Sijui nani alileta Mfumo tegemezi wa wanawake kwa wanaume
Kwani we huna Mikono?
Si ufanye kazi?
Kwani we kwanini usimpe unategemea kupewa? Mnajishusha Sana wanawake, !!!
Nikuulize swali mkiagana asubuhi anakuaga hivi hivi?..
Manake kibongobongo kumuaga mdada bila hata nauli ngumu sana..
Wengine haondoki... hahaaa
UwiiiiiiDaaaah halafu nina hamu sana ya kunyonya tigo ya mwanamke uwiii miss chagga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikikuaga bila nauli utaondoka?
Naona number tatu inahusika husika ivii. Japo sina uhakika.Hahaa muulize vizuri huyo mdogo wako wa kiume unaeza kuta kuna matatu:
1) Kiasilia yeye ni bahili
2) Alishawahi kuchunwa pesa na mdada halafu papuchi hakupewa,
3) Hataki kupendewa hela, anataka apendwe yeye kama yeye sonnita
Dada unaonekana umebarikiwa vitu Vingi isipokua namba yangu ya simu tu....Natumia pesa yangu
Naona number tatu inahusika husika ivii. Japo sina uhakika.
Anavoongea it's like akiombwa ela kavile anaona bidada anamchukulia boya flani.
Ile kampeni ya Vunja Ukimya hukuielewa Mdada.? Mwambie nataka samaki wa kupakwa. Usikae kimya alafu unakuja kupiga kelele huku. Kama unauhitaji wa hela unamwambia, wengine hawajuagi kumfikiria mtu, lakini ukimwambia ninashida na kiasi kadhaa, Anakupa Tena kwa Upendo. Nimefuatilia ulivyomuelezea, kwamba huwa anakuuliza..uko vizuri?Kinachoniudhi ukiwanae anataka umshauri vitu kama viatu au nguo Kama ni nzuri anataka kuagiza,kwenye mtandao,na nivyagharama.hadi nachoka aisee
Maandishi yake tu yanatambulisha jinsia yake.We jinsia ipi?
May be nikuulize Machache, mna mda gani na huyo mpenzi, na je sasa hiv amekuwa tofauti na alivyokuwa mwanzo kama jibu ni ndio amekuchoka chukua hatua. Kama Hamja kuwa wapenzi kwa muda mrefu basi ni mapema Sana kulalamika na inaweza kuwa hicho ni kipimo tu kama kweli unampenda au unazuga. Mwisho si ujaribu sku moja kumwambia leo sina nauli dear si unajua sina kazi uskie ata kujibu vip?
* sjasoma comments zote.
[/QUOTe
Hujasoma coment s zote tafadhali rejea comments uone na majibu alonijibu
Sawa nitajitahidiIle kampeni ya Vunja Ukimya hukuielewa Mdada.? Mwambie nataka samaki wa kupakwa. Usikae kimya alafu unakuja kupiga kelele huku. Kama unauhitaji wa hela unamwambia, wengine hawajuagi kumfikiria mtu, lakini ukimwambia ninashida na kiasi kadhaa, Anakupa Tena kwa Upendo. Nimefuatilia ulivyomuelezea, kwamba huwa anakuuliza..uko vizuri?
Hapa Ni wazi kuwa anakuwa anataka kujua Kama unauhitaji wa fedha akupe, Sasa Kama unamjibu Niko Safi, anaona Hakuna haja. Kwa hapa tu napata picha kuwa mpenzi wako siyo baili Ila wewe siyo muwazi kwake.
Nakuagiza kuanzia Leo kuwa muwazi kwake utaona utofauti.
Ila sasa Huyu dogoangu sio mwanzoni tuu[emoji38][emoji38][emoji28]..
Kweli wewe ndio mlevi mmojaWenzako sikuhizi wanatuekea nyama ukeni wengine wanatufungia kwenye chupa basi unakuta tunazitoa sana noti kama tumeoa bi mkubwa anashindia karoti ela zote kwake
Anyway tuachane na hayo
We kwani unaonaje ? maana kabla hujaandika Uzi tayari jibu unalo