Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Ukisoma vizuri utagundua kwamba aliyesema jua lisimame sio Mungu bali ni Joshua. Yeye alitumia ufahamu wa nyakati zile akiamini kinachozunguka ni jua.

Mungu alichofanya ni kuisimamisha dunia kimiujiza na hata wanasayansi wamethibitisha hiyo siku ilitokea kwa masaa 23 na dakika 20. Na hizo dakika 40 zilizobaki ili itimie siku moja ilifanywa na nabii Isaya ambaye alirudisha jua nyuma (of course bado walikuwa na idea kwamba jua ndio linazunguka) kwa nyuzi kumi (nyuzi kumi ni exactly 40 minutes) kama ishara ya kumponya mfalme Hezekiah.

Hiyo siku ilitokea longest eclipse na surprisingly biblia inarekodi kwamba jua na mwezi vyote vilisimama visibly. That is the true word of God. Fuatilia hii nakuwekea kidogo hapa chini.

Cambridge researchers announced Monday that they have pinpointed the date of the biblical account of Joshua stopping the sun — which they claim is the day of the oldest eclipse ever recorded — to October 30, 1207 BCE, exactly 3,224 years ago.
Sawa nimekuelewa

Kwann roho mtakatifu hakueleza usahihi wa tukio lililotokea (waliondika biblia waliandika kwa uwezo wa roho mtakatifu) au nayey hakujua?
 
kwani baada ya shahawa kuingia kwenye yai.
Ninhatua gani inayofuata Kama sio kutengeneza bonge la damu.?
Au neno ILIYOGANDA ULIDHANI IMEGANDISHWA NA BARAFU?.
Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
 
Kaka Hawa walivyoona ILIYOGANDA WAKAJUA IMEGANDISHWA NA FRIJI.
Hatua ya Kwanza ya KIUMBE chochote baada ya kutoka kwenye shahawa anageuka pande la damu.
Na ndo maana mwanamke akitoa mimba changa yanatoka madamu madamu
Sperm inageuka kuwa damu iliyoganda(ile nzito tofauti na ile inayoflow mwilini)mi naona Iko sawa na ndivyo inavyotokea sperm-damu-nyama
 
Yaani wewe umkosoe mungu aliyekuumba
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2379157View attachment 2379158
Mungu hawezi kuwa anasema uongo kama huyo wa kwenye quran. Huyo mungu anayesema sperm zinatokea kwenye sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo ni jamaa tu wa mtaani, hajielewi.

Huyo Allah anayesema mtu anapata pumzi baada ya miezi minne ya utungwaji mimba kinyume na sayansi inayoonesha ni miezi miwili na wiki mbili anatakiwa kukamatwa na kutupwa kuzimu.
 
kwani baada ya shahawa kuingia kwenye yai.
Ninhatua gani inayofuata Kama sio kutengeneza bonge la damu.?
Au neno ILIYOGANDA ULIDHANI IMEGANDISHWA NA BARAFU?.
Nani kasema barafu? Allah kasema Dead blood
 
Sawa nimekuelewa

Kwann roho mtakatifu hakueleza usahihi wa tukio lililotokea (waliondika biblia waliandika kwa uwezo wa roho mtakatifu) au nayey hakujua?
Hiyo sio kazi ya Mungu, ni jukumu la mwanadamu kufanya discoveries mbalimbali. Mungu aliyajua magari na ndege tangu kipindi cha Adam na Eva lakini hakuyatengeneza. Leo hii Mungu anajua dawa ya ukimwi lakini sio kazi yake kutupatia , ni jukumu letu kufanya uchunguzi.

Joshua na wana wa Israel walitakiwa kujua kinachozunguka sio jua bali dunia lakini hawakuwa wamefanya uchunguzi zaidi ya kile walichokuwa wanaona asubuhi jua kuibuka na jioni kuzama.

Cha kushangaza ni kwamba Allah hajui hii fact rahisi kiasi kwamba anasema jua linazama kwenye matope.🤣

Tunahoji humu ndani kwasababu alichosema Allah tukikifanyia uchunguzi wa kisayansi tunagundua ni uongo mtupu.
 
