Wanaume: Kosa dogo linaweza kutufanya tusipendwe na watoto wetu hapo baadaye. Mwanangu wa miaka mitano amenistua leo

Ukizeeka na una mahela yako fresh tu. Tafuta hela, kwani hakuna ambaye atakuona tajiri akakususa.
RIP mengi.
 
Huwa nikifikiria hili suala akili inachanganyikiwa..
Kusaidiwa na watoto wala sio guarantee
 
Hata ukitoa pesa mbele yao na wewe hujui hata size ya viatu vya watoto ni bure kabisa. Mtoto kitu kidogo tu anaona anapendwa. Akipewa zawadi kidogo na mtu mwingine ambaye sio mzaz hatomsahau huyo mtu na zawad aliyompa kamwe.

Ameona umempa mama hela ya viatu au toys lakini mama ndio amemchagulia hivyo vitu. Kua na time na watoto sio home ni nje ya nyumbani au uwaletee tuvitu hata mama akinunua lakini akupe kinyemela umpe mtoto.
 
Ukizeeka na una mahela yako fresh tu. Tafuta hela, kwani hakuna ambaye atakuona tajiri akakususa.
RIP mengi.
Unajua kisa cha Mengi kuoa Klyn vizuri. For your informations ni baada ya kususwa na familia yake. Pamoja na kuwa bilionea.
 
😅😅😅😅umenifurahisha mchango wako. Hata kama kanunua Mama anipe nimpatie au sio?
 
Hawa watoto wetu baadae uzeeni huwa Wanakuwa closed Sana na Mama zao,

Sie mababa mwendo wa kutengwa tu
 
Siku moja moja mpe mkeo pesa mbele ya watoto wako itawasaidia kujua wewe ndio unatoa hizo pesa mama aweza waambia lakini wakiona kwa macho itaweza saidia zaidi
Naitumia sana hii...
Mm hata School Fees... namchukua Mwanangu mpk ATM... natoa nae Muhamala... Haooooo mpk Bank Wakala.... nalipa... nachukua receipt namshikisha... safari Shuleni... namwambia kampe Muhasibi....
BTW umepotea
 
yeah tena itoe bila kuona haya inasaidia mno watoto wanajua baba anatuhudumia na ndie anamuachia mama hela
Mm hata nikisafiri kikazi... nikirudi Buti imejaa mazagaza... namwambia dada njoo na Mtoto... haya tushushe... dada... Mikungu, Bint... toa kuku hao... mwenyewe najitwisha maroba ya Mahindi ama Mchele .... Mama yao pembeni
 
hii imekaa poa
 
Naitumia sana hii...
Mm hata School Fees... namchukua Mwanangu mpk ATM... natoa nae Muhamala... Haooooo mpk Bank Wakala.... nalipa... nachukua receipt namshikisha... safari Shuleni... namwambia kampe Muhasibi....
BTW umepotea
ahah nipo mbona
 
😅😅😅safi sana Mkuu
 
Mm hata nikisafiri kikazi... nikirudi Buti imejaa mazagaza... namwambia dada njoo na Mtoto... haya tushushe... dada... Mikungu, Bint... toa kuku hao... mwenyewe najitwisha maroba ya Mahindi ama Mchele .... Mama yao pembeni
wee ni noma. Maroba unajitwisha kichwani unaingiza ndani
 
Tenda wema uende zako, usingoje shukrani. Jambo la msingi ni wewe kujiandaa kwa raslimali, ili nguvu za utafutaji zitakapopungua wakati wa uzee ziweze kukusaidia.
 
Mm hata nikisafiri kikazi... nikirudi Buti imejaa mazagaza... namwambia dada njoo na Mtoto... haya tushushe... dada... Mikungu, Bint... toa kuku hao... mwenyewe najitwisha maroba ya Mahindi ama Mchele .... Mama yao pembeni
Bottom line ni kuwa unamiliki gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…