Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Unabishana na fact,
Light skinned ya kibongo haiendi tu kwa wadada hadi wakaka, ipo hivyo itabaki hivyo, jisomee zaidi
Sijamaanisha kubisha kihivyo , hapa ninacho kimaanisha ni kati ya kenya na Tanzania wasio jiamini na rangi ya weusi ni wa Tanzania , ndio maana bongo kukutana na mdada yupo kama punda milia ni kawaida tofauti na Kenya, light skini wala hata sio uzuri
 
Kama ndizi mzuzu sio? Sema sikuhizi wanajitahidi wanakuwa kama 🐖
 
wewe unapenda dark skinned wengine light skinned, kujichubua ni hulka ya mtu tena sasa kidunia hakuna watu wanaojichubua kama Wakorea na Wajapan wakifuatiwa na Wahindi
 
wewe unapenda dark skinned wengine light skinned, kujichubua ni hulka ya mtu tena sasa kidunia hakuna watu wanaojichubua kama Wakorea na Wajapan wakifuatiwa na Wahindi
Wahindi kwenye kuona weupe ndio kila kitu ndio viazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…