Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wewe uliolewa kwa bahati mbaya maana huna sifa za kuwa mke. Mke gani badala ya kumrekebisha mtu wako unaanika udhaifu wake hadharani? Halafu unasema mume akifa hao watoto wataenda wapi? Unajuaje hutaanza wewe kufa? Ovyoooooo.....
 
Sawa ila Nyumbu ndo kichwa cha familia. Tatizo huanzia hapo
 
Mi sili Bata, nimejenga, familia yangu inaishi ndani ya Boma la jasho langu, sinywi pombe, siendi club, Niko nje ya mkoa wangu kikazi, nahonga mwisho elfu 20 mala moja kwa mwezi na Kwa bahati mbaya
 
Hela zangu Hadi matumizi uniapngie.
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa

Chief naomba niongezee hapo kidogo ,nasakafia kidogo
3.Awe na iphone sio simu anataka iphone pekee
4.Awe na mavazi mengi mazuri ya gharama ili asirudie rudie
5.Uwahudumie na ndugu wa upande wake tu
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
Kumbe mtuoe ili tuzeeke kwenye nyumba ya kupanga tena uswazi Bora mpange nyumba stand alone ya laki nne .
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
Kumbe mtuoe mtuweke na watoto nyumbani hatuna mbele Wala nyuma hata nyumba ya vyumba vitatu hamtaki kutujengea?
 
Alikuwa na mimi nikiwa na miaka 21. Ulitegemea nipate division one? Mbona form four nilipata division two. Aliniharibia maisha Sasa ajenge nyumba roho yangu itulie
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
Hakika ajenge nyumba Mimi na watoto hata na yeye turelax. Kumbuka huyu jamaa alisababisha dream yangu ya kuwa medical doctor ilipotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