Mungu hawezi kuwa anasema uongo kama huyo wa kwenye quran. Huyo mungu anayesema sperm zinatokea kwenye sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo ni jamaa tu wa mtaani, hajielewi.

Huyo Allah anayesema mtu anapata pumzi baada ya miezi minne ya utungwaji mimba kinyume na sayansi inayoonesha ni miezi miwili na wiki mbili anatakiwa kukamatwa na kutupwa kuzimu.
Bado unapewa maana na unapingana kweli wewe ni zaidi ya kafiri
 
kwani baada ya shahawa kuingia kwenye yai.
Ninhatua gani inayofuata Kama sio kutengeneza bonge la damu.?
Au neno ILIYOGANDA ULIDHANI IMEGANDISHWA NA BARAFU?.
Weka aya inayosema shahawa inaingia kwenye yai.
 
Kaka Hawa walivyoona ILIYOGANDA WAKAJUA IMEGANDISHWA NA FRIJI.
Hatua ya Kwanza ya KIUMBE chochote baada ya kutoka kwenye shahawa anageuka pande la damu.
Na ndo maana mwanamke akitoa mimba changa yanatoka madamu madamu
Damu iliyoganda inakaa kwenye uterus kwa miezi minne mpaka pale allah atakapoipa pumzi.🤣
 
Yusuf Ali kasema damu iliyoganda unasemaje? Kadanganya au
Yusuf Ali
Created man, out of a (mere) clot of congealed blood:
Hakuna mahali nimezikataa hizo tafsir, zipo sahihi.
Rejea post yangu ya kwanza kumjibu championship, nilisema neno, Aalaqa lina maana tatu na zote zipo sahihi. Ila nyie mnang’ng’ania, maana tu blood clot.
Check hizo tafsir zingine 👇👇
37FA3171-B0A7-4443-8D3D-081407220068.png
 
Hiyo sio kazi ya Mungu, ni jukumu la mwanadamu kufanya discoveries mbalimbali. Mungu aliyajua magari na ndege tangu kipindi cha Adam na Eva lakini hakuyatengeneza. Leo hii Mungu anajua dawa ya ukimwi lakini sio kazi yake kutupatia , ni jukumu letu kufanya uchunguzi.

Joshua na wana wa Israel walitakiwa kujua kinachozunguka sio jua bali dunia lakini hawakuwa wamefanya uchunguzi zaidi ya kile walichokuwa wanaona asubuhi jua kuibuka na jioni kuzama.

Cha kushangaza ni kwamba Allah hajui hii fact rahisi kiasi kwamba anasema jua linazama kwenye matope.[emoji1787]

Tunahoji humu ndani kwasababu alichosema Allah tukikifanyia uchunguzi wa kisayansi tunagundua ni uongo mtupu.
Unalazimisha tafasir zako hii inaonesha namna gani huna elimu
 
Hakuna mahali nimezikataa hizo tafsir, zipo sahihi.
Rejea post yangu ya kwanza kumjibu championship, nilisema neno, Aalaqa lina maana tatu na zote zipo sahihi. Ila nyie mnang’ng’ania, maana tu blood clot.
Check hizo tafsir zingine [emoji116][emoji116]View attachment 2379218
Bro hawa sio wataka elimu bali ni wanaochukia elimu na dini ya uislamu
 
Kwa hiyo Kuna Tafsir waislamu mmenandika kwa kupotosha
Embu gusa link mtuambie kwa nini mnapotosha
Kwa kusema ni clot kumbe ni mdudu leech

Shida yenu ni kujifanya wajuaji,
Kiarabu ni lugha pana, neno moja la kiarabu linaweza kua na maana nyingi.
Shida yenu ni kung’ang’ania maana moja tu na kukataa zingine ndio hapo sasa unapoonekana zuzu..
 
Hujafiatilia mada, waislam wenzako sasa hivi wameshasema quran haizungumzii pande la damu.

Quran mnaibadilisha kila mnapoachwa uchi na sayansi.
Wewe hakuna muislamu alie ikataa tafsiri ya pande la nyama maana iko sahihi ila kichwa chako kilivyo kigumu wanakupa maana halisi ya neno Alaqa ili ukichaa wako ukutoke
 
Back
Top Bottom