Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Basi msihoji mtuache tunateseka watoto wa wanawake wenzenuNin wew kwani si mliambiwa mtakula Kwa jasho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi msihoji mtuache tunateseka watoto wa wanawake wenzenuNin wew kwani si mliambiwa mtakula Kwa jasho
Sasa jasho gani hilo la maswali ya kiwaki?Nin wew kwani si mliambiwa mtakula Kwa jasho
😀😀Sasa jasho gani hilo la maswali ya kiwaki?
Wewe nae unaemshauri ni walewale tu,hivi unajua mnajazanaga ujinga, mwanamke siku zote anapopambana ni anatoke kwa mwanaume lakini mwanaume anapambana akimuwazia mkewe na watoto wake,sasa wewe shetani mwekundu uliekuja kwa jina la utakatifu unaemshauri ajiangalie mwenyewe na watoto kwanini unatoa huyo mumewe,acha roho ya kibinafsi, nyinyi wanawake Tangu mama yenu Hawa arubuniwe ni nyoka na kuleta kizazi cha nyoka mna roho mbaya sana kwa waume zenuNaona wote mmeshauri wengne mmeshushua..sio kesi.
Mleta mada unaweza ukajaribu kufanya haya. Najua mi ni junior kwako, na naweza nisiwe nayajua mengi, lakin kwa machache ninayoyafahamu..naona umeingia kwenye line isiyo ya kwako, na shetani anazidi kukutoa kwenye reli. Usitoke!!
Its time to work on yourself. Anza na toba. Toba huwa inarestore broken pieces haraka sana. Tengeneza mahusiano yako na Bwana. Then samehe. Mtangazie mume wako msamaha kutoka moyoni, usimuonee uchungu. Then after this, moyo ukiwa mweupe pee, anza sasa kujifanyia kazi. Jichunguze, jifanyie deep analysis, kuna sehemu gani ulikwama.wewe kama mama, mwanamke, mke?? Je ni attitude, mtazamo, fikra, usemi, nafsi, muonekano, matendo au ni nini?? Are you sure uko salama kote huko? Then its time, kujichukulia hatua. Anza kujiboresha wewe kwanza. Achana na kumwangalia huyo mwenza wako kama he is all. Well he is not.
Ndio ulikuwa mke, na umemzalia watatu, bibi yangu alimzalia babu mtu nane, na bado akaletewa pisi ingine, sikucheki, nakuambia ubadilishe mtazamo. Anza kuwa responsible for your own shits. Well dunia haina muda wa kumuonea mtu huruma. Get tough, ongeza value my dear dada. Ongeza thamani yako.
Amka mapema, anza siku na Bwana kila siku, funga kwa wiki mara tatu, anza kutoa sadaka kwa wahitaji..zisiwe kanisani tu, anza kutafuta njia za kujipatia kipato cha HALALI. Aim kuwafanya better watoto wako kila siku. Umiza akili, tafakari miradi ya kufanya kama familia, iandike, kama hupendi exercise, jaribu kufanya hata mara tatu kwa wiki, siku isiishe hujatembea hata lisaa limoja, toka nje, explore opportunities, yani hangaisha akili kiasi kwamba huyo kaka mkubwa aone huhangaiki nae tena, mwenyewe atajirudi (kama ana conscience anyways).
Unapoanza kuwa busy na maisha yako na ya watoto na ukamdismind mtu, kuna namna huwa wanajirudigi. Na wanatulia. Lakini hii ya kukasirika kila siku ni maattitude, ndo wanapata vichwa. Sijasema umdharau. Sijasema umuonyeshe kiburi. Mungu hatakutengenezea njia sasa. Just be the woman he wishes to never lose. Anyways maybe naandika theoritically sana. All the best.
Na nyinyi MBNA mkizaa kwa uchungu mnaleta mbambamba,si mtulie kila mtu ale fungu lakeNin wew kwani si mliambiwa mtakula Kwa jasho
Umeandika kwa uchungu sanaWewe nae unaemshauri ni walewale tu,hivi unajua mnajazanaga ujinga, mwanamke siku zote anapopambana ni anatoke kwa mwanaume lakini mwanaume anapambana akimuwazia mkewe na watoto wake,sasa wewe shetani mwekundu uliekuja kwa jina la utakatifu unaemshauri ajiangalie mwenyewe na watoto kwanini unatoa huyo mumewe,acha roho ya kibinafsi, nyinyi wanawake Tangu mama yenu Hawa arubuniwe ni nyoka na kuleta kizazi cha nyoka mna roho mbaya sana kwa waume zenu
Yaani wanawake ni wabinafsi sana yaani anachowaza ni kufa kwa mwanaume tuNimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!
Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Mmechachamaa[emoji23]Usituchanganye na mtu ambaye unamwita mwanaume. Wengine hatuna hizo mbaga.
Ndio unakuta hapo mumewe anapambana kweli lakini badala limpe joto mwanaume mwenzetu halafu linakuja huku kumnanga ....hii ndio ile unaskia mtu mmoja kamkaanga mkewe huko mkoa fulaniUmeandika kwa uchungu sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio unakuta hapo mumewe anapambana kweli lakini badala limpe joto mwanaume mwenzetu halafu linakuja huku kumnanga ....hii ndio ile unaskia mtu mmoja kamkaanga mkewe huko mkoa fulani
😂😂😂Mbambamba gani tenaNa nyinyi MBNA mkizaa kwa uchungu mnaleta mbambamba,si mtulie kila mtu ale fungu lake
………………na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe.………...
Mtaje kwa jina la ukoo....ujumbe umfikie....hizo nyumba anazolipia kodi ni wanaume wamejenga, pombe anazokunywa...zimezalishwa na wanaume, gari anazopanda asilimia kubwa ni za wanaume....so usipoteze muda kuongea na wanaume wapambanaji....bali ongea na mumeo ujumbe ufike ...huku utachelewa miaka mingine 10 ndio aje asome hapa.Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!
Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Sasa wewe kama mkewe unatakiwa kuplay part yako. Kuna dada yangu kwenye ukoo alikutana na mwanaume anafanya kazi kiwandani, jamaa alikuwa anapiga madili sana so pesa anapata.Niyatoe wapi watoto watatu ndani ya miaka saba na bado anamendea wa nne, nikizaa tena nipo pale, yaani anataka Kijiji kizima kwenye nyumba za kupanga!