Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Hakikisha huongezi mtoto mwingine mpaka uone mweleleo wa mabadiliko unayoyataka😴😴😴😴😴
 
Acha kuzungumza kwa hisia Kali ivi. Ongea na umshauri huyo mwanaume wako. Sio wote tuna huo upumbavu. Heshima ichukue nafasi yake. Kaa chini na ujiulize alichokosea kwako ni nini? Na ni kipi kinachokufanya ushindwe kumtreat mwanaume wako adi afikie hatua ya kuwa na mahawara? Ukipata majibu Kaa nae chini mrekebishane [emoji725]
Asante Kwa ushauri
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Kosa kubwa bwana ako alilofanya ni kuoa liability badala ya asset, huna mchango wowote kwake zaidi ya masimango kwake
 
Maana yake mwanamke kama chake n chake c cha familia haina maana kufanya kaz yan atoke asbh arud usku kama mimi halafu mshahara akpata n wake bnafsi over my dead body atachagua moja kaz au ndoa kwsha.
Then kama siyo mwanaume lia lia mpe nafasi ya kuchagua.
 
Kosa kubwa bwana ako alilofanya ni kuoa liability badala ya asset, huna mchango wowote kwake zaidi ya masimango kwake
Hivi unajua what does it sound like kukaa na watoto wadogo watatu au unabwabwaja tu! Afu nimsaidie matako Kila miaka miwili anaonizalisha hebu tulia tu usiniguse sehemu mbaya
 
Hivi unajua what does it sound like kukaa na watoto wadogo watatu au unabwabwaja tu! Afu nimsaidie matako Kila miaka miwili anaonizalisha hebu tulia tu usiniguse sehemu mbaya
Kwani katika mshahara anaopata wewe ume add nini ambacho ni productive kwenye maendeleo yenu jamaa akaki crush
 
Back
Top Bottom