Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Najua hujui bado usemacho nipe aya inayosema kua baada ya siku arubaini Allahu anamfanya mtoto apumue ili nikujibu?
Mpaka huu mjadala unaisha utaanza kupinga kwamba muhammad hakutumwa na Allah.

Screenshot_20221006-151456.jpg
 
Umekosa point umebaki kuweka huu mchoro kila mara. Bahati mbaya mchoro wako ni wa kipumbavu maana unaonesha ogani zinaelea juu zenyewe.
Hu mchoro sio wangu ni wa wanasayansi wako ambao uliwaita wakusaidie

Sasa unawambia michoro yao ni ya kipumbavu it means wanasayansi Leo wamekuwa wapumbavu kisa wameweka wazi umbumbu wako

Maelezo ya wanasayansi na michoro yao wapo Sasa sio wapumbavu ila wewe ndio mpumbavu

Na kama wewe sio mpumbavu Jibu swali

Ukitoka katika Seminal vesicle kuelekea juu unakutana na mfupa gani? na ukielekea kulia au kushoto unakutana na mfupa gani?
Screenshot_20221003-210847.jpg
 
Acha KUPIGANIA DINI na KUMSAIDIA ALLAH maana ni lazima aje kujitetea mwenyewe. Ni bora ujitoe kumpigania Muhammad katika upotofu wake.

Twende sasa kidaktari na tafiti za kisayansi. Mtoto anaanza kupumua (breathing) kuanzia wiki ya kumi (miezi miwili na siku kumi) lakini Allah kwa ujinga wake anasema anampa mtoto pumzi mwezi wa nne (wiki ya 17). Shame on Allah, shame on Muhammad.

View attachment 2378387

Na moyo wa mtoto unaanza kudunda (heartbeat) kuanzia wiki ya ya tano mpaka ya sita (yaani mwezi mmoja na wiki mbili). Lakini Allah anasema hilo litawezekana akipewa pumzi wiki ya 17.

View attachment 2378388

Ushauri wangu, kimbilia kwa Yesu Kristo uokolewe badala ya kuendelea kubaki kwa baba wa uongo, lucifer aliyefukuzwa mbinguni na kutupwa duniani
TULIA DAWA IINGIE, ACHA KUTAPATAPA, ooh mara yesu kristo , sijui lucifer acha kuingiza vitu nje ya mada.
Ukitaka hizo mada fungua thread yake utajibiwa. Hii inaonyesha ni jinsi gani usivojielewa.

Turudi kwenye mada, kwanza reference ulizotoa hauna tofauti na Layman umekimbilia ku google, kitu ambacho hata mtu ambaye hajaenda shule anaweza kukifanya.
Ungekuwa ni msomi, reference zako ungezitoa kwenye research articles ama medical books zinazo zungumzia embryology & human development, Obs & Gyne etc. Badala yake umekimbilia ku-google kisha kurudi hapa na kujifanya mjuaji kumbe ni boya tu.
Hapo kwenye hadith uliyo quote, ''kisha tukampulizia pumzi (roho)''. Ulidhani ndiyo hiyo breathing na heartbeat kwa sababu uelewa wako ni mdogo. Jua kwanza kutofautisha kati ya ''ROHO, MOYO na MAPAFU''
 
Maana ya alaqa nilishaiweka kwenye post #1
Naanzia hapa ulipo ikariri maana ya alaqa kwa maana moja teyar ushakosea ilo neno halina maana moja kama unayo ing'ang'ania wewe angalia maana ya neno Alaqa hapa chini
The period begins on day 15 and is completed on day23 or 24,when the embryo gradually acquires the shape of a leech, the Arabic word “alaqah” has three meanings --- (i) Leech (ii) a suspended thing (iii) a blood clot. There is a great similarity between a fresh water leech to early embryo. Enclosed picture shows the similarity between the two. The second meaning is a suspended thing and that is what we can see the way embryo is attached to the placenta in this stage. Both these meanings describe and reflect accurately the external appearance of embryo at this stage. The third meaning –“the blood clot” describes the most important internal structure that affects the external appearance, for in alaqah stage blood is formed in the blood vessels in the form of isolated islands and the embryo resembles a blood clot descriptions are given miraculously by a single word----“Alaqah”.” .
 
Nikupe maana ya hadithi sasa
Ili ujue kua huna unacho kijua
Kwanza hapo mtume amesema similar period that means ni siku hizo hizo arobaini ya kwanza ndio vinafanyika hivyo vitu ulivyo viona kwenye iyo hadith so kama unajua siku arobaini ni sawa na mwezi mmoja na siku 10 Mtoto anakua kasha kamilika kwenye tumbo la uzazi la mwanamke.

Faida nikupe ili uelewe umeisoma hadithi moja ukajiona usha jua kumbe wewe na mokit akili zenu zipo kwenye Google na sio kichwani haya soma hii sasa

Muslim in his Saheeh with the following wording: “One of you (i.e. the human being) is put together in the womb of his mother for forty days, then he becomes in that (period) a clinging clot in a like period of time, then he becomes in that (period) a little lump of flesh in a like period of time, then an angel is sent to him who breathes life into him, and he (the angel) is commanded to record four things: his provision, his age, his deeds (good or bad), and whether he is to be wretched or prosperous.” [Muslim]
 
Hu mchoro sio wangu ni wa wanasayansi wako ambao uliwaita wakusaidie

Sasa unawambia michoro yao ni ya kipumbavu it means wanasayansi Leo wamekuwa wapumbavu kisa wameweka wazi umbumbu wako

Maelezo ya wanasayansi na michoro yao wapo Sasa sio wapumbavu ila wewe ndio mpumbavu

Na kama wewe sio mpumbavu Jibu swali

Ukitoka katika Seminal vesicle kuelekea juu unakutana na mfupa gani? na ukielekea kulia au kushoto unakutana na mfupa gani?View attachment 2378866
Hawa jamaa wana majibu yao kichwani ila wataelewa tu.
 
