Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Ndio maana nilianzaga na Nyumba kabla ya chochote.

Pumbavu zangu, hizi mbwa ukibugi step atakutangaza mpaka kijijini kwa bibi mzaa bibi yako.

N.B Hiyo Gari ndio uliyompendea kumbuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Kwani wewe si mtu umekamilika? Na wewe tafuta hela kama yeye, unamtukana hapa huyo jamaa ako (ingawa sibishi huyo jamaa ni fala) ila na wewe pambana
 
Looh! alivyokuwa anakuhonga chips yai kabla ulijua umepata mume?
Kumbe ni balozi mitomingi.
 
Yan wanawake bhana mnawazaga sie tufe nyie mbaki nawatoto
 
Kuongea ukweli ndo kuwachukia?πŸ˜€πŸ˜€ Sijasema uongo na unatambua hilo.

Wewe mwenyewe unajua jinsi unavyowachukulia wanawake sasa wakupende kwa lipi?
Hivi kama huchangii hata mia kwenye kutunza familia unapata wapi nguvu ya kuhoji hela zangu zinaenda wapi.

Wewe kaa tulia hapo uwe kiburudisho changu nikirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…