Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Kwa anayehitaji mzigo huo dawa za ajili kutoka China, unaweza kwenda Game hadi dakika 60 bila kumwaga wazungu.
 
Hamna kitu Cha namna hiyo, Mimi binafsi siwezi kumuomba pesa mwanaume, but mwanaume usipomuomba pesa anachukulia kama unajimudu so kapata ganda la ndizi
 
Vip Vipi wale wanapewa mbususus zaidi ya Mara tatu na pes ahawatoi?
 
Mimi pia nishawahi kuwanae dizain hii, pesa anayo,na anajua kipato chake ni kikubwa kushinda mm , hajawahi KUNIPA ZAWADI yoyote Wala pesa, na mm sikuwahi kumuomba pesa , Ila ukienda kwake au mkikutana anafiriki kukwambua baby unanukia na mm naomba uninunulue zawadi ya pafyum kama yako maana hujawah ninunulia zawadi.

Yaani nikaona huyu amezoea kupata wanawake wa kumpa hela na mm siyo type hiyo nikampa kibuti
 
Mzee baba wewe ndio yule ambaye ushauri wako huwa'ga' unafanana na avatar yako na jina. Yaani huwa unatoa uahauri wa ki-boss boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Malizia hela ya kamati ukale mzigo weekend
 
Hapo kwenye “walaji ni wengi” ila mhudumiaji uko mwenyewe 😅😅😅 mzee wa depreciation cost!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…