Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
- #81
Umetisha sanaa KAFUNGUKA VIZURI.Aloo acha tumuite mbobezi wa sheria Pascal Mayalla
#YNWA
#YANGA_BINGWA

Ungeuliza uchenga uko wapi?Mara unasema wanasaidianaga kisela,mara unasema Tena hawajuani nawala hawataki kujuwana..nilitaka kujifunza kitu kutoka kwako..ila nimekuona chenga tu...
Pole ila usisahau kunaFikiria pia wanaweza kufa watoto, au mama zao kabla yako. Andika usia wa kugawa mali kwa kila mmoja. Usiache kubainisha ukifa unazikwa wapi, na nani... hatutaki vurugu la kugombea maiti mtaani kwetu. Na kama hutakufa mapema ukizeeka utatunzwa na nani.. la sivyo utazeeka vibaya na mali zako hazitasimama zikusaidie wakati huo. Na watu kama ninyi huwa hamfi mapema ili mdhalilike na kupokea adhabu zenu hapa hapa duniani.
aya hii
Na aya hii naona kama umejichanganya chief
Dalili za chai kuiva
Kwanini uweke mama kama Shareholders badala ya watoto ? Ni requirement ya kisheria kwamba under 18 hawezi kuwa shareholders ?INTRODUCTION:-
Salam sanaaa?
HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI.
Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!)
Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35 (1990) niliye ajiriwa 2012.
SCENARIO:-
Mimi ni mwanaume niliyegoma kuoa ambaye sitokaa nioe ila pia nina watoto wa 5.
1. First born ni Ke mwenye miaka 12 (2013), Anaishi Dar es salaam.
2. Second na Third born ni Boys (twins) wanamiaka 8 (2017), Wanaishi Morogoro.
3. Third na Fourth Born ni Twins (Kulwa - Boy na Doto - Girl).
Wanamiaka 5 (2020) - Wanaishi Dar es Salaam.
Nina mahusiano mazuri na ya afya kwa mama zao, maana kila mara husafiri kwenda kuwaona na likizo zotee ndefu (June na December) huja kwangu wote na nakua nao, Hivyo WANAJUANA.
Na mama zao muda mwengine husaidiana ile kisela..!!
Financial na mambo kama hayo, Ila NO SEX RELATIONSHIP KABISAA.
Mama wa fisrt born kaolewa(ga) zamani na ana maisha yake na watoto wake wengine.
Hawa wengine wana twins wangu tu na hawakuolewa ila wanamaisha yao (ajira, mali, E.t.c) na ni vijana hivyo posibility ya kuolewa au kuzaa tena huko waliko ipo.
Mara nyingi hawa wanawake wote mimi ndio huwa mshauri wao sanaa kwenye utafutaji wao na mali.
KWANINI HIVYO?
THE PROBLEM.
Mimi kama nilivyojitambulisha ni mtumishi wa umma.
Mwaka fulani Nilipataga post nzuri sanaa ya kuhamia Taasisi, ila Mkurugenzi wangu aligoma kuniruhusu kuhama.
Ile kubaniwa kuhama kulinifanya niwe na hasira na nikatumia zile hasira kuanzisha biashara.
Biashara ilienda poa mpaka nikabadilisha mfumo wa uendeshaji kuwa kampuni.
Kampuni yangu namshukuru Mungu inaenda poa ikiwa inafanya biashara (product) aina 4.
Sales ziko poa na Kampuni inakua japo ndio sio vile, ule ukuaji ambao nautaka siupati (nahisi sababu ya kuwa binadamu haturidhiki).
Watoto wangu huja huku likizo kila mwaka na kila mmoja ana hobby yake.
1. First born hupenda kushinda kwenye dawati la hela na kushangaa wateja wanavyoingia na kutoka.
2. Second na Third na Forth born kama nilivyosema ni boys, hawa hupenda kushinda kwenye CCTV yaani wao ni kukodolea screen na kubishana kuhusu screen kinachoonyesha.
3. Kuna huyu sasa last born, mwanamke huyu bwana yeye hana story na biashara.
Ye ni kucheza tu.
Akitoka kucheza kaingia store kachukua soda na kusepa tena mtaani.
THE BIG PROBLEM.
