Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Comment ya hovyo kutoka kwa kijana wa hovyo.

Humu tupo kwa fake IDs ukute maneno haya umemwandikia dada yako au mama yako mdogo,nadhani humu upo umuhimu wa mada jadilifu kama hizi kufanyiwa mchujo wa wa member wanaopaswa kuzi-access.
Bora umemwambia
 
Ndiyo maana nikakwambia hao hao nduguze uwaambie wamkumbushe sometimes wanavyomuona anavyong'ang'ania ku-clear bills mbalimbali huko kwenye starehe wao wame-relax wanajua bro yuko safi wanasubiri siku atawapa mualiko anahamia kwake kumbe hamna kitu mwisho washangae msiba unakuja kuwekwa kwenye nyumba ya kupanga.

NB;nimeweka issue ya msiba simaanishi yeye inaweza hata kuwa ndugu akija kuuguliwa hapo kwake.
 
Asante sana
 
Ulimkataa MSUKUMA ukakimbilia kwa huyo Sharobaro. Pambana na hali yako. Ungekuwa na yule msukuma sasa hivi ungekuta una nyavu zako unaenda mwenyewe kuvua samaki. Hao watoto kila mmoja angenunuliwa jembe lake.... yaani full maendeleo kwenye ngazi ya kaya.
 
Hahaha,
 
Umeongea vizur na kwa hisia but, maisha ni haya haya
 
Mwanamke/mke ni sehemu ya maendeleo ya mume. Wewe ndio unapaswa kumuhimiza mumeo kuhusu maemdeleo, nini mfanye na kwa wakati gani. Inawezekana kabisa huna mawazo ya maendeleo, una matumizi mabaya ya pesa ndio maana mume hajali.

Muhimu jichunguze kwanza wewe jiuloze una msaada gani kwa mumeo ktk kuleta maendeleo? Kama huna basi chukua hatua. Maendeleo huanza na wewe
 
Hivi unajua what does it sound like kukaa na watoto wadogo watatu au unabwabwaja tu! Afu nimsaidie matako Kila miaka miwili anaonizalisha hebu tulia tu usiniguse sehemu mbaya
Yaani ikifika miaka miwili unazikinga, halafu baada ya muda unalalama hana maendeleo..!! Wallah watano utafikisha
 
Sawa mkuu
 
Ukiachana na mume wako kushindwa kufanya maendeleo. We umefanya maendeleo gani kwa hiyo miaka 7?
Kamtolea watoto watatu aliokuwa amewabeba kiunoni kwake unadhani hiyo ni kazi rahisi?

Wanawake wanaoamua ku-stick na sisi hata tukiwa hatu-desevre kuwa nao (imani yangu hata huyu huyo jamaa hamstahili kuwa nae bahati yake tu) kwa kufanya yale yanayopaswa kufanywa ktk tendo la ndoa ni wa kuwaheshimu sana.

Ama ulitaka maendeleo zaidi ya hayo,alimpa mtaji?labda aitwe aseme hapa!
 
Mkuu kuna wanaume wengine hawashauriki, akishapanga jambo hataki apingwe hata likiwa la maendeleo
 
Huwa nikiona uzi unagusa jinsia fulani halafu wale walengwa wanapovuka basi ujue wamefikiwa kwa % kubwa sana.

Mleta uzi hongera bila shaka kuna baadhi ujumbe umewafikia bila chenga chenga.

Nikazie tu kwamba wabadilike umri haurudi nyuma.
 
Mwambie mkapange sehemu nzuri
Vizuri zaidi ungemwambia amwambie wapunguze quality ya nyumba waende sehemu za kawaida ili kodi itakayobaki wajenge kwao.

Huyu mama anacholalamika yeye siyo anakaa nyumba mbaya anachotaka yeye wawe na nyumba yao kwa ajili yao na watoto wao
 
Mtaji wapi huyu jamaa alinikoleza nikakolea nikiwa nasoma PCB mpaka nikapata division 0. Hapo four Nina two yangu nzuri ya 21. Akaja kunioa Kwa ahadi ya kunipeleka clinical officer. Sasa naona nimekua officer wa watoto hata hamu ya shule sina tena.
 
Inamaana wewe huna kazi zaidi ya kutanua tu
 
Mkuu kuna wanaume wengine hawashauriki, akishapanga jambo hataki apingwe hata likiwa la maendeleo
Kuna watu sikio la kufa. Lakini ni vizuri tujifunze kwa mifano iliyopo kwenye jamii. Kuna mzee alinunua hisa zake mara ya kwanza 2005, hiyo juzi may2023 nikashika statements za hisa zake. Aloooh!!! Kuna watu wanaona mbali jamani, lakini ajabu anasema yeye hizo mambo za investments ni yeye ndio aliamua mkewe alikua anakataa kabisa. Hizo hisa ni mzigo mnene kwa thamani ya sasa. Mi nadhani kitu cha faida kwa wote hakihitaji kusubiri, ni kwenda tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…