Shawahi Kuna na mwanaume wa hivi haoni aibu yeye kila siku shida na asivo haya anaomba Hadi hela ya msosi, na alisahau kuwa sio wanawake wote wameumbiwa kuomba ila haimaanishi usihudumie baby wako, maana mtu ka huyo nilimkimbia nikawaza huyu ni mchoyo hata mkiwa na familia hawezi kuhudumia na anakuachia mzigo wote nikasema Cha kufia nini mwanaume mtaka vya bure tena ana kazi nzuri masafari ka yote ila mchoyo wa hatari wallah.
Kuna wanawake hatuombi hela ila tunapenda responsible man anayejiongeza wallah, mikono mitupu hailambwi, na ndio maana watoaji wengi hupendwa na kusamehewa mapungufu mengine