Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Hakikisha huongezi mtoto mwingine mpaka uone mweleleo wa mabadiliko unayoyataka😴😴😴😴😴
 
Asante Kwa ushauri
 
Kosa kubwa bwana ako alilofanya ni kuoa liability badala ya asset, huna mchango wowote kwake zaidi ya masimango kwake
 
Maana yake mwanamke kama chake n chake c cha familia haina maana kufanya kaz yan atoke asbh arud usku kama mimi halafu mshahara akpata n wake bnafsi over my dead body atachagua moja kaz au ndoa kwsha.
Then kama siyo mwanaume lia lia mpe nafasi ya kuchagua.
 
Kosa kubwa bwana ako alilofanya ni kuoa liability badala ya asset, huna mchango wowote kwake zaidi ya masimango kwake
Hivi unajua what does it sound like kukaa na watoto wadogo watatu au unabwabwaja tu! Afu nimsaidie matako Kila miaka miwili anaonizalisha hebu tulia tu usiniguse sehemu mbaya
 
Hivi unajua what does it sound like kukaa na watoto wadogo watatu au unabwabwaja tu! Afu nimsaidie matako Kila miaka miwili anaonizalisha hebu tulia tu usiniguse sehemu mbaya
Kwani katika mshahara anaopata wewe ume add nini ambacho ni productive kwenye maendeleo yenu jamaa akaki crush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…