Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Dah..!! Heshima kwako Amehlo. This coment of your, has made me to LOVE you more.!! USIKUTE YEYE MAENDELEO YAKE NI KUNYONYESHA WATOTO TU..!!
Bamdogo ulipotelea wapi jamani

Maendeleo yake ana watoto wa3 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bamdogo ulipotelea wapi jamani

Maendeleo yake ana watoto wa3 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mamdogo mi nipo..!! Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu..!! Mamdogo, hayo maendeleo yake ya kupata watoto watatu, alikunywa maziwa?
 
Sure, ameongea kwa hasira mnoo,

Namuombea Mungu amgange moyo, amuondolee uchungu na maumivu yote

Ila, Mke ni msaidizi, je yeye anafanya yanayompasa kumsaidia mumewe kupata hayo maendeleo?

Akasome mithali :1 aone mwanamke anatakiwa kuwaje alafu aje alalame tena
 
Mamdogo mi nipo..!! Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu..!! Mamdogo, hayo maendeleo yake ya kupata watoto watatu, alikunywa maziwa?
Alipambana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kutegesha iingie sio kazi rahisi
 
yaani mumeo kuwa juha basi unatukana wanaume wote. ujinga ulionao wa kukubali kuolewa na mwanaume zuzu unadhani wanawake wote wako kama wewe??
 
Aloo umeongea kwa jazba sana shoo, ebu kunywa maji kidogo... sasa si umwambie tu Shemeji πŸ˜€
 
Alipambana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kutegesha iingie sio kazi rahisi
Mamdogo, kwani anayeingiza si huyo anayemuona hana maendeleo..!!?? Mwamba amepambana kuisimamisha, pili akairengesha pa kutolea watoto na tatu akaipeleka ndani kwa nguvu zake ili watoto wamwagikie ndani...!! Yeye labda aliifinyia kwa ndani ikiwa ishafika ndani bila juhudi zake. Kuifikisha huko ndani ilikofinyiwa, ni juhusu za mwamba mamdogoooo..!!!!
 
Kama amekuja kumlaumu hivi it means anamtolea maneno ya dharau au kumkatisha tamaa hadi mwanaume anaamua kuwa mlevi na mtu wa mademu tu.
 
Labda usaidizi anaotakiwa kuwa nao mke, yeye kaona ni KUMWAGA UNO LA MAANA TU, ILI WATOTO WAPATIKE MKIWA MMEPATA RAHA..!!!
 
Ukweli mchungu ila ndio dawa.
 
Unanifurahishaga sana pamoja na "ukorofi" wako sometimes 😁😁😁

Complaining is easy...

Kutimiza majukumu na kubeba lawama husika hiyo ni habari nyingine...

Tuzidi kumuombea tu angalau akina Mama J wapungue katika ndoa yake πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Umeniacha hoi. Ubarikiwe malaika wa yellow....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€ΈπŸ€Έ
 
Pole sana dada naona umeongea kwa uchungu but kwa ushaur jaribu kuangalia kitu ambacho na ww unawza fanya kikakuongezea kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…