Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kuna share za watoto/wanawake wengine hivyo kumuoa ni katika kuhakikisha ndoto za kampuni yake kuendelea. Ndio maana nikasema atafute mwanamke ambaye atasimamia ndoto yake yaani wanandoto the Same.Kwamba huyo mwanamke ambaye ni msaidizi hatotaka kuvutia kamba upande wake na kuangalia watoto wake tuu ndio wa benefit ?
Suluhisho ni moja
1. Huyu bwana andaae mali za kurithi hao watoto
2. Kuhusu kampuni atafute mtoto mmoja wapo mwenye interest na biashara ndo amuachie hio kampuni
Hilo la kutafuta mwanamke wa kumlipa haliwezekani,3. Kuhusu uzeeni atafute msichana wa kumlipa vizuri wa kufanya kazi, kumuuguza ingawa atakua anampelekea moto kimtindo....etc...biashara...imeisha hatokaa afikirie utegemezi wa msaidizi kama mke etc maana alishachagua kutokua na mke
safi sana, hakuna kuibiwaLabda mke angeshafika mahakamani na sasa hivi Tungekuwa tunagawana pasupasu.
Nawajua matajiri kibao wenye utajiri kibao wasio na familia.Kufanikiwa kimaisha nipamoja na kupangilia familia yako .kwenye familia hapo umefeli mkuu hakuna namna hiyo kampuni itaendelea baada yako. Mgogoro nilazima, mimi nadhani nibora umiliki wa hizo hisa wangekuwa ndugu ingekuwa afadhali
1. Tajiri namba moja India alikufa bila kuoa na alikufa bila kuparalysisSiku umeparalyze mapumbu atakuosha dada yako huyo secretary
Hili nalichukua ils kuhusu paragraph ya mke na mahusiano hapana.Pole na hongera kuendelea kupambana!
Umechagua njia nzuri ya kutunza mali zako kupitia Kampuni, Kwa kuwa Kampuni inakuwa na board of directors, hivyo hakuna uwezekano wa watoto zako kuja kuingia tamaa ya kuuza na kugawana mali bila idhini ya Kampuni.
Kwa kuwa wewe ndiyo share holder Mkubwa(70%) ndiyo mwenye final say kwenye mambo yote ya Kampuni
Ili kuondoa wasiwasi, wa kupoteza Mali zako kupitia Wazazi wenzako, unaweza kuamua kununua hisa zao zote(30% remaining shares), ila wakaendelea kuwa board members wa Kampuni yako hadi pale watoto wako watakakapofikisha umri wa kisheria (18yrs) kuweza kuingia Kwenye board.
Jambo lingine, umefanya haraka sana kuweza kuwapima watoto wako na kuhitimisha kwamba x,y,z anapenda biashara ama abc wanapenda kitu fulani.
Hao waache wakue Kwa kimo na akili hadi wawe watu wazima ndiyo ufanye maamuzi kupitia interest zao za hobby,fani n.k
Naona wamebakiza miaka 10 ijayo ambapo wewe utakuwa umeuanza Uzee rasmi (45yrs 😜)
Kama hautajali (Sina ruhusa ya kukupangia), unaweza kuingia Kwenye mahusiano serious kwaajili ya Ujenzi imara wa familia.
Haipendezi watoto wako, kuwa na Baba Msela (asiye na Mke)
Kama yapi.Alipigwa matukio ya karne
1. Kwamba huwajui watu walio na maisha mazuri ya fedha na hawana ndoa, WAMEKOSA NINI.?Ndoa ni mhimu sana hawa wazee wa kataa ndoa kuna majuto mbele
Tatizo sio kuwa na familia bali kupangiliaNawajua matajiri kibao wenye utajiri kibao wasio na familia.
Hata wewe unawajua.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hongera na tunakuombea heri 🙏🙏Hili nalichukua ils kuhusu paragraph ya mke na mahusiano hapana.
Mimi huwa nalala saa 5usiku mpaka 7 na kuamka saa 12 alfajiri mpaka 2 asubuhi na sometimes nalala hata masaa 5 tu.
Nilichoweza ni kuhakikisha kila siku nalala masaa kati ya 5 mpaka 8.
Sasa nikioa stress zitazaliwa.
Mara mume wangu siku hizi hunipi, mara vile mara hivi.
