Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Usibishe dawa hua wanaweka, hii dunia ni kila mmoja alinde kizazi chake huwezi jua nini kitatokea
Hata kama dawa wanawake why waende Kwa stranger Mpaka hapo bado hauja elewa hoja ya huyo jamaa !? Kitendo Cha kwenda nyumbani Kwa mtu usiye mfahamu hauoni kama unahatarisha maisha Yako !?

Malaya tu ndio Huwa wana hizo guts
 
Wamejidhalilisha wao wenyewe na umalaya wao

Hizo ndio gharama za ukahaba mkuu
 
Wamejidhalilisha wao wenyewe na umalaya wao

Hizo ndio gharama za ukahaba mkuu

Bro hii story inatrend Dunia nzima, ukiingia kwenye mitandao utaona kwa mfano wamerekani wanaongelea.
They don't mention names of those ladies, wanasema waafrika, upo hapo?
 
The problem is "Wake zenu"
And No one has forced you to marry.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Bro hii story inatrend Dunia nzima, ukiingia kwenye mitandao utaona kwa mfano wamerekani wanaongelea.
They don't mention names of those ladies, wanasema waafrika, upo hapo?
Wamarekani hawahawa ambao wanamiliki porno industry kwa 95% zinazowadhalilisha wanawake?

Wamarekani hawahawa ambao wameifanya OnlyFans kuwa moja ya biashara inayoingiza pesa nyingi hapo Marekani huku ikitweza utu wa mwanamke?

Wamarekani hawahawa ambao viongozi na celebs wao walikuwa wanaenda kuwalomba mabinti underage kisiwa cha Epstein?

Wamarekani hawahawa ambao wanawake walio kwenye music & film industry wanawafanya kuwa makahaba?
 
Mmhh thubutuuu 🀣🀣

Mwenge hii hii nayoijua Mimi !?
Wewe ukiitwa na mwanamke wa kizungu utaenda huendi? Mwanamke huyo wa kizungu akikualika kwake utaenda huendi?
Jibu kwa ukweli kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…