Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Uwezo wa kujenga anao ndo maana nikalalama hata hivyo nimepata ushauri mzuri humu nitajaribu
 
Nadhani kama ulimsoma mleta mada mambo haya yeye ndiye anaonekana hayapendi na hayataki.

Sina hakika labda uzi wake ameufanyia editing ila nachoona kwenye original post ndiyo hicho.
 
Dada usitujumlishe sisi wengine hatuko hivyo tunajua nini tunakifanya nakushauri bado mnao muda hamhachelewa sana sema na mmeo aanze kujipanga.Nawe nakushauri uwe na mradi hata wa duka baada ya miaka mitano baadaye mtakuwa mmeenda mbali.
Pole Asante Kwa ushauri
 
Nadhani kama ulimsoma mleta mada mambo haya yeye ndiye anaonekana hayapendi na hayataki.

Sina hakika labda uzi wake ameufanyia editing ila nachoona kwenye original post ndiyo hicho.
Upo sahihi ndani tuna kila kitu lakini naona inatosha sasa angalau tuwe na kibanda chetu
 
Sasa unakubalije kuzalishwa ovyo dada? Hamkai kupanga mzaeje au hamuwek mipango yenu vzuri🤣🤣🤣🤣relax hasira haisaidiii
Anataka watoto watano. Hao wawili atazalia kwake la sivyo menopause itanikuta kwenye nyumba ya kupanga, swain
 
Kwani mbunge wako yote aliyokuahidi ametekeleza? Kwani rais wako wa awamu ya 5, yote aliyokuahidi ametekeleza?

BTW, kweni wewe wakati unatongozwa, hukuahidi kuwa vya ndani hutakuja kuvisema nje? Mbona umetumwagia hadharani?
Hahaha! Na mniambie namna ya kufuta huu uzi maana kutwa kukaa na simu yangu
 
Na Kila siku kunishawishi nio
Usitulalamikie sisi sasa ! Kwani wakati mnakutana na mumeo ulitushirikisha sisi ?
Wakati huo hata jf naijua basi, kushinda home na watoto kumenifanya niijue jf huwa nasoma tu Jana nimeona nifungue AC Cha ajabu mnanishambulia kama mwizi
 
Upo sahihi ndani tuna kila kitu lakini naona inatosha sasa angalau tuwe na kibanda chetu
Sure!

Kama anao ndugu (mashemeji zako/mawifi uncles etc) ambao wana maendeleo unayoona unataka na ninyi kama familia muwe nayo washirikishe,wapo baadhi ya wanaume huwa active zaidi kichwani wakiambiwa vitu na ndugu zao wake zao wakiwepo.

Waambie wao watafute kiwanja halafu wakufahamishe kikipatikana unamwambia mtoke kama safari ya kwenda kuwasalimia mkifika ktk hoja za salamu na za maisha hilo linaingizwa anaambiwa kabisa na kiwanja kuna sehemu kipo anapelekwa kama cent ipo analipia na huo ndiyo mwanzo wa kuanza ujenzi maana wewe unakuwa umeshiriki bila yeye kujua so itakuwa rahisi kwako kumsisitiza issue ya ujenzi maana chanzo (uwanja) kipo.
 
Mashemeji tunaelewana ila ndo hivyo Kila weekend wanafuatana kwenye starehe na hao mashemeji wote Wana nyumba zao! Yeye yupo yupo tu japo anasema mambo mazuri hayataki haraka sasa sijajua labda ana plan ya maana ngoja nijaribu kumdadisi nataka anishirikishe ikiwezekana nisikae roho juu juu
 
Tumekusikia mpendwa, umeandika kwa hasira sana. Ni kweli inaumiza na kuudhi. Vipi lakini unajaribu kuonyesha njia pia bado hakupi sapoti au nawewe unalalama tu kumbe hufanyi chochote pia...
 
Na akimaliza kupeleka maji avue chupi mpuuzi huyu anataka kulala na chupi hajui yuko utumwan kwa mahari aliyopokea babake
Comment ya hovyo kutoka kwa kijana wa hovyo.

Humu tupo kwa fake IDs ukute maneno haya umemwandikia dada yako au mama yako mdogo,nadhani humu upo umuhimu wa mada jadilifu kama hizi kufanyiwa mchujo wa wa member wanaopaswa kuzi-access.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…