Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wahindi kwenye kuona weupe ndio kila kitu ndio viazi kabisa
Wanataka kufanana na wazungu hapo hapo wazungu nao wanajianika juani walau wapate dark color....

The world is fair because is unfair to everyone
 
Lengo halijatimiaa!😅
Kuna dada mmoja alikua Black beut hatari , meno meupe , fizi nyeusi ,macho ya gololi , dimples shepu matata , ngozi yake ilikua nyonyoro mno , yule dada alikua ni chuma cha hatari , nilipo kuja kumwona kadumbukia kwenye pipa la vipozi katoka cheupe pee , nilimshangaa mno, siku nimekutana nae nilishindwa kujizuia nikamwambia ila zamani ulikua mzuri mno,, akabaki kuguna tu.
 
Halafu sijui kwa nin wanaojichubua wanakua na hasira za haraka na kisirani😅
Congolese kwenye kujichubua nimewanyooshea mikono...
Halafu kwao ni kama sifa, mwanaume kununua mkorogo wa gharama anatamba na kujisifu hata mbele ya wenzake ...

Ni maisha ya kawaida kabisa kwa Mkongo kujichubua... sijui ni kwanini?
 
Ukute mwanaume wa ndoto zake yuko busy na watoto weupe tu😅
 
Congolese kwenye kujichubua nimewanyooshea mikono...
Halafu kwao ni kama sifa, mwanaume kununua mkorogo wa gharama anatamba na kujisifu hata mbele ya wenzake ...

Ni maisha ya kawaida kabisa kwa Mkongo kujichubua... sijui ni kwanini?
Hawa jamaa wa Congo kwenye hilo hauwezi waambia kitu wala hawana aibu kabisa🤔
 
Hua nasikitika sana mwanamke/mwanaume anavyoharibu ngozi yake nzuri bila kukumbuka kuna kuzeeka, wakizeeka wanakua na sura inayotisha hadi huruma hasa hawa wanaopaka vipodozi vya bei rahisi.
 
Hua nasikitika sana mwanamke/mwanaume anavyoharibu ngozi yake nzuri bila kukumbuka kuna kuzeeka, wakizeeka wanakua na sura inayotisha hadi huruma hasa hawa wanaopaka vipodozi vya bei rahisi.
Hata vya bei ghali hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…