Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah si ni nyumbu, umetuumiza sana hisia ujue.Watakuponda mawe lakini bora umewaambia hawa nyumbu
Mamdogo mi nipo..!! Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu..!! Mamdogo, hayo maendeleo yake ya kupata watoto watatu, alikunywa maziwa?Bamdogo ulipotelea wapi jamani
Maendeleo yake ana watoto wa3 😀😀😀
Umeshatafuta kiwanja, kuna tofauti ya kumwambia unataka kujenga na mshaanza kujenga.Bora hata nimepunguza hasira maana Kila nikimpanga tujenge anadai kizuri hakitaki haraka
Sure, ameongea kwa hasira mnoo,Maendeleo yake si kuzalishwa, kumstarehesha mumewe na kulea watoto?
That's her primary duty as a wife (ma feminists msinirukie!)
Na ukimsoma vizuri (kama umesoma Cuba) ana hasira sana; na hasira hizi naamini zinasababishwa na mumewe kuwa k*tombi. Da woman is in pain!
Pulizi piga goti chini hapo ulipo umuombee mwanamke mwenzio ili mumewe apunguze akina Mama J. huko nje 😁😁😁
Maana badala ya kupambana na k*tombi wake huko amekuja kutubebesha msalaba wa lawama wanaume wote hapa duniani!
Not fair!
Alipambana 😀😀😀😀😀kutegesha iingie sio kazi rahisiMamdogo mi nipo..!! Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu..!! Mamdogo, hayo maendeleo yake ya kupata watoto watatu, alikunywa maziwa?
yaani mumeo kuwa juha basi unatukana wanaume wote. ujinga ulionao wa kukubali kuolewa na mwanaume zuzu unadhani wanawake wote wako kama wewe??Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!
Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Mamdogo, kwani anayeingiza si huyo anayemuona hana maendeleo..!!?? Mwamba amepambana kuisimamisha, pili akairengesha pa kutolea watoto na tatu akaipeleka ndani kwa nguvu zake ili watoto wamwagikie ndani...!! Yeye labda aliifinyia kwa ndani ikiwa ishafika ndani bila juhudi zake. Kuifikisha huko ndani ilikofinyiwa, ni juhusu za mwamba mamdogoooo..!!!!Alipambana 😀😀😀😀😀kutegesha iingie sio kazi rahisi
Kama amekuja kumlaumu hivi it means anamtolea maneno ya dharau au kumkatisha tamaa hadi mwanaume anaamua kuwa mlevi na mtu wa mademu tu.Nguvu ya maendeleo ya familia yako ipo kwako wewe, wewe ndio mjenzi WA nyumba yako, kama mwanaume haoni loyalty yako kwake anaweza asifanye maendeleo ya maana akaamua kula maisha.
Jitulize na umtulize mmeo mtie moyo nmfungulie Dunia kwa kwa kipaji chako cha uvumilivu
Labda usaidizi anaotakiwa kuwa nao mke, yeye kaona ni KUMWAGA UNO LA MAANA TU, ILI WATOTO WAPATIKE MKIWA MMEPATA RAHA..!!!Sure, ameongea kwa hasira mnoo,
Namuombea Mungu amgange moyo, amuondolee uchungu na maumivu yote
Ila, Mke ni msaidizi, je yeye anafanya yanayompasa kumsaidia mumewe kupata hayo maendeleo?
Akasome mithali :1 aone mwanamke anatakiwa kuwaje alafu aje alalame tena
Hapo sasa aendelee kuongeza tu watotoLabda usaidizi anaotakiwa kuwa nao mke, yeye kaona ni KUMWAGA UNO LA MAANA TU, ILI WATOTO WAPATIKE MKIWA MMEPATA RAHA..!!!
Ukweli mchungu ila ndio dawa.Kwani hata hayo MAISHA akiyatengeneza si mnatuua KWA presha ,sukari,upweke,stress na ndumba ILI mbaki na watoto wenu!!
ACHA walewe,wanunue malaya coz ndio mali PEKEE wanazozimiliki hayo MAISHA mnayosema ni changa la macho kwetu na mwanzo wa matatizo SANA KWA sisi!!!
Unafikiri akikamilisha KILA kitu utampenda BASI!!?
Sisi ni SAWA na greda likishatengeneza Barabara linawekwa pembeni eti litaharibu Bara bara!!
Unanifurahishaga sana pamoja na "ukorofi" wako sometimes 😁😁😁Sure, ameongea kwa hasira mnoo,
Namuombea Mungu amgange moyo, amuondolee uchungu na maumivu yote
Ila, Mke ni msaidizi, je yeye anafanya yanayompasa kumsaidia mumewe kupata hayo maendeleo?
Akasome mithali :1 aone mwanamke anatakiwa kuwaje alafu aje alalame tena
Umeniacha hoi. Ubarikiwe malaika wa yellow....😅😅😅😅😅🤸🤸Wewe nae unaemshauri ni walewale tu,hivi unajua mnajazanaga ujinga, mwanamke siku zote anapopambana ni anatoke kwa mwanaume lakini mwanaume anapambana akimuwazia mkewe na watoto wake,sasa wewe shetani mwekundu uliekuja kwa jina la utakatifu unaemshauri ajiangalie mwenyewe na watoto kwanini unatoa huyo mumewe,acha roho ya kibinafsi, nyinyi wanawake Tangu mama yenu Hawa arubuniwe ni nyoka na kuleta kizazi cha nyoka mna roho mbaya sana kwa waume zenu
Pole sana dada naona umeongea kwa uchungu but kwa ushaur jaribu kuangalia kitu ambacho na ww unawza fanya kikakuongezea kipatoNimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!
Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Kabisa hatuwezi kubali kuchafuliwa kirahisi. Tumechoka aisee tumechokaaaaaa. Kila kitu kikiharibika ni mwanaume mambo yakienda vizuri oooh nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke, hizo story hatuzitaki tena.Mmechachamaa[emoji23]
Nyumbu ni ambao hawajajenga na uwezo wa kujenga wanao na wapo hapa kubisha. 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah si ni nyumbu, umetuumiza sana hisia ujue.