Sasa baada ya kuona hawa wanawake wako vizuri kwangu (good friendship na baba wa watoto wao), Na watoto wanajua ila kuna tatizo.
Wamama hawajuani na hawataki kujuana na sijawahi kufikiria kuwakutanisha au kufanya chochoteee wajuane.
Yaani hilo linaniwazisha sanaaa, JE NIKIFA ITAKUAJE?
Sasa nilichooamua, pia hapa ndio NAPOOMBA USHAURI.
1. Biashara zote na mali zote za biashara nimekabidhi kampuni.
MALI BINAFSI.
Ukiachana na mambo ya kampuni pia nina mali binfasi ambayo ni Gari na sasa nataka kujenga nyumba ya ndoto yangu.
JE NI SAHIHI KWA MALI ZANGU KUKABIDHI KWA KAMPUNI?
Nawaza hili ili baadae kusitokee na mgororo wa mali kati ya hawa watoto.
Yaani wazo langu....
1. Kila kitu nachomiliki niipe kampuni
2. Kila kitu nitakachomiliki baadae nitaipa kampuni, kama hii nyumba ya ndoto yangu ambayo ujenzi utaanza soon.
THE END.
After all, mimi ndio mmiliki mkubwa wa hii kampuni (majority shareholder), Yaani mimi as Director 70% na hao wanawake kila mmoja 10%.
Kila kitu ni mimi, mambo ya BRELA, TRA, Mtaji yaani kila kitu ni mimi hao niliwataja kwenye Memat sababu ya mambo ya kisheria.
ILA PIA USISAHAU.
Huyu wa kwanza huko alipo ana watoto wengine, itakuaje sasa. Hawawezi kuja kudai na wao haki kwakuwa mama yao ni shareholder?
NIKO DILEMA.
LA KWANZA.
1. Mwanamke wa kwanza ana watoto wengine kwa mwanaume mwengine, JE WAKISANUKA?
2. Kifupi nataka Kampuni yangu iendelee miaka na miaka, ila kwa HALI HII YA MAMA ZA WANANGU NINI NIFANYE ILI BAADAE KUSITOKEE NA MGOGORO NA WATOTO AMBAO SIJAZAA MIMI (WAMEZAA NA WANAUME WENGINE) WASIJUMUISHWE KWENYE MALI ZANGU KUPITIA SHARE ZA MAMA ZAO?
Nibadilishe MEMAT au nifanye nini cha kisheria KIWEZE KUNISAIDIA BAADAE na KISAIDIE WANANGU WA DAMU YANGU PIA???
LA PILI.
Hapo juu nimesema kuwa nataka mali zangu binafsi (ambazo kwa sasa ni kiwanja na gari tu) nikabidhi kampuni.
Ila pia hata mali za baade nikinunua nataka nikabidhi kampuni.
JE HII NI SAWA?
HAKUNA MADHARA YOYOTE NA NI YAPI?
Naomba kuwasilisha
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio maana requirement moja wapo ni Namba ya NIDAKwanini uweke mama kama Shareholders badala ya watoto ? Ni requirement ya kisheria kwamba under 18 hawezi kuwa shareholder ?
nimekusoma kakaila nilichomaanisha ....
1. Mimi na wao tunasaidiana kisela namaanisha, "Nisaidie 10 la ....."" natuma
Yaani mimi na wao Tunasaidiana kila mtu na wakati wakez ila wao kwa wao hawajuani.
Kila mtu huomba msaada kwa wakati wake then namsaidia.
2. Yaani wao wananijua, ila wao kwa wao HAWAJUANI, yaani mama wa kwanza hajawahi kuwaona wenzake na hivyohivyo kwa wengine.
3. Nilichofanikiwa ni kukata uhusiano wa mapenzi mazima.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Let assume story yako ni true story.INTRODUCTION:-
Salam sanaaa?
HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI.
Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!)
Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35 (1990) niliye ajiriwa 2012.
SCENARIO:-
Mimi ni mwanaume niliyegoma kuoa ambaye sitokaa nioe ila pia nina watoto wa 5.