TULIA DAWA IINGIE, ACHA KUTAPATAPA, ooh mara yesu kristo , sijui lucifer acha kuingiza vitu nje ya mada.
Ukitaka hizo mada fungua thread yake utajibiwa. Hii inaonyesha ni jinsi gani usivojielewa.

Turudi kwenye mada, kwanza reference ulizotoa hauna tofauti na Layman umekimbilia ku google, kitu ambacho hata mtu ambaye hajaenda shule anaweza kukifanya.
Ungekuwa ni msomi, reference zako ungezitoa kwenye research articles ama medical books zinazo zungumzia embryology & human development, Obs & Gyne etc. Badala yake umekimbilia ku-google kisha kurudi hapa na kujifanya mjuaji kumbe ni boya tu.
Hapo kwenye hadith uliyo quote, ''kisha tukampulizia pumzi (roho)''. Ulidhani ndiyo hiyo breathing na heartbeat kwa sababu uelewa wako ni mdogo. Jua kwanza kutofautisha kati ya ''ROHO, MOYO na MAPAFU''
Wewe ni akili ndogo, zile za madrasa, nakuacha. Hujibu hoja unakimbilia kwenye vihoja.
 
Hiyo ni maana ya neno Alaqa kwa lugha ya sayansi
Najua utashangaa sana tu hapo na hautokubali
Kwa sababu unamajibu yako kichwani
Ila ukweli utabaki tu palepale.
Tatizo shida una majibu yako na hukutegemea kukutana na majibu sahihi so najua umesha elewa ulitaka wanasayansi wakusaidie unaletewa wanasayansi unataka na wanazuoni pole rafiki
 
Kuna wanazuoni Wana tafsir Koran toka miaka mingi ata google hakuna , ndio uniambie ni kanazuoni gani na WA lini kasema alaq ni leech
 
Naanzia hapa ulipo ikariri maana ya alaqa kwa maana moja teyar ushakosea ilo neno halina maana moja kama unayo ing'ang'ania wewe angalia maana ya neno Alaqa hapa chini
The period begins on day 15 and is completed on day23 or 24,when the embryo gradually acquires the shape of a leech, the Arabic word “alaqah” has three meanings --- (i) Leech (ii) a suspended thing (iii) a blood clot. There is a great similarity between a fresh water leech to early embryo. Enclosed picture shows the similarity between the two. The second meaning is a suspended thing and that is what we can see the way embryo is attached to the placenta in this stage. Both these meanings describe and reflect accurately the external appearance of embryo at this stage. The third meaning –“the blood clot” describes the most important internal structure that affects the external appearance, for in alaqah stage blood is formed in the blood vessels in the form of isolated islands and the embryo resembles a blood clot descriptions are given miraculously by a single word----“Alaqah”.” .
Unarudia kupost kitu kilekile ambacho ukiambiwa umetoa wapi hizo tafsiri unaogopa kutaja.
 
Tatizo shida una majibu yako na hukutegemea kukutana na majibu sahihi so najua umesha elewa ulitaka wanasayansi wakusaidie unaletewa wanasayansi unataka na wanazuoni pole rafiki
Unaweka uongo iyo leech mmeanziaha juzi juzi tu mlivyoanza kubanwa kuhusu damu iliganda kuwa ndani ya mwanamke
 
Tenga muda isome Quran vzr itakufunza kila kitu na Quran huwa inajitafsiri yenyewe hiyo aya uliyoisoma kuna nyingine imefafanua kila kitu
Tafuta shekhe akufundishe wewe mwenyewe utakuja thibitisha
Inajitafsiri yenyewe tena unadai atafute sheikh!hio kichwa yako iko sahihi kweli?
 
Kuna wanazuoni Wana tafsir Koran toka miaka mingi ata google hakuna , ndio uniambie ni kanazuoni gani na WA lini kasema alaq ni leech
Kama unakumbuka ulipo ulizwa unajua maana ya neno Alaqa
Sasa ndio ushatajiwa unataka nini tena umepewa maana ya neno Alaqa na bado hutaki sina msaada kwako tena we ng'ang'ania maana yako tu hiyo.
 
Nikupe maana ya hadithi sasa
Ili ujue kua huna unacho kijua
Kwanza hapo mtume amesema similar period that means ni siku hizo hizo arobaini ya kwanza ndio vinafanyika hivyo vitu ulivyo viona kwenye iyo hadith so kama unajua siku arobaini ni sawa na mwezi mmoja na siku 10 Mtoto anakua kasha kamilika kwenye tumbo la uzazi la mwanamke.
Nyie jamaa bana, naona unajaribu kuyapinga maneno ya mtume na kuweka tafsiri zako. Muhammad anasema for a similar period wewe unasema the same period. Kweli mmechanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom