Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁....
Tatizo kubwa ni kwamba yaani siku hizi ukishajuana na demu ,mkabadilishana mawasiliano.......mkianza kuchat baada ya meseji mbili tatu inayofuatia ni kirungu ..hapo ndipo mnapokosea ,at least muwe mnazuga kidogo hata wiki mbili ndipo muanze ombaomba zenu nyie madem mmezidi sasa ...hapa nina mfano hai wa kademu tumejuana majuzi kupitia whatsapp ..wala hatujawahi kuonana live...lakini jana kaniomba hela ya matibabu ya mama yake! sasa hapo unafikiri nafanyaje?
 
[emoji28][emoji28] si unampa…mtu akikuomba hela kakuamini. Tunza imani[emoji23]
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....[emoji17]

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo [emoji16] ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...[emoji16][emoji16]
Kuna hawa wa instagram, ukimsifia mara mbili mara tatu, anapata tatizo(yale matatizo yenu) anataka umkopeshe.
Kuna mmoja nilimjibu sikopeshi nitakupa tu, ifate hapa tabata segerea, akasema amekosa muda nimtumie m.pesa.
Akaishia kunibolck.
 
mkuu huyu witty huyu kama anatokea maeneo ya chang'ombe maeneo ya kiwanda cha serengeti huko kwenye mataa pale njia inayoelekea keko basi umeliwa hapo yaani tabia zake kabisa hizoo kwa uo utumaji wa text niliouona au labda wanawake wanafanana namna ya chatting zao wanavo andika APEFACE
Hahahaha [emoji1787][emoji1787]
 
Ukiwa na akili za kujitegemea huwezi kufanya kuomba omba hela kama solution ya matatizo yako! Ni kujiongeza tu ufanye mishe upate chochote kitu.
Kuomba omba ni kujidumaza, unashindwa kuishi maisha yako ya muda wote unawaza ukikwama umwambie mtu fulani! unashindwa kujitegemea
Katika 10 yupo 1...mijanamke ya siku hizi mpka aibu...wanaomba omba mnoo
hawana tu aibu !
 
I second you.Shobo zikizidi unapiga tu mzinga wanajiondoa wenyewe maana bila hivyo hawaelewi.
Natamani nikujibu vibaya,pengine labda hauelewi hali ipoje,kuna baadhi ya girls ukiwapa pesa na wao ndio wanaomba hela,anaona kumbe zipo...wengine hakupi muda wa kujuana vizuri,ndio kwanza mmekutana mpo katika hatua za mwanzo za kujuana anaanza kukupiga vizinga huwa inaleta picha mbaya sana sana....
 
I know.Pole
 
Swala sio kuomba pesa
Ukute anaomba fedha na yeye mwenyewe ana sura kama utadhani kapata mfadhaiko.
Kuna lidada moja humu yaani linapiga mizinga vibayaa, ila ukilikuta public linajishebedua kuwa halitegemei fedha wanaume.

Niishie hapa.
 
Kama ni mpenzi wangu au mke siyo tatizo,pia kuna wanawake mnakuwa kama marafiki hata akiomba unajua anahitaji msaada ,ila hawa paka waliofanya kuomba hela kama sala hell no
 
Mwingine huyu hapa,hata sijawahi kula papuchi yake,just rafiki yake ambaye analiwa na rafiki yangu,ndiyo alinitambulisha kwake! Hata mwezi haukuisha,nikapigwa kirungu cha kwenye ugoko! Ni mwanaume mjinga ndiyo anaweza fanya hivi,mke wangu mwenyewe namkazia! Kwa nini ufanye jambo kabla hujaniambia kwanza?? View attachment 1964982
Oya mkuu vipi ndio yule yulee? Ama tumtajee?😀😀
 
Kuna demu mmoja alikua analalamika kwamba yupo kwenye mahusiano na jamaa zaidi ya mwaka, hajawahi kuomba hela au chochote na jamaa amemute hajawahi hata kumwambia chukua hii ikusaidie nauli au kusuka, sasa mwanaume wa design hii si anampa tabu dada etu.

Kuna wanawake hawawezi kuomba pesa kabisa wanajiweza ila hakuna mwanamke asiependa kuhudumiwa na mpenzi wake, hata kama ana pesa za kumtosha ila pesa ya mpenzi ina ladha tofauti na inaonyesha some sense of responsibility, wanaume tujifunze kuwajali hawa warembo na yuache kulalamika kuombwa pesa

Kuna mrembo nampenda huku jamvini, siku akinikubalia naapia hatojuta nitamtunzamkwa kila kitu Whitepanther nimetangaza na dau kabisa
Wewe una seat yako maalum mbinguni karibu kabisa na baba wa imani Ibraham
 
Nimesoma thread, nikichogundua

Wanawake kwny swala la kummaliza mwanaume wanasapotiana kichizi adi mbinu wanapeana..
Njoo kwetu wanaume Kila mmoja na lake.. Kw staili ii watatuburuza kwelkwel.

-Ela ya nauli unatumiwa na hautokei, wewe ni mal@ya au kibaka-
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁
 
Haina shida hii....BOTH TEAMS TO SCORE 😁
Wale wa saa nane usiku anakuambia “Baby sijala...” Wale ndio kero kama nzige wale. Sasa usifanye mwanamume akadhani na wewe ni mmojawapo. Wanaomba hela ya nauli, ya saluni, ya msosi na ya vicoba. Kero zaidi ni lile neno lao la mwisho. Eti “Tuma na ya kutolea.”
 
Katika mahusiano kunapaswa kuwe na win win situation..
 
Back
Top Bottom