msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 277
- 381
Hii point sana,Ila wanaume tunakazi sana,.. yaani mwanamke anakwambia amekuzalia watoto lakini mda huohuo anayefaida matunda ya watoto ni mama na muda mwngn watoto na mama wanaweza wakamuisolate baba.
Hii kusema mtu kazaliwa watoto ni kauli yakisiasa sana...asilimia kubwa sana ya watoto wanaishia kubase kwa mama mwisho wa siku, sasa sijui anakua kakuzalia vp!