Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Ushauri unaotokana na hiyo sentensi ya 'watoto wataenda wapi' ni ushauri mzuri zaidi.

Wanaume sio Swain! Halafu, ukiwa unazingatia kutunza mume wako, huwezi kulalamika kumuwekea maji bafuni. Epukeni vitu vinavyotenga upendo wenu.
 
Wewe umeolewa na zwazwa na sisi unatuunganisha huko!
 
Pole sana dada,Mungu akufanyie wepesi
 
Wewe nae usikae kwa kubweteka. Kubeba mimba na kunyonyesha watoto usione ndio umemaliza. Jichanganye kwenye Vicoba ununue hata ka kiwanja ka miguu kumi kwa kumi uswazi ndio umhamasishe mwenzako kuleta tofali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…