Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Huyu muhuni anawaza namna gani abaki midomoni kwa watu muziki wake uende, na alishajua kajala ana kanyota fulani wakikaa wote.kama ilivyo yeye.

Hamna ndoa hapo yaani eti aitwe Robert kweli?

Amka hakuna wa kukufanyia huo upuuzi fanya kazi tu upate pesa yako
Na kafanikiwa katika hilo.

Watu wameamini na anafatiliwa sana hapo next video unakuta kajala ndani ama mtoto wa kajala nae ndani basi tu kuwateka watu.

Kwa hapo harmo nampa heko, kaupiga mwingi.
 
Lakini si kamtaka mwenyewe? Mabinti wapo wengi sana lakini kamchagua kajala, acha wafurahie penzi lao!
Umesoma uzi vizuri mtoa mada anataka tumwige harmonize ndio tunamjibu sisi hatuwezi kuiga mapenzi yaliokaa kibongomovie alafu huyo huyo alitaka kumla mtoto wake kwa hiyo still mnataka tumuige mtu wa namna hii kweli?
 
Asipokupenda humpendi?
Kosa kubwa sana la wanaume wanalolifanya ni kumpenda sana mwanamke. Matokeo yake ni yale unampiga mkeo risasi 7 na wewe unajiua
Kuna watu wamejiua na wengine wapo gerezani kwasabb ya kuwapenda wanawake.
Wanawake hawana shukrani. Mm nilikuwa na huruma sana na mwanamke na pia nilikuwa nawapenda sana. Sikupata faida yoyote zaidi ya kupoteza muda na fedha zangu.
Mwanamke muda wwte anakubadilikia
Faida ya kutompenda mwanamke, akizingua unapiga chini muda wowote.
Nakazia[emoji106]
 
Kelsea kwa akili yako timamu unaamini kabisa kuna mapenzi hapo kwa harmonize na kajala kwa akili hizi mlizonazo ndio maana mnapigwa matukio mapenzi ambayo yapo serious ni ya Navykenzo
Sasa inahusiana nini rafiki yangu? eti kwa akili hizi ndio sababu tunapigwa matukio nyie huwa hampigwi matukio?? kama ni kiki watajua wao lkn katika uhalisia kuna wanaume aina ya Rajab wanaoa wanawake aina ya Kajala na ndio tunaowazungumzia hapa haki tena wanaume punguzeni makasiriko. Huu uzi wanaume mmejaa sana uchungu.
 
Wanawake wengi hawataki kupendwa. Ukimpenda atachukua udhaifu wako kukuendesha km gari bovu.
Huyo siku zake zinahesabika, atapigwa na kitu kizito chenye ncha kali kichwani mpk ashangae.
Nishayapitia. Sasa hivi nafanya mambo yangu
Sawa kabisa akupende yeye zaidi,ukimpenda wewe lazima akubwage tu,hawajui wanachotaka k.ng.hawa.
 
Ndoa yaja
Binti wa kambo anaujua ududu wa babake wa kambo ukoje.na inasemekana wamewahi kunaniliu akiwa form two!!
Hapo kuna mashosti wa kajala..kama wolper..nae anaujua vema hahaha!

Hivi mastaa wanaishije?
Jamaa kala kuku na mayai yake? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtoa maada mtoto wa mama inaonekana umemaliza form secondary Tena shule za Saint...ungekuwa umemaliza shule za kata usingeuliza swali Kama Hilo ungeenda direct kwenye uzi husika ukachangie hoja yako
 
Back
Top Bottom