Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Quran ni uwongo uwongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sio sharti, ni uhalisia. Sio kila maandishi yaliyopo kwenye biblia ni maneno ya Mungu.Mbona waweka sharti? Kwani si biblia yote ni neno la Mungu? Au kuna maneno ya Mungu na ya Waandishi?
Ila wale waandishi si walikuwa inspired na Mungu ?
(Si lazima unijibu mkuu)
Waandishi wa kinabii wote walikuwa inspired na wengine waliandika kwa moyo wa dhati wakimpenda Mungu.Kwahiyo Mungu hakuwainspire Kuandika?
Au wamaanidha kuwa penye mikanganyiko basi hapo Mungu hakuhusika? Sijakuelewa mkuu
Unarudia haya maandishi bila ushahidi wowote.Kama kweli wewe ni mtu ‘Objective’ katu usingeandika madai haya kuhusu Biblia.
Kwa mfano shetani alipokuwa anatamka maneno akimjaribu Yesu nayo yameandikwa kwenye biblia, mapepo yalikuwa yanamtambua Yesu Kristo nayo yameandikwa kwenye biblia.. ndio maana nasema hata maneno ya shetani yapo mule.Mpaka shetani katia maneno yake kwenye kitabu kitakatifu?
Hapa nadhani unafanya utani maana biblia iko moja tu kwenye kigiriki (pia manuscripts za lugha nyingine zipo) na watu wote wanaofanya tafsiri ni lazima waanzie kwenye lugha hiyo.Au kabla ya yote unazungumzia biblia gani, maana hapa ninazo nyingi sijui nianze fungua ipi
Naomba verse zenye madai haya.kila kitu ni hapahapa upya wake ni kwamba itafanyiwa utakaso yaani kila takataka itatolewa itasafishwa haswaa Kwa mujibu wa vitabu vya dini
Kwa hiyo wewe unamuamini historian more kuliko bibilia yako?? Kumbe Nani anayeleta porojo hapa,,? Ushahidi yesu hakusulubiwa huu hapa,,,,Josephus ambaye ni prominent Jewish historian ameandika kuhusu Yesu Kristo mpaka alivyosulubiwa na kufa, kuzikwa na kufufuka nje kabisa ya biblia.
Sasa leta ushahidi unaomhusu issa kutokea Israel. Acha porojo.
Anayeweweseka NI wewe unayefatilia mambo yasiyo na maana kwako na tena basi wala hayakuhusu lkn unapoteza muda wako kufatilia kama sio muweweseko na umbeya NI nini!Unaweweseka Sana , Koran ni rap song Yani shetani unakuta wanaishia kina kimoja na Allah
Wakristo ndio waanzilishi wa kuimba biblia ,ingia u tube uwakute wanaimba na tena Kuna vichwa wamekariri balaa
Na pia ka kitabu kama korani kako kama ka kipeperushi ni siku mbili tu unakakariri chote,
Nimepitia vema upo sahihi katika biblia mungu ataumba nchi mpya na mbingu mpya [emoji120][emoji120][emoji120] nili confuse na mawaidha ya kiislamNaomba verse zenye madai haya.
