa box haya nioneshe hapo kwenye maneno yangu kama nimemtaja hata jibril koleza nasubiri
Kwahiyo muhammad yeye alikuwa anazisoma na kukariri kutoka kwenye kitabu cha jibril. Halafu akishamaliza anawakaririsha wengine halafu wao badala ya kukariri wakaamua kuziandika?

Kwahiyo quran yote inategemea tu kama muhammad alikuwa sahihi?
 
Utetezi wako unaonesha wazi kua hiyo ni dini ya maslahi haina uongozi madhubuti kuzibiti walaghai wa Dini wasije kuiharibu dunia kwa kutoa vitabu tena wanavinasibisha na maneno ya Mungu na wanachwa bila kukemewa
Tumeshakuambia standard kwa kingereza ni KJV
 
Koran 2:73 So We instructed, “Strike the dead body with a piece of the cow.” This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life, showing you His signs so that you may understand
Nawapa jibu sasa kwanza mmerudia tena kosa lile lile nilicho taka mimi ni aya inayosema kua Mungu amechukua nyama na kumpiga mtu akafufuka mkaniletea aya hiyo hiyo tena iko wazi inajieleza
mosi walio piga nyama ili afufuke alie kufa sio Mungu kitendo kilichofanywa hapo kimetafsiriwa na maneno ya chini alipo sema kua showing you his sign so that you may understand.

Fahamu hiko ni kisa cha waisraeli waliokuwa wanamfuata musa kumuomba ili awafufulie mtu wao alie kufa hivyo Allahu aka wapa kazi hiyo ya kufanya hao wenyewe kwa maana hawa kua ni manabii pia hawa kua ni Mungu

So hapo walipewa mfano tu kidogo kua Mungu anaweza kufanya chochote .

Kwanini wachinje ngo'mbe
Jibu walipo enda kwa musa kuhusu kuomba hivyo wakaanza kumwambia kwa kumuamuru mtume wa Mungu na hivyo Mungu nae akawapa adhabu ya kumtafuta ng'ombe kwanza wakishampata ndio majibu yao wayapate kuhusu kufufuliwa wanataka
Na wala hiyo haina maana kua hiyo ndio namna pekee ya kufufua hapajesemwa hivyo kwenye aya natumai mmenielewa wewe na mokit mpe aisome post hii
 
Kwahiyo quran yote inategemea tu kama muhammad alikuwa sahihi?

Kuna mda kama mwaka alikuwa mgonjwa wa schizophrenia

Muhammad aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063

Alikuwa anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya, ndio unakuta story za kupaa na punda mwenye mabawa
 
Kwahiyo muhammad yeye alikuwa anazisoma na kukariri kutoka kwenye kitabu cha jibril. Halafu akishamaliza anawakaririsha wengine halafu wao badala ya kukariri wakaamua kuziandika?

Kwahiyo quran yote inategemea tu kama muhammad alikuwa sahihi?
Majibu rahisi kwanza hujaonesha sehemu mimi nimesema kua jibril ana kitabu anamkaririrsha Mohammad.

Pili natumai umemuona mtaalamu wako profesa Tomas akiizungumzia manuscript ya Birmingham.

Tatu alie kua anaisoma ni mtume kutoka kwa jibril hapo hapa kuwa na kitabu baina yao
Nne jibril yeye aliyatoa maneno hayo kutoka kwa Allahu moja kwa moja na ilikuwa inateremshwa kutokana na matukio halisi au maswali anayo ulizwa mtume so kama unapingana na matukio yaliyokua yanatokea kwa wakati husika labda mwenzetu ulikuwepo haya.

Tano wanafunzi wa mtume ndio walikua wanaandika maneno hayo kwenye magamba au ngozi za ngamia.

Pale tu wanapohadithiwa na mtume

Ushahidi juu ya haya ni kua hukuti kwenye quran aya zina kinzana kama ilivyo kwenye bibilia
Kwanini kwa sababu quran imeandikwa na kuhifadhiwa lakini bibilia imeandikwa kwanza mwenyewe Yesu akiwa kashaondoka

Waandishi walikuwa wanajiandikia tu kwa sababu hawajui ukweli wowote hasa Paulo

Ushahidi alie andika kitabu cha Yohana alitafutwa ili athibitishe madai yake lakini hakupatikana ingawa cha ajabu
Maneno hayo yapo kwenye hiyo hiyo bibilia
 
Koran 2:73 So This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life,

Msingi ndio huo Allah ndio njia yake kufufua wafu , inamaana nyie kina Abdool siku ya mwisho mtakuwa unapigwa na pande la nyama unafufuka unapiga mwingine anafufuka ng'ombe 😂😂😂 an heshimika kama Hindu mmempa na surah kabisa
 
Naona ukishindwa hoja unatoa mpya nakurudia hivi punde.
 
Unalazimisha maana unayo taka wewe waislamu wanacho jua ni hiki kuhusu Allahu
 
Na kwa bahati nzuri quran inajieleza yenyewe ikiwa vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…