Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

Kwamba huyo mwanamke ambaye ni msaidizi hatotaka kuvutia kamba upande wake na kuangalia watoto wake tuu ndio wa benefit ?
Suluhisho ni moja
Kuna share za watoto/wanawake wengine hivyo kumuoa ni katika kuhakikisha ndoto za kampuni yake kuendelea. Ndio maana nikasema atafute mwanamke ambaye atasimamia ndoto yake yaani wanandoto the Same.

1. Huyu bwana andaae mali za kurithi hao watoto

Hapa sawa
2. Kuhusu kampuni atafute mtoto mmoja wapo mwenye interest na biashara ndo amuachie hio kampuni

Hapa anazungumzia watoto wadogo, na hofu yake akikata kamba hivi karibuni kabla watoto hawajakua
Wazo lako ni zuri,
3. Kuhusu uzeeni atafute msichana wa kumlipa vizuri wa kufanya kazi, kumuuguza ingawa atakua anampelekea moto kimtindo....etc...biashara...imeisha hatokaa afikirie utegemezi wa msaidizi kama mke etc maana alishachagua kutokua na mke
Hilo la kutafuta mwanamke wa kumlipa haliwezekani,
Sisi wengine tumebarikiwa kuwaona Babu zetu na sio zaidi ya mmoja.

Hakuna mtu wa kukutunza na kukupa hadhi ya kiutu zaidi ya mkeo. Hata umlipe mfanyakazi kiasi gani.

Uliza wenye Baba Zao waliopata Stroke watakuambia
 
Kufanikiwa kimaisha nipamoja na kupangilia familia yako .kwenye familia hapo umefeli mkuu hakuna namna hiyo kampuni itaendelea baada yako. Mgogoro nilazima, mimi nadhani nibora umiliki wa hizo hisa wangekuwa ndugu ingekuwa afadhali
Nawajua matajiri kibao wenye utajiri kibao wasio na familia.

Hata wewe unawajua.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Siku umeparalyze mapumbu atakuosha dada yako huyo secretary
1. Tajiri namba moja India alikufa bila kuoa na alikufa bila kuparalysis
2. Dangote Tajiri wetu Africa hana mke
3. Wakina Benzos na wengine unawajua wana mali ila hawana mke.

Ukitaka kufanya mambo yako faster achana na mke.

Stress za kiseng(e) weka mbali na wewe.

Na kifupi, wapo kibao walioa wakapata magonjwa na kukimbiwa.

TWENDE KWENYE MADA AFISA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Pole na hongera kuendelea kupambana!

Umechagua njia nzuri ya kutunza mali zako kupitia Kampuni, Kwa kuwa Kampuni inakuwa na board of directors, hivyo hakuna uwezekano wa watoto zako kuja kuingia tamaa ya kuuza na kugawana mali bila idhini ya Kampuni.

Kwa kuwa wewe ndiyo share holder Mkubwa(70%) ndiyo mwenye final say kwenye mambo yote ya Kampuni

Ili kuondoa wasiwasi, wa kupoteza Mali zako kupitia Wazazi wenzako, unaweza kuamua kununua hisa zao zote(30% remaining shares), ila wakaendelea kuwa board members wa Kampuni yako hadi pale watoto wako watakakapofikisha umri wa kisheria (18yrs) kuweza kuingia Kwenye board.

Jambo lingine, umefanya haraka sana kuweza kuwapima watoto wako na kuhitimisha kwamba x,y,z anapenda biashara ama abc wanapenda kitu fulani.

Hao waache wakue Kwa kimo na akili hadi wawe watu wazima ndiyo ufanye maamuzi kupitia interest zao za hobby,fani n.k

Naona wamebakiza miaka 10 ijayo ambapo wewe utakuwa umeuanza Uzee rasmi (45yrs 😜)

Kama hautajali (Sina ruhusa ya kukupangia), unaweza kuingia Kwenye mahusiano serious kwaajili ya Ujenzi imara wa familia.

Haipendezi watoto wako, kuwa na Baba Msela (asiye na Mke)
 
Hili nalichukua ils kuhusu paragraph ya mke na mahusiano hapana.

Mimi huwa nalala saa 5usiku mpaka 7 na kuamka saa 12 alfajiri mpaka 2 asubuhi na sometimes nalala hata masaa 5 tu.