Nioneshe mstari wa quran unaomtaja Yesu Kristo. Usilete porojo za issa wa kusadikika.Waislam tunasema yesu hakusulubiwa Bali alimuomba Mungu amuokoe na Mungu aliisikia dua take akamtumia malaika wakamnyanyua na mbawa zao Hadi mbingun
Zaburi hii ndio ushahidi wako wa Yesu kutosulubiwa?🤣Zaburi 91
Tuletee aya ya quran inayosema mambo haya.kabla ya kusulubiwa yesu alijitenga pembeni akamuomba Mungu kikombe kile kimuepuke mara tatu nzima,,,waislam tunasema Mungu alisikia dua yake akamuokoa
Kwa mtu uliyezoea kukariri quran huwezi kuelewa mistari kama hii.Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Trust me, all religions are dead. Islam is even more dead. Only those with a relationship and a fellowship with the Holy Spirit are alive.Christianity is a dead religion,,,NI dini iliyokalia kuti Kavu,,mnaweweseka kuona uislam unachanja mbuga licha ya fitna na uhasidi mnaoufanya,,,,
Ndugu yangu ukristo hauanguki Leo wala Kesho na utasubiri Sana tumekutwa na tutaendelea kuwepo nakwambia hivi wewe Leo ukitengwa na msikit Kwa kupinga ubaya unaofanyika hutaweza kujipatia hata mfuasi mmoja ukiamua kuelimisha watu na hiyo nadhan n kutokana na Aina ya ufundidishaji wenu ila ukristo ni kama atom Yan kila kipande kinachomeguka katika ukristo kina nguvu na sifa ya kikristo angalia kina Martin Luther,Hellen white,king henry,na wengine Sheria yetu ni moja Christianity can not be destroyed hata uchome nyaraka zetu zote na hauwezi Tu maana majaribio ya kuchoma nyaraka zetu yashafanyika Karne na Karne ila bado tupo strong Leo hii mim na wewe tukipelekwa katika nchi ya wasioamini tukaambiwa tushindane kuwa convert nadhan utapanic na kuanza kutumia panga maana utafeli katika taratibu nzuri za kumfanya mtu aamini kuwa Una habari njemaKwa hiyo wewe unamuamini historian more kuliko bibilia yako?? Kumbe Nani anayeleta porojo hapa,,? Ushahidi yesu hakusulubiwa huu hapa,,,,
Zaburi 91;
tiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
2 Nitasema, Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
3 Maana Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo.
4 Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.
5 Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana,
6 Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri,
7 Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe.
8 Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki.
9 Kwa kuwa Wewe Bwana ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako.
10 Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.
11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.
12 Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
13 Utawakanyaga simba na nyoka, Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
14 Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.
15 Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza;
16 Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
Soma Kwa sauti na WA nyumba asikie,,Mungu anasema hatoruhusu hata ajikwae kwenye jiwe sembuse kusulubiwa msalabani!! Waislam tunasema yesu hakusulubiwa Bali alimuomba Mungu amuokoe na Mungu aliisikia dua take akamtumia malaika wakamnyanyua na mbawa zao Hadi mbinguni! Je maelezo haya hayafananii na ISA WA waislam na sio yesu WA wakristo maana yeye alitemewa Hadi mate,,,
Ushahidi mwingine huu,,sikia Paulo anavyowasuta
Gal 3:1-14
Gal 3:1-14 SUV
Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani? Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili? Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli.
Haya yesu anasema ombeni nanyi mtapewa na NI mzazi gani mwanae atamwomba mkate Naye atampa jiwe au nyoka'' kabla ya kusulubiwa yesu alijitenga pembeni akamuomba Mungu kikombe kile kimuepuke mara tatu nzima,,,waislam tunasema Mungu alisikia dua yake akamuokoa nyie mnasema hapana aliombamkate Mungu akampa jiwe [emoji16],,,Jambo lingine kama alihiari Kwa nafsi yake kutolewa sadaka Kwa ajili ya upuuzi wenu,,Kwa nini alilia Kwa huzuni akimlaumu Mungu kua amemuacha Kwa maana nyingine amemtelekeza kama waandishli anavyosinulia?? Unaelezeaje hii mkanganyiko,,,na hamjaishia hapo kisha bila haya mnasema yesu mtumishi WA Mungu amelaaniwa Kwa ajili yenu,,,,upuuzi Tu,,, by the way kutundikwa msalabani NI adhabu walikua wanaitumia kipindi hicho Kwa wahalifu na yesu Hakua NI MTU pekee mwenye Hilo jina,,
Anayeweweseka NI wewe unayefatilia mambo yasiyo na maana kwako na tena basi wala hayakuhusu lkn unapoteza muda wako kufatilia kama sio muweweseko na umbeya NI nini!
