Usaidizi unaozungumziwa siyo wa mkeo kukusaidia kununua tofali na kusomeshea watoto,usaidizi ni kama hivi kukukumbusha kwamba kuna umuhimu wa kujenga nyumba kwa ajili ya familia yako na mengineyo ya msingi.
Wanaume sisi siyo wepesi wa kuweka akiba ukiwa na mke mwenye akili (naamini hata mleta mada yupo ktk position hiyo) mkapanga kudunduliza kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yenu au chochote chenye manufaa kwenu ndani ya muda mfupi mnafanikiwa,shida ni ubishi kuamini mafanikio ya leo pia kesho yapo.
NB;hapo juu kwenye bold usije ukaowa ukategemea mkeo atakusaidia hela kujenga,msaada huo hakuna ulipoainishwa ktk sheria za ndoa take care utaangukia pua.