Faida ya kuwa single ni kwamba nawawaza watoto tu ambao naongea na siku mojamoja kwa simu sababu wako mbali ila wakiwa karibu ni full time niko nao.
MAPENZI YALINISHINDA.
ila kuhusu kutafuta hela LAZIMA NIWE DEWJI..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hili nalichukua ils kuhusu paragraph ya mke na mahusiano hapana.
Mimi huwa nalala saa 5usiku mpaka 7 na kuamka saa 12 alfajiri mpaka 2 asubuhi na sometimes nalala hata masaa 5 tu.
Nilichoweza ni kuhakikisha kila siku nalala masaa kati ya 5 mpaka 8.
Sasa nikioa stress zitazaliwa.
Mara mume wangu siku hizi hunipi, mara vile mara hivi.
Faida ya kuwa single ni kwamba nawawaza watoto tu ambao naongea na siku mojamoja kwa simu sababu wako mbali ila wakiwa karibu ni full time niko nao.
MAPENZI YALINISHINDA.
ila kuhusu kutafuta hela LAZIMA NIWE DEWJI..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
aya hiiNa mama zao muda mwengine husaidiana ile kisela..!!
Na aya hii naona kama umejichanganya chiefWamama hawajuani na hawataki kujuana na sijawahi kufikiria kuwakutanisha au kufanya chochoteee wajuane.
nasiku wewe ukiwa mwehu mke wako ataendelea kuishi nawewe...chamsingi aandike usia mali isiuzwe bali iendelezwe tu ili idumu vizazi na vizazi.hapo atateua msimamizi n.k,Siku umeparalyze mapumbu atakuosha dada yako huyo secretary
aya hii
Na aya hii naona kama umejichanganya chief
Hajui kuna nyakati kama hizo, tena ndugu suala la kuuguza hata kama wameachana na mke ndo huwa muda wa kumtafuta mtalaka wake eti njoo tu umuuguze ni mumeo huyo, talaka ni makaratasi tu huyo ndo baba watoto wako, wanatumia maneno meeengi ila wakati akiwa mzima mke alionekana mavi wala sio wa muhimu aahhhSiku umeparalyze mapumbu atakuosha dada yako huyo secretary
Au aende pale Idara ya Dharura MNH akaangalie hali halisi, aangalie thamani ya mke au mume pale inapotokea mmoja ana tatizo.Kuna share za watoto/wanawake wengine hivyo kumuoa ni katika kuhakikisha ndoto za kampuni yake kuendelea. Ndio maana nikasema atafute mwanamke ambaye atasimamia ndoto yake yaani wanandoto the Same.
Hapa sawa
Hapa anazungumzia watoto wadogo, na hofu yake akikata kamba hivi karibuni kabla watoto hawajakua
Wazo lako ni zuri,
Hilo la kutafuta mwanamke wa kumlipa haliwezekani,
Sisi wengine tumebarikiwa kuwaona Babu zetu na sio zaidi ya mmoja.
Hakuna mtu wa kukutunza na kukupa hadhi ya kiutu zaidi ya mkeo. Hata umlipe mfanyakazi kiasi gani.
Uliza wenye Baba Zao waliopata Stroke watakuambia
Ilikuwa na maana kwasababu wana watoto wake, hata kama kutakuwa na ugomvi kati yao ila kuna kitu watoto wake watapata, nimewahi ila hizi za kina kaka sijui dada angu ikitokea kaka hayupo hao watoto hawawahusu kabisa tena wapo ndugu watasema kwanza hawa watoto sio wake hatuwatambuiAlafu hakukuwa na sababu ya kuwashirikisha katika hiyo kampuni.
Ilikuwa na maana kwasababu wana watoto wake, hata kama kutakuwa na ugomvi kati yao ila kuna kitu watoto wake watapata, nimewahi ila hizi za kina kaka sijui dada angu ikitokea kaka hayupo hao watoto hawawahusu kabisa tena wapo ndugu watasema kwanza hawa watoto sio wake hatuwatambui
Au aende pale Idara ya Dharura MNH akaangalie hali halisi, aangalie thamani ya mke au mume pale inapotokea mmoja ana tatizo.
Ndiyo maana kwenye kiapo kuna maneno "Kwenye uzima na maradhi"