Et kuna vichwa wamekariri bibilia in your dreams ikitokea tulale tuamke kipeperushi cha bibilia kimetoweka na ukristo Kwisha habari yake mtabakia kwenda kanisani kuimba kwaya na kuwachangia wachungaji kujaza matumbo Yao,,,
Christianity is a dead religion,,,NI dini iliyokalia kuti Kavu,,mnaweweseka kuona uislam unachanja mbuga licha ya fitna na uhasidi mnaoufanya,,,,
Tone ikageuka kuwa damu iliyoganda.🤣 Unajua kwamba damu ikiganda inakuwa dead? Muhammad anasema damu hiyo iliyoganda inakaa siku 40 ndani ya tumbo la uzazi la mwanamke halafu inabadilika kuwa nyama kwa siku nyingine 40.Mbona hiyo aya ipo poa na inaeleweka vizuri tu. Aya inasema tone ikageuka kuwa damu iliyoganda sio tone imeingia kwenye damu iliyoganda na atua zilizofuata iyo damu iliyoganda ikageuka kuwa nyama then kuwa mifupa na mwisho kuwa kiumbe. Mleta uzi utakuwa umekurupuka kwasababu uliongozwa na akili ya kutafuta makosa na sio kujifunza
Mwanzo ulisema bibilia ni maneno ya Mungu nilipo kuuliza kwenye huu uzi unasema maneno mengine siyo ya Mungu ok mapungufu yaliyopo kwenye bibilia sio hayo tuHilo sio sharti, ni uhalisia. Sio kila maandishi yaliyopo kwenye biblia ni maneno ya Mungu.
Waandishi wa kinabii wote walikuwa inspired na wengine waliandika kwa moyo wa dhati wakimpenda Mungu.
Unarudia haya maandishi bila ushahidi wowote.
Kwa mfano shetani alipokuwa anatamka maneno akimjaribu Yesu nayo yameandikwa kwenye biblia, mapepo yalikuwa yanamtambua Yesu Kristo nayo yameandikwa kwenye biblia.. ndio maana nasema hata maneno ya shetani yapo mule.
Hapa nadhani unafanya utani maana biblia iko moja tu kwenye kigiriki (pia manuscripts za lugha nyingine zipo) na watu wote wanaofanya tafsiri ni lazima waanzie kwenye lugha hiyo.
Translation zipo nyingi kwasababu lugha inakua na hivyo ili kumsaidia msomaji basi inawekwa kwenye lugha ambayo ataielewa.
Ni sharti, japo sitalizingatia.Hilo sio sharti, ni uhalisia. Sio kila maandishi yaliyopo kwenye biblia ni maneno ya Mungu.
Vizuri sana.Waandishi wa kinabii wote walikuwa inspired na wengine waliandika kwa moyo wa dhati wakimpenda Mungu.
Vuta subra, nitakupa ushahidi ukitaka.Unarudia haya maandishi bila ushahidi wowote.
Safi “kwenye biblia kuna maneno ya shetani” hii nzuri.Kwa mfano shetani alipokuwa anatamka maneno akimjaribu Yesu nayo yameandikwa kwenye biblia, mapepo yalikuwa yanamtambua Yesu Kristo nayo yameandikwa kwenye biblia.. ndio maana nasema hata maneno ya shetani yapo mule.
Si utani, kwani hujui aina tofauti za biblia?Hapa nadhani unafanya utani maana biblia iko moja tu kwenye kigiriki (pia manuscripts za lugha nyingine zipo) na watu wote wanaofanya tafsiri ni lazima waanzie kwenye lugha hiyo.
Translation zipo nyingi kwasababu lugha inakua na hivyo ili kumsaidia msomaji basi inawekwa kwenye lugha ambayo ataielewa.
1. Napata hisia kuwa vifungu vya dini ni kama methali au nahau; huku kukiwa na 'haraka haraka haina baraka', kule kuna 'kawia umkute mwana si wako'. Ni ipi anaamua kuitumia mtu inategemea na alivyobananishwa katika muda husika.Imeandikwa;
Mathayo 7:6.
"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua".
Ukilisoma na kulielewa vizuri hilo andiko hapo juu, utamtambua mleta mada ni sawa na nguruwe, huyu hataki kuelewa chochote utakachomwambia, lulu ni maandiko unayompa ambayo mengi hayafahamu maana yake, matokeo yake anayakanyaga chini ya miguu yake, na usipokuwa makini, atakugeukia aanze kukutukana [kukurarua].
Ushauri wangu kwako, muache.
Kwa mujibu wako,, vitu vingi hapa duniani mwisho wa siku ni ubatili Tu hasa kikishafika katika mikono ya binadamu wadanganye hao haoQURAN HAINA MAPUNGUFU YOYOTE
Hivi ndivyo nilivyosema kwaniKwa mujibu wako,, vitu vingi hapa duniani mwisho wa siku ni ubatili Tu hasa kikishafika katika mikono ya binadamu wadanganye hao hao
Wapi umeona kwamba vifungu vya biblia havitafsiriwi??1. Napata hisia kuwa vifungu vya dini ni kama methali au nahau; huku kukiwa na 'haraka haraka haina baraka', kule kuna 'kawia umkute mwana si wako'. Ni ipi anaamua kuitumia mtu inategemea na alivyobananishwa katika muda husika.