Nilichoweza ni kuhakikisha kila siku nalala masaa kati ya 5 mpaka 8.

Sasa nikioa stress zitazaliwa.
Mara mume wangu siku hizi hunipi, mara vile mara hivi.

Faida ya kuwa single ni kwamba nawawaza watoto tu ambao naongea na siku mojamoja kwa simu sababu wako mbali ila wakiwa karibu ni full time niko nao.

MAPENZI YALINISHINDA.
ila kuhusu kutafuta hela LAZIMA NIWE DEWJI..!!!

Hongera na tunakuombea heri 🙏🙏

Andaa mifumo sahihi ya kuendesha biashara zako hata bila uwepo wako

Maisha ni zaidi ya Mali na Pesa,

Kwani hao akina Dewji unadhani hawana familia za kuwapa stress

Ni vile tumeweza kujidhatiti katika Kukabiliana nazo
 
Hili nalichukua ils kuhusu paragraph ya mke na mahusiano hapana.

Mimi huwa nalala saa 5usiku mpaka 7 na kuamka saa 12 alfajiri mpaka 2 asubuhi na sometimes nalala hata masaa 5 tu.

Nilichoweza ni kuhakikisha kila siku nalala masaa kati ya 5 mpaka 8.

Sasa nikioa stress zitazaliwa.
Mara mume wangu siku hizi hunipi, mara vile mara hivi.

Faida ya kuwa single ni kwamba nawawaza watoto tu ambao naongea na siku mojamoja kwa simu sababu wako mbali ila wakiwa karibu ni full time niko nao.

MAPENZI YALINISHINDA.
ila kuhusu kutafuta hela LAZIMA NIWE DEWJI..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA

🤣🤣🤣

Ishu ya kuoa ipo kwenye kupata mke sahihi.
Hizo Stress utazisikia kwenye radio.
Nakubaliana na wewe 99% ni pasua kichwa.
Ukibahatisha kwenye hiyo moja. Utashangaa ulichelewa wapi
 
Siku umeparalyze mapumbu atakuosha dada yako huyo secretary
Hajui kuna nyakati kama hizo, tena ndugu suala la kuuguza hata kama wameachana na mke ndo huwa muda wa kumtafuta mtalaka wake eti njoo tu umuuguze ni mumeo huyo, talaka ni makaratasi tu huyo ndo baba watoto wako, wanatumia maneno meeengi ila wakati akiwa mzima mke alionekana mavi wala sio wa muhimu aahhh
 
Kuna share za watoto/wanawake wengine hivyo kumuoa ni katika kuhakikisha ndoto za kampuni yake kuendelea. Ndio maana nikasema atafute mwanamke ambaye atasimamia ndoto yake yaani wanandoto the Same.

Hapa sawa

Hapa anazungumzia watoto wadogo, na hofu yake akikata kamba hivi karibuni kabla watoto hawajakua
Wazo lako ni zuri,

Hilo la kutafuta mwanamke wa kumlipa haliwezekani,
Sisi wengine tumebarikiwa kuwaona Babu zetu na sio zaidi ya mmoja.

Hakuna mtu wa kukutunza na kukupa hadhi ya kiutu zaidi ya mkeo. Hata umlipe mfanyakazi kiasi gani.

Uliza wenye Baba Zao waliopata Stroke watakuambia
Au aende pale Idara ya Dharura MNH akaangalie hali halisi, aangalie thamani ya mke au mume pale inapotokea mmoja ana tatizo.

Ndiyo maana kwenye kiapo kuna maneno "Kwenye uzima na maradhi"
 
Alafu hakukuwa na sababu ya kuwashirikisha katika hiyo kampuni.
Ilikuwa na maana kwasababu wana watoto wake, hata kama kutakuwa na ugomvi kati yao ila kuna kitu watoto wake watapata, nimewahi ila hizi za kina kaka sijui dada angu ikitokea kaka hayupo hao watoto hawawahusu kabisa tena wapo ndugu watasema kwanza hawa watoto sio wake hatuwatambui
 
Hakukuwa na ulazima. Ndio maana sasa hivi kaja hapa hayo tayari ni Makosa.
Kama ishu ni watoto aandike Wosia, Na Mali zingine awaandike kwa Majina yao.

Huyo Mke Mwenyewe kama angekuwa Naye hakuna ulazima wa kumweka.
 
Back
Top Bottom