Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
Huo wasiwasi mkuu ulionao majibu yake ndo yako hivyo kama unavyofikiria, watoto nilazima waje kudai cha mama yao sawa na hao wa kwako.
1. BRELA niliweka mimi na mama wa mtoto wa kwanza ndio High Say.Uliposajili kampuni huko brela
Je EXTRA FOR REGISTRA umeweka majina ya akina nani?
Bank operator ni wewe peke yako?
Twende kwenye mada Afisa...5kids! Ungejsikiaje wote mama yao angekuwa mmoja na unaishi nao.
Ajitahidi awapende sana na kuwajali kwa usawa. Hao ndio future yake .. Yeye ndiye baba yao liwe jua iwe mvua5kids! Ungejsikiaje wote mama yao angekuwa mmoja na unaishi nao.
Haina umuhimu kwangu.umuhimu wa ndoa nadhani umeuona
Hapo kwenye kuandika wosia, kwa sababu anataka kampuni iendelee kuoperate miaka na miaka (hata kama hayupo hai), I guess TRUST inaweza kuwa option nzuri mbadala wa wosia.1. Kuhusu urithi wa watoto
. wape elimu bora
. watafutie mali zao binafsi hasa ardhi
. Wafungulie account binafsi kwenye mifuko ya uwekezaji
. Andika wosia wa urithi wa kampuni by shares kwao..
Kuhusu wewe.. Sasa una nguvu za kupambana.. Lakini hazitakuwa za milele.. Kumbuka fainali uzeeni.. Utafika mahali utahitaji msaidizi na huyo si mtoto ndugu au mfanyakazi.. Bali mtu aitwaye mke.. Hivyo anza kuwaza kuhusu future yako
1. BRELA niliweka mimi na mama wa mtoto wa kwanza ndio High Say.
2. Sababu za kibank nilisema signatories ni mimi na mama wa first born.
Ila nikutahadharishe, wao hawajui chochote.
Ukikatakikana na saini zao huwa nawasainisha na hawaulizi "nasaini nini?" na hata wakiuliza huwa nawaambia "Mali za mwanao"
Na bank nili tick kwenye "either if the one can sign" hivyo ni mimi.
Hawajui kuhusu bank, hawajui chochote na hawajawahi kuuliza...!!!
Kampuni ilivyoanza niliwapa share 15% each, mwaka jana nili file correction nikawapunguzia kwenda 10%...!!!
Secretary wa kampuni ni mdogo wangu, huyu anajua vingi kidogo maana hata mali zake zotee nazijua mimi na hati zake ninazo mimi.
Yaani mali za mdogo wangu najua kila kitu ila yeye anajua vichache na ndio secretary wa kampuni.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kufanikiwa kimaisha nipamoja na kupangilia familia yako .kwenye familia hapo umefeli mkuu hakuna namna hiyo kampuni itaendelea baada yako. Mgogoro nilazima, mimi nadhani nibora umiliki wa hizo hisa wangekuwa ndugu ingekuwa afadhali
Huyo secretary ndo atakuja kuuza mechi ama inaweza kutokea issue mambo yote yakawa wazi, hapo ndipo sekeseke litakapoanzia. Utajikuta unashitakiwa.1. BRELA niliweka mimi na mama wa mtoto wa kwanza ndio High Say.
2. Sababu za kibank nilisema signatories ni mimi na mama wa first born.
Ila nikutahadharishe, wao hawajui chochote.
Ukikatakikana na saini zao huwa nawasainisha na hawaulizi "nasaini nini?" na hata wakiuliza huwa nawaambia "Mali za mwanao"
Na bank nili tick kwenye "either if the one can sign" hivyo ni mimi.
Hawajui kuhusu bank, hawajui chochote na hawajawahi kuuliza...!!!
Kampuni ilivyoanza niliwapa share 15% each, mwaka jana nili file correction nikawapunguzia kwenda 10%...!!!
Secretary wa kampuni ni mdogo wangu, huyu anajua vingi kidogo maana hata mali zake zotee nazijua mimi na hati zake ninazo mimi.
Yaani mali za mdogo wangu najua kila kitu ila yeye anajua vichache na ndio secretary wa kampuni.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwamba huyo mwanamke ambaye ni msaidizi hatotaka kuvutia kamba upande wake na kuangalia watoto wake tuu ndio wa benefit ?1. Hongera kwa hatua uliyofikia. Ni nzuri kwa kiwango cha nchi yetu.
2. Andaa mpango wa kutafuta Mwanamke wa kuwa mkeo. Unaweza kuchagua mmoja wa hao uliowazalisha.
Utampa vipimo utakavyoona wewe, akifaulu sawa. Asipofaulu kwa kweli sijui utafanyaje. Kuna umri ukifika hutakiwi kuanzisha mahusiano mapya, hasa ukiwa na ndoto ya kampuni yako kuendelea.
3. Watoto wape Elimu, na waandalie Mali binafsi kwa majina yao. Wosia ni Muhimu.
Mke haepukiki Mkuu hasa kama unataka Mali yako iendelee mpaka kizazi cha nne huko.
Kuachana na Mali, hata uzee wako hapa ni umri kuanzia 50-70 utahisi upweke na kuhitaji Kampani sio tuu ya watoto bali mtu wa karibu.
Kama hutokuwa Makini ndio utashangaa unaoa binti mdogo ambaye atakuja kuivuruga mipango na familia yako tote.
Hivyo ni Bora uanze sasa hivi, kutafuta mwanamke atakayekuwa Msaidizi wako, kivuli chako, mlezi wa watoto na ndoto zako wakati haupo.
Ni hayo.
Kila kitu mimiHuyo secretary ndo atakuja kuuza mechi ama inaweza kutokea issue mambo yote yakawa wazi, hapo ndipo sekeseke litakapoanzia. Utajikuta unashitakiwa.
Mfano hapo umewanyang' anya baadhi ya share ukazipunguzia kwako, make sure una comply na kanuni za share kama ilivyo kwenye Articles.
Anyways, ngoja wataalam waje wakujibu maswali yako ya msingi ulouliza mwanzo.