Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

Mara unasema wanasaidianaga kisela,mara unasema Tena hawajuani nawala hawataki kujuwana..nilitaka kujifunza kitu kutoka kwako..ila nimekuona chenga tu...
Ungeuliza uchenga uko wapi?
Usiwe na "Personal attack" kwenye hoja.
ULIZA UJIBIWE
ila nilichomaanisha ....
1. Mimi na wao tunasaidiana kisela namaanisha, "Nisaidie 10 la ....."" natuma
Husaidiana mimi na wao kisela (kila mtu na wakati wa ombi, tunasaidiana) ila sio wao kwa wao.

2. Yaani wao wananijua, ila wao kwa wao HAWAJUANI, yaani mama wa kwanza hajawahi kuwaona wenzake na hivyohivyo kwa wengine.

3. Nilichofanikiwa ni kukata uhusiano wa mapenzi mazima.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Pole ila usisahau kuna
1. Dangote
2. Bill Gate
3. Benzos
4. Na wengine kibao

HAWA NAO UNAWAAMBIAJE??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
aya hii

Na aya hii naona kama umejichanganya chief

Dalili za chai kuiva

ila nilichomaanisha ....
1. Mimi na wao tunasaidiana kisela namaanisha, "Nisaidie 10 la ....."" natuma
Yaani mimi na wao Tunasaidiana kila mtu na wakati wakez ila wao kwa wao hawajuani.
Kila mtu huomba msaada kwa wakati wake then namsaidia.

2. Yaani wao wananijua, ila wao kwa wao HAWAJUANI, yaani mama wa kwanza hajawahi kuwaona wenzake na hivyohivyo kwa wengine.

3. Nilichofanikiwa ni kukata uhusiano wa mapenzi mazima.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwanini uweke mama kama Shareholders badala ya watoto ? Ni requirement ya kisheria kwamba under 18 hawezi kuwa shareholders ?
 
Kwanini uweke mama kama Shareholders badala ya watoto ? Ni requirement ya kisheria kwamba under 18 hawezi kuwa shareholder ?
Ndio maana requirement moja wapo ni Namba ya NIDA

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
mbona simple tu.
Tafuta mwanasheria nendeni mahakamani.
Kaorodheshe watu unaota wake wakurithi tu ukifa.
Siku ukifa orodha inatoka.
Kama Jina lako halipo basi ujue kwenye mgao HAUPO.
 
nimekusoma kaka
 
Daaah Kwa yote haya mm nipe mdogo wako uyo secretary.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nipo hapa kujifunza maana na Mimi ni same nyumba
 
Mshana Jr na wengine karibuni kwa USHAURI

#YNWA
#YANGA_BINGWA

Let assume story yako ni true story.
Sasa fahamu haya; kama kuna makosa uliwahi kufanya (na wanaume wengi hufanya) ni kuzaa ovyo ovyo (nje ya ndoa) au kulazimisha kuchelewa kuoa (kujidanganya kuwa hawataoa). Sasa wewe unavyo vyote viwili. Hapo anguko la kimaisha ni 100%. Ni lazima utaanguka tu, ni suala la muda. Haitasubiri ufe, anguko lako unaweza kulishuhudia ukiwa hai.

Kanuni ni moja tu, Mwanaume huwezi kufanikiwa kikamilifu (kufikia hatma njema ya kimaisha) na kudumu katika mafanikio hayo nje ya familia yako. Ukishazaa nje ya ndoa maana yake umeamua kusambaratisha msingi wa familia yako au umeamua kujenga bila kuweka msingi. Kuangamia kwako kuko pale pale. Ni suala la muda tu.
 
Hebu fanya research kuhusu ndoa kwa matajiri wengi wa hii dunia halafu njoo tena.

Cha mwisho..

NAKUHAKIKISHIA.
SITOANGUKA.
Na kwakuwa uzi huu Unadumu, hebu tukutane tena 28/07/2030 nikikupa ushuhuda wa kunywa kawaha na Dewji, Bakharesa, Vunja bei na watu kama hao huku wakinipa connection za KIBABE.

MEET ME ON TOP.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sasa kumbe solution unayo. Atakuwa huyo dada yako. Simple.
 
Nafikiri ushauri huu ni mzuri. Ila Trust itaendesha hiyo kampuni indefinitely hata kama watoto wamekuwa watu wazima? Kama sivyo, wakiwa watu wazima, shares za baba zitagawanywa vipi kwa watoto? Au kampuni ifilisiwe mali igawanywe? Fee ya trusteeship? Kama hivi vitu vikiwa covered, naona huu ushauri ndio mzuri.
 
PhD drop out unauliza swali Kama hili? Serious? Na umiliki wako ni gari na Nyumba iliyopo kwenye nadharia? Ambazo Hilo wala SI Mali ni basic needs?

Hemu serikali fanyeni tu Lisu atoke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…