1. First born ni Ke mwenye miaka 12 (2013), Anaishi Dar es salaam.
2. Second na Third born ni Boys (twins) wanamiaka 8 (2017), Wanaishi Morogoro.
3. Third na Fourth Born ni Twins (Kulwa - Boy na Doto - Girl).
Wanamiaka 5 (2020) - Wanaishi Dar es Salaam.
Nina mahusiano mazuri na ya afya kwa mama zao, maana kila mara husafiri kwenda kuwaona na likizo zotee ndefu (June na December) huja kwangu wote na nakua nao, Hivyo WANAJUANA.
Na mama zao muda mwengine husaidiana ile kisela..!!
Financial na mambo kama hayo, Ila NO SEX RELATIONSHIP KABISAA.
Mama wa fisrt born kaolewa(ga) zamani na ana maisha yake na watoto wake wengine.
Hawa wengine wana twins wangu tu na hawakuolewa ila wanamaisha yao (ajira, mali, E.t.c) na ni vijana hivyo posibility ya kuolewa au kuzaa tena huko waliko ipo.
Mara nyingi hawa wanawake wote mimi ndio huwa mshauri wao sanaa kwenye utafutaji wao na mali.
KWANINI HIVYO?
THE PROBLEM.
Mimi kama nilivyojitambulisha ni mtumishi wa umma.
Mwaka fulani Nilipataga post nzuri sanaa ya kuhamia Taasisi, ila Mkurugenzi wangu aligoma kuniruhusu kuhama.
Ile kubaniwa kuhama kulinifanya niwe na hasira na nikatumia zile hasira kuanzisha biashara.
Biashara ilienda poa mpaka nikabadilisha mfumo wa uendeshaji kuwa kampuni.
Kampuni yangu namshukuru Mungu inaenda poa ikiwa inafanya biashara (product) aina 4.
Sales ziko poa na Kampuni inakua japo ndio sio vile, ule ukuaji ambao nautaka siupati (nahisi sababu ya kuwa binadamu haturidhiki).
Watoto wangu huja huku likizo kila mwaka na kila mmoja ana hobby yake.
1. First born hupenda kushinda kwenye dawati la hela na kushangaa wateja wanavyoingia na kutoka.
2. Second na Third na Forth born kama nilivyosema ni boys, hawa hupenda kushinda kwenye CCTV yaani wao ni kukodolea screen na kubishana kuhusu screen kinachoonyesha.
3. Kuna huyu sasa last born, mwanamke huyu bwana yeye hana story na biashara.
Ye ni kucheza tu.
Akitoka kucheza kaingia store kachukua soda na kusepa tena mtaani.
THE BIG PROBLEM.
Sasa baada ya kuona hawa wanawake wako vizuri kwangu (good friendship na baba wa watoto wao), Na watoto wanajua ila kuna tatizo.
Wamama hawajuani na hawataki kujuana na sijawahi kufikiria kuwakutanisha au kufanya chochoteee wajuane.
Yaani hilo linaniwazisha sanaaa, JE NIKIFA ITAKUAJE?
Sasa nilichooamua, pia hapa ndio NAPOOMBA USHAURI.
1. Biashara zote na mali zote za biashara nimekabidhi kampuni.
MALI BINAFSI.
Ukiachana na mambo ya kampuni pia nina mali binfasi ambayo ni Gari na sasa nataka kujenga nyumba ya ndoto yangu.
JE NI SAHIHI KWA MALI ZANGU KUKABIDHI KWA KAMPUNI?
Nawaza hili ili baadae kusitokee na mgororo wa mali kati ya hawa watoto.
Yaani wazo langu....
1. Kila kitu nachomiliki niipe kampuni
2. Kila kitu nitakachomiliki baadae nitaipa kampuni, kama hii nyumba ya ndoto yangu ambayo ujenzi utaanza soon.
THE END.
After all, mimi ndio mmiliki mkubwa wa hii kampuni (majority shareholder), Yaani mimi as Director 70% na hao wanawake kila mmoja 10%.
Kila kitu ni mimi, mambo ya BRELA, TRA, Mtaji yaani kila kitu ni mimi hao niliwataja kwenye Memat sababu ya mambo ya kisheria.
ILA PIA USISAHAU.
Huyu wa kwanza huko alipo ana watoto wengine, itakuaje sasa. Hawawezi kuja kudai na wao haki kwakuwa mama yao ni shareholder?
