Kwahiyo muhammad yeye alikuwa anazisoma na kukariri kutoka kwenye kitabu cha jibril. Halafu akishamaliza anawakaririsha wengine halafu wao badala ya kukariri wakaamua kuziandika?
Kwahiyo quran yote inategemea tu kama muhammad alikuwa sahihi?
Majibu rahisi kwanza hujaonesha sehemu mimi nimesema kua jibril ana kitabu anamkaririrsha Mohammad.
Pili natumai umemuona mtaalamu wako profesa Tomas akiizungumzia manuscript ya Birmingham.
Tatu alie kua anaisoma ni mtume kutoka kwa jibril hapo hapa kuwa na kitabu baina yao
Nne jibril yeye aliyatoa maneno hayo kutoka kwa Allahu moja kwa moja na ilikuwa inateremshwa kutokana na matukio halisi au maswali anayo ulizwa mtume so kama unapingana na matukio yaliyokua yanatokea kwa wakati husika labda mwenzetu ulikuwepo haya.
Tano wanafunzi wa mtume ndio walikua wanaandika maneno hayo kwenye magamba au ngozi za ngamia.
Pale tu wanapohadithiwa na mtume
Ushahidi juu ya haya ni kua hukuti kwenye quran aya zina kinzana kama ilivyo kwenye bibilia
Kwanini kwa sababu quran imeandikwa na kuhifadhiwa lakini bibilia imeandikwa kwanza mwenyewe Yesu akiwa kashaondoka
Waandishi walikuwa wanajiandikia tu kwa sababu hawajui ukweli wowote hasa Paulo
Ushahidi alie andika kitabu cha Yohana alitafutwa ili athibitishe madai yake lakini hakupatikana ingawa cha ajabu
Maneno hayo yapo kwenye hiyo hiyo bibilia