Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Kama ni mpenzi wangu au mke siyo tatizo,pia kuna wanawake mnakuwa kama marafiki hata akiomba unajua anahitaji msaada ,ila hawa paka waliofanya kuomba hela kama sala hell no
Hahahahahah wamegeuza kuomba omba kama sala ya baba yetu 🀣
 
Kuna hawa wa instagram, ukimsifia mara mbili mara tatu, anapata tatizo(yale matatizo yenu) anataka umkopeshe.
Kuna mmoja nilimjibu sikopeshi nitakupa tu, ifate hapa tabata segerea, akasema amekosa muda nimtumie m.pesa.
Akaishia kunibolck.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… angekuja afwate ukuni! Mtu mwenye shida anangojaga MPESA kwani! Ukisema fata hata ikiwa Kibaha atapanda gari
 
Unamlima ban tuπŸ˜…
 
Kero kama nzige πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna hawa wa instagram, ukimsifia mara mbili mara tatu, anapata tatizo(yale matatizo yenu) anataka umkopeshe.
Kuna mmoja nilimjibu sikopeshi nitakupa tu, ifate hapa tabata segerea, akasema amekosa muda nimtumie m.pesa.
Akaishia kunibolck.
Matatizo yetu pendwa: simu imeharibika, nna njaa, nimefiwa, gas imeisha, luku imeisha..😁😁
 
We unakaaga muda gani hadi uanze kuomba vyake?😁
Pole mwaya umeandika kwa uchungu.... wanawake wanaaomba hela wauwawe
 
Hii huwa inashupaliwa kote isipokuwa kwenye kuchakaza noti tu!

Ikija sehemu zinginezo kote mnajifanyaga mnaitambua sana 50/50! Watoto wa kike wahuni sana sikuhizi
Mambo hayawezi kuwa fair kwa upande wote, kuna sehemu tu lazma mmoja afaidike
 

Follow excellence, succes will chase you.
 
Wanapewa namba leo, siku hiyo hiyo wanataka game.Ila meza ikipinduka eti wanawake wanalia njaa... [emoji23][emoji23]
Kuna jamaa aliwahi kumjia juu eti dem kamuomba hela mapema, jamaa aliomba namba siku hiyo hiyo akaomba mbususu dem nae akampandishia cha juu nakupa mbususu we unanipa nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaa alikua mkali eti dem ana tamaa, hii mbona ni mbwa kala mbwa
 
Ndo maana ya haitolewi bure wala haiuzwi.
Anataka aichakaze mbususu ya watu hata hela ya sabuni asitoe..[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…