NIKO DILEMA.
LA KWANZA.
1. Mwanamke wa kwanza ana watoto wengine kwa mwanaume mwengine, JE WAKISANUKA?
2. Kifupi nataka Kampuni yangu iendelee miaka na miaka, ila kwa HALI HII YA MAMA ZA WANANGU NINI NIFANYE ILI BAADAE KUSITOKEE NA MGOGORO NA WATOTO AMBAO SIJAZAA MIMI (WAMEZAA NA WANAUME WENGINE) WASIJUMUISHWE KWENYE MALI ZANGU KUPITIA SHARE ZA MAMA ZAO?
Nibadilishe MEMAT au nifanye nini cha kisheria KIWEZE KUNISAIDIA BAADAE na KISAIDIE WANANGU WA DAMU YANGU PIA???
LA PILI.
Hapo juu nimesema kuwa nataka mali zangu binafsi (ambazo kwa sasa ni kiwanja na gari tu) nikabidhi kampuni.
Ila pia hata mali za baade nikinunua nataka nikabidhi kampuni.
JE HII NI SAWA?
HAKUNA MADHARA YOYOTE NA NI YAPI?
Naomba kuwasilisha
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hebu fanya research kuhusu ndoa kwa matajiri wengi wa hii dunia halafu njoo tena.Let assume story yako ni true story.
Sasa fahamu haya; kama kuna makosa uliwahi kufanya (na wanaume wengi hufanya) ni kuzaa ovyo ovyo (nje ya ndoa) au kulazimisha kuchelewa kuoa (kujidanganya kuwa hawataoa). Sasa wewe unavyo vyote viwili. Hapo anguko la kimaisha ni 100%. Ni lazima utaanguka tu, ni suala la muda. Haitasubiri ufe, anguko lako unaweza kulishuhudia ukiwa hai.
Kanuni ni moja tu, Mwanaume huwezi kufanikiwa kikamilifu (kufikia hatma njema ya kimaisha) na kudumu katika mafanikio hayo nje ya familia yako. Ukishazaa nje ya ndoa maana yake umeamua kusambaratisha msingi wa familia yako au umeamua kujenga bila kuweka msingi. Kuangamia kwako kuko pale pale. Ni suala la muda tu.
Kwamba ukioa mke hafi ukakosa wa kukupeleka maliwatoni??Ebu oa kwanza, leo hii ukitoboka macho nani atakupeleka maliwatoni?
Sasa kumbe solution unayo. Atakuwa huyo dada yako. Simple.Kila kitu mimi
Nilipoanzisha kampuni hawakujua walisainishwa tu
Na kampuni inavyoendelea hawajui wanasainishwa tu.
Mdogo wangu nilimuamini baada ya yeye kwenda kuapa RITA na Kazini kuwa mimi ndio mrithi wake na kila kitu chake akifa nipewe mimi
Ni binti wa miaka 32 asiye na mtoto wala mume.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nafikiri ushauri huu ni mzuri. Ila Trust itaendesha hiyo kampuni indefinitely hata kama watoto wamekuwa watu wazima? Kama sivyo, wakiwa watu wazima, shares za baba zitagawanywa vipi kwa watoto? Au kampuni ifilisiwe mali igawanywe? Fee ya trusteeship? Kama hivi vitu vikiwa covered, naona huu ushauri ndio mzuri.Kwanza hongera kufunguka, na hii itawasaidia wengi.
Watanzania wamezoea will ya kumrithisha mke na watoto. Ukifa watoto hawawezi kuendesha kampuni au biashara zinakufa!, kwa influence ya mama zao, wataishia kugombana kugombea mali!.
Badala ya kuandika will kurithithisha watoto, mali zako zote ziandike kwenye kampuni, kisha rithisha trust , hiyo trust itaendesha kampuni zako na watoto wako wote watakuwa well taken care off ndivo wanavyofanya matajiri wenye akili!.
Ila kwa sasa wakati bado una uwezo, kwanza waandalie kila mtoto land, ukiweza kuwajengea nyumba wajengee, na badala ya kuwawekea watoto fedha bank, nunua bonds na kuwaandika kama warithi.
Mimi mwenyewe ninayekushauri nina watoto 9!, Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P