Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Tatizo kubwa ni kwamba yaani siku hizi ukishajuana na demu ,mkabadilishana mawasiliano.......mkianza kuchat baada ya meseji mbili tatu inayofuatia ni kirungu ..hapo ndipo mnapokosea ,at least muwe mnazuga kidogo hata wiki mbili ndipo muanze ombaomba zenu nyie madem mmezidi sasa ...hapa nina mfano hai wa kademu tumejuana majuzi kupitia whatsapp ..wala hatujawahi kuonana live...lakini jana kaniomba hela ya matibabu ya mama yake! sasa hapo unafikiri nafanyaje?
 

[emoji28][emoji28] si unampa…mtu akikuomba hela kakuamini. Tunza imani[emoji23]
 
Kuna hawa wa instagram, ukimsifia mara mbili mara tatu, anapata tatizo(yale matatizo yenu) anataka umkopeshe.
Kuna mmoja nilimjibu sikopeshi nitakupa tu, ifate hapa tabata segerea, akasema amekosa muda nimtumie m.pesa.
Akaishia kunibolck.
 
Hahahaha [emoji1787][emoji1787]
 
Ukiwa na akili za kujitegemea huwezi kufanya kuomba omba hela kama solution ya matatizo yako! Ni kujiongeza tu ufanye mishe upate chochote kitu.
Kuomba omba ni kujidumaza, unashindwa kuishi maisha yako ya muda wote unawaza ukikwama umwambie mtu fulani! unashindwa kujitegemea
Katika 10 yupo 1...mijanamke ya siku hizi mpka aibu...wanaomba omba mnoo
hawana tu aibu !
 
I second you.Shobo zikizidi unapiga tu mzinga wanajiondoa wenyewe maana bila hivyo hawaelewi.
Natamani nikujibu vibaya,pengine labda hauelewi hali ipoje,kuna baadhi ya girls ukiwapa pesa na wao ndio wanaomba hela,anaona kumbe zipo...wengine hakupi muda wa kujuana vizuri,ndio kwanza mmekutana mpo katika hatua za mwanzo za kujuana anaanza kukupiga vizinga huwa inaleta picha mbaya sana sana....
 
I know.Pole
 
Swala sio kuomba pesa
Ukute anaomba fedha na yeye mwenyewe ana sura kama utadhani kapata mfadhaiko.
Kuna lidada moja humu yaani linapiga mizinga vibayaa, ila ukilikuta public linajishebedua kuwa halitegemei fedha wanaume.

Niishie hapa.
 
Kama ni mpenzi wangu au mke siyo tatizo,pia kuna wanawake mnakuwa kama marafiki hata akiomba unajua anahitaji msaada ,ila hawa paka waliofanya kuomba hela kama sala hell no
 
Oya mkuu vipi ndio yule yulee? Ama tumtajee?πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe una seat yako maalum mbinguni karibu kabisa na baba wa imani Ibraham
 
Nimesoma thread, nikichogundua

Wanawake kwny swala la kummaliza mwanaume wanasapotiana kichizi adi mbinu wanapeana..
Njoo kwetu wanaume Kila mmoja na lake.. Kw staili ii watatuburuza kwelkwel.

-Ela ya nauli unatumiwa na hautokei, wewe ni mal@ya au kibaka-
 
 
Haina shida hii....BOTH TEAMS TO SCORE 😁
Wale wa saa nane usiku anakuambia β€œBaby sijala...” Wale ndio kero kama nzige wale. Sasa usifanye mwanamume akadhani na wewe ni mmojawapo. Wanaomba hela ya nauli, ya saluni, ya msosi na ya vicoba. Kero zaidi ni lile neno lao la mwisho. Eti β€œTuma na ya kutolea.”
 
Katika mahusiano kunapaswa kuwe na win win situation..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…