Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Swali langu halikuhusu kuomba pesa kama sehemu ya mahusiano. Swali langu lilihusu mwanamke ambae yuko kwenye ndoa kuomba pesa kwa ajili ya matumizi yake ya msingi kama kununua nguo nk.
Mkuu, sikuusoma mjadala wenu hivyo nimejibu tu nilichoulizwa.

Turudi kwenye swali lako, mke wa ndoa hapaswi hata kuomba kwa maana mume anatakiwa kumtimizia mahitaji yake ya msingi.
Labda iwe dharura kaona nguo nzuri kaipenda, na ni haki yake wala sio suala la mjadala kabisa.
 
Mapenzi ya sasa bila pesa yanakua kama vita ya palestina na Israel, mtafanya nini tena baada ya kupenzika vichakani ? Kama pesa haina maana kwenye mapenz? Kila kitu kinachohusu mapenzi ni pesa mkuu.
 
Tupendeni mpaka tuchanganyikiwe muone maajabu!! πŸ˜‰πŸ˜
Uko sahihi, na hii iko pande zote mbili

Waume wameambiwa wawapende wake zao na wake wawaheshimu waume zao

Mume akimpenda mke wake itakuwa rahisi kwa mke kumheshimu mume wake

Na nyinyi wake pia mkiwaheshimu waume zenu itakuwa rahisi kwa waume kuwapenda wake zao

Kwa hiyo kila mmoja kwenye ndoa akitimiza jukumu lake kwanza, upendo na heshima vitajitokeza kwenye ndoa
 
Hahaha wengine wanatumia kama defensive mechanism
 
Mapenzi ya sasa bila pesa yanakua kama vita ya palestina na Israel, mtafanya nini tena baada ya kupenzika vichakani ? Kama pesa haina maana kwenye mapenz? Kila kitu kinachohusu mapenzi ni pesa mkuu.
Kuna jamaa alikua analia huku anasema ananyiwa uchi kisa hana maokoto.

Out of topic.
 
Kwa mara ya kwanza nimesoma comment yako umetuliza akili sana.
 
Oa ujilie papuchi bure mpaka ucheue. Lakini ukila kisela na wewe pesa yako italiwa kisela. Katika football tunasema GG
Oa ujilie papuchi bure mpaka ucheue.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ utapangiwa ratiba ya kula_k utarudi apa na Uzi wa MKE WANGU ANANINYIMA UNYUMBA NI FANYAJE?? 🀣🀣
 
Mwanamke usipomhudumia hilo penzi litakufa dada udinganye watu
Haijalishi mwanamke anakupenda vipi usipomuhudumia practical hakuna upendo
 
Oa ujilie papuchi bure mpaka ucheue.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ utapangiwa ratiba ya kula_k utarudi apa na Uzi wa MKE WANGU ANANINYIMA UNYUMBA NI FANYAJE?? 🀣🀣
Speaking from experience, miaka 18 ya ndoa. Mwanamke ukijua kumhudumia na kumpenda, hawezi kupa unyumba kwa ratiba. Ukiona unapewa kwa ratiba kuna tatizo mahali, either ana ku cheat so hana hisia kwako tena au la haoni maajabu kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…