Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Kuna manamake mapumbavu sana sana ukute anabwabwaja humu kachochewa na marafk zake tu linaropoka humu ukute limetolewa kwao sitimbi hata viti tu ni tizi kamanda anapambana ili familia waskose basic needs mama wa family anaona kama jamaa hakuna anachofanya huo ni ufala kbs.
 
Mke wangu anawaza kubadilisha sofa zimechoka, mapazia mapya, aweke chini zuria na simu mpya maana simu yake katoto kalimpasulia hapo nitoe Hela,
Mimi badala ya kufanya hayo anayotaka nikamnunulia kiswaswadu halafu nikaenda kumwaga mawe Trip za kutosha kwenye kiwanja nilinunuaga halafu Hela zimeisha, hapa namskilizia sijui reaction yake sijui itakuwaje maana alijua naenda benki naleta Hela inatosha kufanya yote hayo anayotaka.
Kihitla kabisa, hii nzuri baba nanii....maendeleo kwanzaa
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Kama unamsema mumeo unakosea, kwa kuwa bado upo naye unaanzaje kumsema? Wewe mpaka unamkubali ilikuwaje, hukumjua kabla? Alikulazimisha ndoa? Ukiwa unaishi naye ni ishara kuwa anakufurahisha, una maslahi naye, huna jeuri kwake au unacho kitu cha kujivunia kuhusu yeye... full stop!
 
Maana yake mwanamke kama chake n chake c cha familia haina maana kufanya kaz yan atoke asbh arud usku kama mimi halafu mshahara akpata n wake bnafsi over my dead body atachagua moja kaz au ndoa kwsha.
Yaani mtu anatumia muda wa kutumikia ndoa kwenye kazi, halafu akipata hela iwe yake peke yake..!!
 
Wewe nae ni mtu una ndoto zako za kutimiza amka ukapambanie kilichokuleta duniani unajua Mungu anakumaindi sana unavyo lialia na kua tegemezi
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Ulivyo zuzu umeshindwa kumchana unajiresi kutuambia sisi.

cha zaidi sana na sisi tutakuzalisha kisha one way to blacklist
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Mimi nimependa hapo kwenye paragraph ya tatu. Mke anajua jamaa atakufa kabla yake, kama kawaida wanaume ndio wa kwanza kurudisha namba.
 
Watakuponda mawe lakini bora umewaambia hawa nyumbu
Kabisa, ila tunawakumbusha tu, nyumbu anavutwa na nyumbu mwenzake, sumaku inavuta vitu vyenye asili yake, sumaku hauwezi kuvuta mbao au almasi, wanawake wanaopata wanaume wa hovyo ni kwa Sababu wao ndio wana attract wanaume wa hovyo na kuruhusu kuwa na mahusiano nao. Kwa lugha ya mtaani kimahusiano wanaitwa " bum magnet"

Kama mwanamke Kila siku unapata midude ya hivyo, jifanyie assessment na wewe pia, utakuwa una tatizo katika lifestyle Yako na life perceptions zako na inakuletea bad judgments and choice mbaya pia.

Sio Kila siku kulaumu wanaume tu bila kutake responsibility ktk maamuzi and choice zako. Mwanaume uliye nae uko nae kwa Sababu ulimfungulia mlango mwenyewe na hata baada ya kuona ni kimeo ukaendelea kuwa nae ukitarajia atabadilika au utambadilisha.
 
Back
Top Bottom