Kama kila mmoja akiamua kukifuata kifungu hiki ulichokiweka hapa, wakiwemo na hao wa mwanzoni, ungekuwa na imani hiyo uliyonayo leo ya ukristo? Unafikiri mababu zako hawakuwa na imani zao kipindi hiko? Mjibu mtoa mada kama una ywezo, kukimbia kwa mtindo huu si dawa. Na kama huwezi basi waachie wanaojaribu.
2. Naziona mada za kukashfu Uislamu humu kila saa, vifungu vinachukuliwa na kutafsiriwa vile watu wanapenda ili kujifurahisha......ukigeuka huku kuna vicheko na kashfa juu ya kauli kuwa 'jua huzama matopeni' na ukigeuka kule kuna 'Mtume kuoa mtoto sijui wa miaka 6 au 9'. Humo watu wanabeba kauli hizo kama zilivyo na kujitengenezea vijistories vya kujifurahishia. Akitokea mjuzi wa kiislamu na kutoa angalizo kuwa vifungu hivyo vya kwenye Qur'an havitafsiriwi kwa namna hiyo (vinakuwa na maana zaidi ya ionekayo hapo) hushambuliwa na jitihada kubwa ya kuhakikisha anapuuzwa hufanyika.
Leo nashangaa, kwenye mada hii inatoka kauli ileile kuwa 'vifungu vya kwenye Biblia havitafsiriwi hivyo'.........nimechoka!!!
Jamani ee! shika na hangaika na unachokiamini, chimbua hicho kivyako ili uwe vizuri; mwachie mwingine kile usichokiamini ahangaike nacho, kivyake!
Mkuu hapa ndio watoto wa mjini wanasema umedandia treni kwa mbele.Soma pia matayo 1:16 yakobo akamzaa yosefu ambae alikuwa mumewe Maria mama wa Yesu aitwaye kristo.
Njoo Luka 3 :23 Yesu alikuwa na umri wa miaka 30 alipoanza huduma yake alikuwa akidhaniwa kua ni mwana wa yosefu alie kua mwana wa Elia
Hapa unarudia kosa lile lile la kukaa mwilini. Biblia iko wazi kabisa kwamba Yesu alikuwa nyikani kwa siku arobaini. Hili ni ile nyika ipo pembezoni mwa barabara itokayo Jerusalem kwenda Jericho karibu na mto yordani.Wakati huo MATAYO 4:8 Inasema kwa mara nyingine ibilisi akamuacha Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonesha falme zote za Dunia na wengine fahari zake.
Hubu wana sayansi watusaidie hili la yesu kutoka kwenye mwili wake na bado alikua hai.Yesu alitoka kwenye mwili wake lakini bado alikuwa hai katika ulimwengu wa roho. Mwili unahesabika kwamba umekufa iwapo roho imetoka.
Mbona mkuu andiko liko wazi hapo wapi amesema alikuwa anawazaMkuu hapa ndio watoto wa mjini wanasema umedandia treni kwa mbele.
Luka anamtaja Yusuph ambaye alikuwa baba wa Yesu lakini immediately inaanza kutaja ukoo wa Mariamu aliyemzaa Yesu. Mariamu alizaliwa na Eli. Kiufupi luka anaongelea uzao aliotokea Mariamu.
Mathayo anamzungumzia Yusuph ambaye alikuwa baba mlezi wa Yesu Kristo. Kwahiyo Mathayo anazungumzia ukoo wa Yusuph aliyemlea Yesu.
Hapa unarudia kosa lile lile la kukaa mwilini. Biblia iko wazi kabisa kwamba Yesu alikuwa nyikani kwa siku arobaini. Hili ni ile nyika ipo pembezoni mwa barabara itokayo Jerusalem kwenda Jericho karibu na mto yordani.
Hakuna siku ambayo aliondoka pale nyikani kwahiyo majaribu yote yalikuwa katika namna ya imagination na mawazo. Kwa njia hii hata wewe hapo unaweza kusafiri maeneo mengi sana ukiwa hapohapo ulipo.