min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
[emoji849]Mi ni team Kataa ndoa [emoji3061]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849]Mi ni team Kataa ndoa [emoji3061]
Mkuu, sikuusoma mjadala wenu hivyo nimejibu tu nilichoulizwa.Swali langu halikuhusu kuomba pesa kama sehemu ya mahusiano. Swali langu lilihusu mwanamke ambae yuko kwenye ndoa kuomba pesa kwa ajili ya matumizi yake ya msingi kama kununua nguo nk.
That's true.Mkuu, sikuusoma mjadala wenu hivyo nimejibu tu nilichoulizwa.
Turudi kwenye swali lako, mke wa ndoa hapaswi hata kuomba kwa maana mume anatakiwa kumtimizia mahitaji yake ya msingi.
Labda iwe dharura kaona nguo nzuri kaipenda, na ni haki yake wala sio suala la mjadala kabisa.
Mapenzi ya sasa bila pesa yanakua kama vita ya palestina na Israel, mtafanya nini tena baada ya kupenzika vichakani ? Kama pesa haina maana kwenye mapenz? Kila kitu kinachohusu mapenzi ni pesa mkuu.Katika mjadala ambao siupendi ndio hayo masuala ya kuombana pesa katika mahusiano, ni mambo ya kipumbavu sana.
Hakuna uhusiano wowote kati ya mapenzi ya kweli na pesa. Mwanamke hawezi kusema anampenda mwanaume kiukweli sababu ana pesa, ni uongo.
Na mwanaume hawezi kusema anapendwa kiukweli sababu ana pesa, ni uongo pia.
Ufike wakati tutenganishe haya masuala, wenye ajenda hizo wana maana nyingine tofauti mapenzi.
Uko sahihi, na hii iko pande zote mbiliTupendeni mpaka tuchanganyikiwe muone maajabu!! 😉😁
Hahaha wengine wanatumia kama defensive mechanismSamahani, niko out of topic, hii tabia ya nyie wadada kuita wanaume "rafiki" huwa mkituita hivyo mnamaanisha nini hasa? Like mnamaanisha rafiki kama kiunganishi tu cha maneno, au mnamaanisha kuwa hamuwezi mpa papuchi huyo mwanaume ndo maana mnamuita rafiki Kelsea Mzee wa kupambania
Wala hujanielewa. Unachoongelea wewe ni gharama za kwenye mapenzi…Mapenzi ya sasa bila pesa yanakua kama vita ya palestina na Israel, mtafanya nini sasa baada ya kupenzika vichakani ? Kila kitu kinachohusu mapenzi ni pesa mkuu.
Hizo gharama si ndio pesa zenyewe ? Ebu nielewesheWala hujanielewa. Unachoongelea wewe ni gharama za kwenye mapenzi…
Kuna jamaa alikua analia huku anasema ananyiwa uchi kisa hana maokoto.Mapenzi ya sasa bila pesa yanakua kama vita ya palestina na Israel, mtafanya nini tena baada ya kupenzika vichakani ? Kama pesa haina maana kwenye mapenz? Kila kitu kinachohusu mapenzi ni pesa mkuu.
Kwa mara ya kwanza nimesoma comment yako umetuliza akili sana.Uko sahihi, na hii iko pande zote mbili
Waume wameambiwa wawapende wake zao na wake wawaheshimu waume zao
Mume akimpenda mke wake itakuwa rahisi kwa mke kumheshimu mume wake
Na nyinyi wake pia mkiwaheshimu waume zenu itakuwa rahisi kwa waume kuwapenda wake zao
Kwa hiyo kila mmoja kwenye ndoa akitimiza jukumu lake kwanza upendo na heshima vitajitokeza kwenye ndoa
Kupata hiyo kitu kwa sasa lazima pesa itoke ata kama umepewa bure .Kuna jamaa alikua analia huku anasema ananyiwa uchi kisa hana maokoto.
Out of topic.
Oa ujilie papuchi bure mpaka ucheue. Lakini ukila kisela na wewe pesa yako italiwa kisela. Katika football tunasema GGKupata hiyo kitu kwa sasa lazima pesa itoke ata kama umepewa bure .
Oa ujilie papuchi bure mpaka ucheue.Oa ujilie papuchi bure mpaka ucheue. Lakini ukila kisela na wewe pesa yako italiwa kisela. Katika football tunasema GG
Mwanamke usipomhudumia hilo penzi litakufa dada udinganye watuHili ni tatizo kweli...
Lakini bado mi ntaendelea kusema kwamba ukiona umegeuzwa kitega uchumi na upendo unaopewa unategemeana na kiasi cha pesa unachompa mpenzi wako basi jua you are just a means to an end, not the end itself, kwasababu ndicho nnachoamini.
Kuoa kwa sasa apana mkuuOa ujilie papuchi bure mpaka ucheue. Lakini ukila kisela na wewe pesa yako italiwa kisela. Katika football tunasema GG
Speaking from experience, miaka 18 ya ndoa. Mwanamke ukijua kumhudumia na kumpenda, hawezi kupa unyumba kwa ratiba. Ukiona unapewa kwa ratiba kuna tatizo mahali, either ana ku cheat so hana hisia kwako tena au la haoni maajabu kwako.Oa ujilie papuchi bure mpaka ucheue.
😃😃 utapangiwa ratiba ya kula_k utarudi apa na Uzi wa MKE WANGU ANANINYIMA UNYUMBA NI FANYAJE?? 🤣🤣
Then pocket must be included.Kuoa kwa sasa apana mkuu
Muhimu mkuuThen pocket must be included.
ohoo, mimi niko pamoja na wewe kuwa sio lazima hata awe kwenye ndoa, ila mwanamke wako unaempenda pia anahitaji huduma ulizosemaUmejibu bila kusoma comments zilikotoka.
Siongelei huo upande unaotetea wewe. Fanya reference