Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Kabisa hatuwezi kubali kuchafuliwa kirahisi. Tumechoka aisee tumechokaaaaaa. Kila kitu kikiharibika ni mwanaume mambo yakienda vizuri oooh nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke, hizo story hatuzitaki tena.
Ndo uanaume huo😀
 
Ila wanaume tunakazi sana,.. yaani mwanamke anakwambia amekuzalia watoto lakini mda huohuo anayefaida matunda ya watoto ni mama na muda mwngn watoto na mama wanaweza wakamuisolate baba.
Wanaume tumestukia huu mtego aiseee. Mambo ya kutuambia watoto umetuzalia halafu tukiwataka anagoma hataki kuwaachia ndipo tunashtuka. Hawa mabinti wa kisasa hawa wana ajenda za kishetani sana.
 
Nyumbu ni ambao hawajajenga na uwezo wa kujenga wanao na wapo hapa kubisha. [emoji28][emoji28][emoji28]
Inawezekana haupo kwenye category hiyo rafiki.
Sawa, nakukubali sana lakini. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unanifurahishaga sana pamoja na "ukorofi" wako sometimes 😁😁😁

Complaining is easy...

Kutimiza majukumu na kubeba lawama husika hiyo ni habari nyingine...

Tuzidi kumuombea tu angalau akina Mama J wapungue katika ndoa yake 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
😀😀😀😀😀

Sasa kina mama j watapunguaje unadhani wakati yeye anacomplain kina mama j wana toa compliments 😀😀😀kuna tofauti ya “kuchelewa ni kawaida yako” na “pole na hongera ya kazi, habari ya utokapo”
 
Wengi wanaochangia huu uzi naona wamekuwa wao kama malaika wanamshambulia mama mleta mada ila naamini wapo ambao wana hizo tabia alizoorodhesha hapa nao wamemshambulia shida ni jinsi alivyoiwasilisha mada yake kutuweka wote kwenye kapu moja na huyo mumewe.

Ni maisha wapo nayo baadhi ya wanaume tusijifanye kufumbia macho kama yupo mwenye tabia hizo abadilike
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Huyo mmeo amegundua akijenga utamuua utamtanguliza maana hadi hapa ushakiri ww mwenyewe kuwa akifa atawaachaje vipi mkitangulia kufa ww na wanao utamuachaje mmeo
 
Wanaume tumestukia huu mtego aiseee. Mambo ya kutuambia watoto umetuzalia halafu tukiwataka anagoma hataki kuwaachia ndipo tunashtuka. Hawa mabinti wa kisasa hawa wana ajenda za kishetani sana.
Source of income😂
 
Usikute jamaa anafanya vitu kimya kimya hakushirikishi hamna mwanaume kilaza kama unavofikiria
 
Si naskiaga yule anaeolewa ni msaidizi kwa mwanaume ?!

Kwa usaidizi huu acha ile kampeni iendelee tu
Usaidizi unaozungumziwa siyo wa mkeo kukusaidia kununua tofali na kukusomeshea watoto,usaidizi ni kama hivi kukukumbusha kwamba kuna umuhimu wa kujenga nyumba kwa ajili ya familia yako na mengineyo ya msingi.

Wanaume sisi siyo wepesi wa kuweka akiba ukiwa na mke mwenye akili (naamini hata mleta mada yupo ktk position hiyo) mkapanga kudunduliza kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yenu au chochote chenye manufaa kwenu ndani ya muda mfupi mnafanikiwa,shida ni ubishi wetu kuamini mafanikio ya leo pia kesho yapo.

NB;hapo juu kwenye bold usije ukaowa ukategemea mkeo atakusaidia hela kujenga,msaada huo hakuna ulipoainishwa ktk sheria za ndoa take care utaangukia pua.
 
Ulitaka afanye nn? Ukute jamaa anapambana kusaidia ndugu zake na wewe hutaki unahisi msaada kwa ndugu zake ndo kikwazo. Si ushukuru hata una uhakika wa kula na kulala bure kwa jasho la huyo unayemshambulia humu n mlevi na ana mahawara, una uhakika sku akiondoka we unaweza kuyamudu hata hayo madogo unayoyabeza hapa au ndo golikipa mdomo mrefu.
Au unataka ajenge wkati uwenda bdo anajpanga unasema miaka 7 wkt kuna wenzio mpk wamezeeka kwny ndoa hawakuwahi hata kumiliki kiwanja.
Si uombe talaka upate yule atafanya unayoyataka punguza gubu na udomo kaya kula kulala wewe jamaa ananywea jasho lake kama ni mahawala pia pesa n jasho lake kaa kwa kutulia huwez omba talaka.
 
Mmenishambulia sana ngoja nitulie nitawajibu wote, ila jengeni tunataka security ya maisha. Hakuna Cha kuuliwa. Yaani uuliwe Kwa nyumba ya vyumba vitatu
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Ni wanawake wachache sana wanaoweza kuongea haya wengine kazi kukaangiza pilau na kujaza nguo kwenye mabegi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Usaidizi unaozungumziwa siyo wa mkeo kukusaidia kununua tofali na kusomeshea watoto,usaidizi ni kama hivi kukukumbusha kwamba kuna umuhimu wa kujenga nyumba kwa ajili ya familia yako na mengineyo ya msingi.

Wanaume sisi siyo wepesi wa kuweka akiba ukiwa na mke mwenye akili (naamini hata mleta mada yupo ktk position hiyo) mkapanga kudunduliza kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yenu au chochote chenye manufaa kwenu ndani ya muda mfupi mnafanikiwa,shida ni ubishi kuamini mafanikio ya leo pia kesho yapo.

NB;hapo juu kwenye bold usije ukaowa ukategemea mkeo atakusaidia hela kujenga,msaada huo hakuna ulipoainishwa ktk sheria za ndoa take care utaangukia pua.
Maana yake mwanamke kama chake n chake c cha familia haina maana kufanya kaz yan atoke asbh arud usku kama mimi halafu mshahara akpata n wake bnafsi over my dead body atachagua moja kaz au ndoa kwsha.
 
Mmenishambulia sana ngoja nitulie nitawajibu wote, ila jengeni tunataka security ya maisha. Hakuna Cha kuuliwa. Yaani uuliwe Kwa nyumba ya vyumba vitatu
wangapi mmewaua ksa vijihela vya mboga tu ili mrithi na ndugu mume waspate chochote cha kuwasaidia toka kwa ndugu yao.
 
Back
Top Bottom