Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Ulikuwa na hoja. Ulitakiwa uje km kuomba ushauri juu ya huyo mumeo. Siyo ku-generalize badala ya ku-specify wa kwako pekee. Hata hivyo inaonekana wewe mwenyewe una madhaifu maan wewe ndiyo mshauri wake namba moja na mwenye kumbadilisha kwa sababu wewe ndiye unamfaham vyema (unalala naye shuka moja, unampikia, unamfulia, unampa maji ya kuoga nk) lakini umeshindwa kutueleza hadi sasa wewe mwenyewe binafisi umefanya jitihada gani kumbadilisha tabia zake.

Pia kumbuka ktk ndoa maendeleo hayaletwi na mwanaume tu, ulitakiwa utuambie wewe binafisi umefanya juhudi kadhaa za kuwaletea maendeleo lakini mwenzio pesa zake anapeka kwa mahawala(kwa mjibu wako). Inashangaza unaposema hao watoto anaokuzalisha akifa utawapeleka wapi. Kwa nini usiseme siku wewe ukifa hao watoto anaokuzalisha atawapeleka wapi. Kwa nini umfikirie mwenzio kufa kwanza kabla yako. Hii inaonesha wewe ni mbinafisi na umekuwa unamuombea mabaya mumeo. Wewe ni miongoni mwa wanawake ambao mkijengewa nyumba na kuwa na vipesa tu vya kubadilisha mboga unaanza kumuazia jinsi ya kumuondoa mumeo Duniani ili ubaki na urithi. Pengine mumeo keshalibaini hili ndiyo maan hanunui hata kiwanja kukukomoa.

Pole sn, toa kibanzi kwenye jicho lako kwanza kabla ya kumcheka mwenye chongo. Maendeleo yanaletwa na wote siyo MUME tu. Siyo kila siku wewe unakula vizuri nyumbani kwako na unaletewa zawadi kemkem na mumeo na hukatai leo unakuja kulia eti hamna maendeleo. Km nasema uongo twambie lini uliletewa zawadi km nguo, mkoba, kijora, au viatu ukakataa ukamwambia avirudishe hizo pesa mzitunze ili mkusanye kidogo kidogo kwa ajili ya kununua uwanja. Au vipi akikwambia akutoe out na huko mkatumia lakini moja utakataa?

Acha lawama, mwanamke bora (wife material) siyo kuwa na sura za Kisudan au Kinyarwanda au kuwa na matako makubwa km kifusi cha barabarani, mwanamke bora ni mwenye akili za kuwaza, kuamua, na kutenda kwa usahihi. We mbadilishe mumeo mwenyewe akikushinda waachie hao mahawala unaosema wakusaidie kumbadilisha.

Nimemaliza: Bandokitita.
 
aisee tumekuwa nyumbu tena na sio mbwa
Usishangae, hao ndiyo ma single mother na tabia zao. Au wale waliokuwa wanawadengulia wanaume sahihi eti siyo type zao, bahati mbaya wakaja kuangukia kwa wauza supu. Hivyo wana vinyongo.
 
Umeongea kwa hisia sana shogare

Vipi we una maendeleo yoyote?

Aah havinihusu[emoji3][emoji3]

Ila pole
Muwaombee wanaume zenu wanapotoka majumbani mwenu...

Wanaume tumeumbiwa majukumu tu tena yanayopangwa na mwanamke... Haijaisha ni mke ama hawara... (Br. Oa mwanamke anaekupenda)

Mwanamke, uzaifu na mapungufu yako ndio nguvu ya adui yako.(mwanamke mwenzio)

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie...

NB: CHUKUA KITACHOKUFAA TU KUTOKA KWENYE HII COMMENT.
 
Mtaji wapi huyu jamaa alinikoleza nikakolea nikiwa nasoma PCB mpaka nikapata division 0. Hapo four Nina two yangu nzuri ya 21. Akaja kunioa Kwa ahadi ya kunipeleka clinical officer. Sasa naona nimekua officer wa watoto hata hamu ya shule sina tena.
Kumbe ww ni kilaza i rest my case 🚮🚮🚮.

Bora hata sikuchangia unapataje 0 asee 😂😂😂😂😂.
Na form 4 unajisifu 2.21 ni nxuri hiyo si 3 kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣.

Acha uendelee kuzalishwa tu.

Naomba Mungu watoto wasiwe majinga kama ww 🚮🚮🚮
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Wanaume wa hivi wapo wengi sana.

Ni wabinafsi pesa wanapat wazifaidi wao wenyewe tu na sio na Familia zao.

Wakizeeka ndio watakuwa mbele kulaum watoto hawawasaidii.
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!

Ongea na jamaa yako
Kupanga ni kuchagua kama uliona hana akili kwanini unakaa nae?
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Mara nyingi sishobokei wanawake ila kwa andiko hili umesema ukweli kabisa! Wanaume wengine mnatuangusha ukishaota kakitambi ukalipa Kodi baaasiii!!!
 
Kumbe ww ni kilaza i rest my case [emoji706][emoji706][emoji706].

Bora hata sikuchangia unapataje 0 asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Acha uendelee kuzalishwa tu.

Naomba Mungu watoto wasiwe majinga kama ww [emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Tafuta namna nzuri ya kuongea na mume wako si kuanzisha makelele kulalamika, na unaweza ukute kajenga kimyakimya kwa sababu anaogopa kumshikirisha mkandarasi fake.
 
Back
Top Bottom