Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Ila wanaume tunakazi sana,.. yaani mwanamke anakwambia amekuzalia watoto lakini mda huohuo anayefaida matunda ya watoto ni mama na muda mwngn watoto na mama wanaweza wakamuisolate baba.
Hii point sana,
Hii kusema mtu kazaliwa watoto ni kauli yakisiasa sana...asilimia kubwa sana ya watoto wanaishia kubase kwa mama mwisho wa siku, sasa sijui anakua kakuzalia vp!
 
Uko vizuri sana
Kuna siku nilikutana na video za men's dinner YouTube walikuwa akina Chris mauki,Deo na wachumgaji akiwemo hananja pamoja na wanaume wengine waliongea kitu kama hiki hiki ulichosema Bora umewaambia ukweli
 
Sasa mpka leo unaongea maji ya ndoo?wewe ndio tatizo huna uwezo wa kuongoza familia yako kma bibi hangaya
 
Kabisa hatuwezi kubali kuchafuliwa kirahisi. Tumechoka aisee tumechokaaaaaa. Kila kitu kikiharibika ni mwanaume mambo yakienda vizuri oooh nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke, hizo story hatuzitaki tena.
Yakienda vibaya...ya kwako pekeako
 
Hawajielewi kazi kuzalisha kama majogoo
Unayezalishwa ndiyo hujielewi. Mtoto wa kwanza hadi wa tatu bado unapanua paja tu.

Hapo wewe ndiyo tatizo na huenda huyo mwanaume ulimkuta hata pombe haonji ila baada ya mauzauza yako kumwanzishia ndiyo kaona bora pombe kuliko wewe.
 
Huyu dada hajakosea kabisa, kunamwanaume wajinga? kunajamaa angu alikua rafki yangu kipindi hicho, akamuoba mke, wake hela ya boga, sh 2000, akasema hana, lakini tukaenda senta, akaenda kuonga, hawala sh 10000.
Pole sana mkuu naona mafua yamekukaba balaa[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Shidaaa nawewe umeamua kumtegemea yeye tuu,😂😂
 
Vayolensi
Nimejitahidi mno kila siku mambo mazuri hayataki haraka
 
Nyumba za kupanga nimependa Mimi siku ananioa ahadi kedekede kuingia ndani karelax na kulipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…