Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Na Kila siku kunishawishi nio

Wakati huo hata jf naijua basi, kushinda home na watoto kumenifanya niijue jf huwa nasoma tu Jana nimeona nifungue AC Cha ajabu mnanishambulia kama mwizi
Hakuna anayekushambulia ila approach uliyokuja nayo ya kuona wanaume wote ni kama mume wako ndipo ulipo wakwaza wanaJamii, kingine wewe binafsi hujaonekana kuonesha jitihada zozote katika kumfanyia wepesi mume wako kuyatekeleza yale unayoyatamani katika familia yenu , umekuwa mtu wa kulaumu tu jambo ambalo haliwezi kubadili kitu pasipo kuchukua hatua.
 
Anataka kiwanja mjini wakati kibaha huko viwanja vimejaa; anasubiri apate milioni 30 Sasa sijui Kwa mara Moja anaipata wapi
duuh msala sanaa mpeleke mpijii majoheeee uko mkajengeee... MWANAUME NI KICHWA ILA MWANAMKE NI NGUZO.. komaa mpe akili atafanyaa usiwe unalaumu tuuu mambo ya hela mwanaume kucontrol hela ni ngumu.
 
duuh msala sanaa mpeleke mpijii majoheeee uko mkajengeee... MWANAUME NI KICHWA ILA MWANAMKE NI NGUZO.. komaa mpe akili atafanyaa usiwe unalaumu tuuu mambo ya hela mwanaume kucontrol hela ni ngumu.
Asante mpiji ni bei rahisi, maana yeye viwanja ndo mtaalam wakati hana hata kimoja, Kila siku kuongelea goba na madale.
 
Namaanisha kujenga kwa kujibana sana hakufai maana utaishia kuteseka na kujenga kibanda cha hovyo.
Kwa stage huyu brother yupo akubali tu kujenga hicho kibanda cha hovyo lakini wakati wa kusema ajenge nyumba ya ndoto zake haupo tena (though hatuujui uwezo wake so tusimsemee)
 
Maana yake mwanamke kama chake n chake c cha familia haina maana kufanya kaz yan atoke asbh arud usku kama mimi halafu mshahara akpata n wake bnafsi over my dead body atachagua moja kaz au ndoa kwsha.
This makes a lot of sense unfortunately just for very few women 😴🤪
 
Ukweli lazima usemwe, ili mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone.

Kama mtu anapata pesa nzuri, ambayo mleta uzi amesema wakati mwingine hupata milioni tatu akazitumia zote kwa kula na kunywa tu, basi hapo pana tatizo.

Huyu bwana lazima umweleze ukweli kwamba umri haumsubiri, aanze kutengeneza kesho iliyo bora leo, maana sio siku zote atapata hela hizo ambazo zinamsaidia kulipa Kodi pia.

Vilevile akumbuke maisha yanaenda kasi sana, punde si punde ashakuwa mzee hana nguvu tena, vilevile akili ishaanza kuchoka, ndo mwanzo wa kuanza kulalamikia watu na kuwapa watoto wake hawamtunzi.

NB: hela anayopata leo hata Kama hataipeleka kwenye ujenzi, basi awekeze maana akiwekeza vizuri nyumba inainuka any time within a short period of time.
 
Back
Top Bottom