Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Hua wanawawekea dawa ya kupandisha nyege, wanaanza kuchangamka na kupata hisia kali pia wanakua kwenye hali ya kulewa lewa hawana utashi wa kukataa chochote wanachofanyiwa,

Hii dunia ni ya kikatili sana

Kabisaaaa dunia ya kikatili sana, ndio maana sikubaliani na wengi wanaosema eti wanawake warahisi na inaonyesha kabisa kiuwazi haikuwa kitu cha kawaida. Hoping uchunguzi baadae utatupa picha zaidi wakihojiwa ile kati ya kupeana namba na kuingia room yake hotelini aliwaambia/alifanya nini.
 
Wanawake wetu bado hawajajua thamani yao, wakiona white man wanahisi kabisa kuchanganyikiwa,lolote atakaloambiwa anakubali,alikuwa anawatishia kwa rangi yake, wewe ungeenda mswahili wa nanjilinji nywele pilipili uongee broken english kama huyo mRussia ungeona unavyotolewa puta na hao wanawake. wanawake wa kiafrika bado wako gizani.
 
Mbona hata wanaume tuko hivyo tu! Hujaona vijana wanavyojirahisi kwa vikongwe vya kidhungu!
 
Ni mbinu tu kaka ukiwa domo zege na unataka kumuipress tu mwanamke ili akutunuku atakuzungusha na kula cheda zako hata uwe mzungu haulombi
Mbinu ni factor nyingine, kuna sehemu hata uwe na mbinu vipi huwezi kumoata kirahisi, sababi ya level zenu...
Sasa hapa katumia mbinu gani zaidi ya status yake ya uzungu?

Kuna mademu bongo we mwenyewe unawatamani lakini level ile si yako na katika maish aya kawaiada, ya kila siku hamna muingiliano wowote, ni ngumu kutoboa
 

Yalikuwa makubaliano haijalishi ni ya aina gani, lakini exposing them ni kitendo cha udhalilishaji, kinachonishangaza wanaume wazima tuko hapa tunajichekesha na kushangilia vitendo kama hivi.
Nimeongea kwa kutoa mfano, huwezi kwenda Marekani au Ulaya ukafanya vitendo vile na watu wakakuchukulia poa, nina mifano hai jinsi gani wanavyowatete watu wao at least online.
 
Nilikua sijaona hizo videos aah, i felt so bad after, adi kuna dada kampata kanisani maskini, huyu Mrusia mshenzi tu, tutaanza kuwakatalia kuja nchini kwetu, wabaki huko huko vitani kwaoπŸ˜€
 
Sio wazungu tu hata diaspora wanashobokewa sana na wanawake. Nina washkaji zangu diaspora wakirudi bongo likizo ni kama wanakuja kufanya utalii wa ngono. Hawa hawa mademu wa pesa mbele kwa diaspora wanajilengesha for free kabisa
Sikupingi mkuu. Wao wanajua kuwa watapewa connection ya kwenda ng'ambo matokeo yake wanachezea mbupu.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
"Hello"..
"My name is Yarastev from Russia"
"You look good"
"I like to see you in the evening"

Jioni mwanamke anachukua hadi gari ya bwanake anampelekea uchi Dimitri Yuratsev
πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£ Kmmk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…